Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Dhana ya udini na ukabila ni utoto wa kidemocrasia, tukikua tutaachana na mitazamo ya aina hii. Hata sasa hivi haisadii chochoto isipokuwa kuombea kura na kujisafisha dhidi ya tuhuma za ufusadi; siunaona akina Rostom mpka kanisani wanatinga!
 
Wakati utnaendea na hizi hate spinnings tukumbuke kuwa mwisho wa siku ni Tanzania nditi itakayoripuka na hata kama wewe ni wa "just landed" class wapo wanaokuhusu watakaogeuka kama wakina mama na watoto wa Somalia......

Unaweza ukadhani unawakomoa wao (CCM) kumbe ukawa unaneemesha mbegu za maangamizo yako mwenyewe.......

Suala la wenye majina ya kislamu kuonekana kuwa wengi katika CCM-CC ni inakuwa factored wa nafasi maalum ya Zanzibar. Ukipiga mahesabu ya CCM-Tanganyika ni wazi wenye majina ya kikristo ni wengi Zaidi ya Waislamu.

Tanzanianjema
 
Udini hapa nautafsiri kuwa ni wingi wa watu wa dini moja kwenye ngazi fulani ya uongozi ukilinganisha na ngazi nyingine. Katika pita pita yangu na kuchunguza nimegundua kuwa asilimia 65.78 ya uongozi wa Kamati Kuu ya CCM ni watu wa dini moja. Kama udini ni wingi wa watu wa dini moja kwenye ngazi fulani, tunaweza kusema kusema kuwa Kamati Kuu ya CCM ina udini? Je kuna sababu yoyote ya msingi ya kwanini watu 25 kati ya 38 wawe ni wa dini moja? Je imeshindindikana kwa CCM kutafuta njia ya kuweza kugawa nafasi hizi kwa kuangalia uwiano wa dini?

Nikiwa mtu mwenye maslahi ya pekee kwenye CCM naona jambo hili si zuri na litazua manung'uniko yasiyo ya lazima. Kama kikundi, taasisi, au jumuiya fulani ina watu wenye sifa moja inayolingana, sifa ambayo inawatofautisha na watu wengine hasa ya vitu kama kabila, rangi, au dini basi mahali hapo ni pa kuangaliwa kwa karibu.

Katika siasa, tukitumia "Wangwe's Doctrine" kuwa endapo asilimia 50 ya watu wenye sifa hizo wakakutwa mahali pamoja ni ukabila/ukanda basi ni wazi mahali ambapo pana asilimia 65 ya watu wenye kulingana sifazao kutofautishwa na wengine basi napo patakuwa na tatizo, in this case udini (yaani idadi ya watu wa dini moja mahali pamoja ambayo haina maelezo ya kuridhisha).

Mkuu shauri yako mimi simo Huyo Wangwe ni nani ? na nani alimchagua just msanii tuu
 
Sasa isn't that a grand example of upendeleo usio wa lazima. Iweje CCM Zanzibar ichangie asilimia 50 ya wajumbe wa NEC?

Wakuu,

Tusisahau kuwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni nchi moja iliyozinduliwa kwa muungano wa zilizokuwa nchi mbili. Ile ya Tanganyika na Zanzibar. Nchi hizi zote zilikubali kupoteza mamlaka yake as equal partners, Hali hiyo ndio inayoacha usawa huo wa asilimia 50 kila upande. Kulalamikia suala hilo ni kutokufuatilia historia. Tanzania ni mali ya Tanganyika kwa asili mia 50 na ni mali ya Zanzibar kwa asilimia 50 zingine zinazobaki. Kinyume cha hayo ni mgongano.

Hii ndio sababu hatuwezi kuifanya Zanzibar mkoa kama wengine kati yetu wanavyotaka. Ukiifanya Zanzibar mkoa, basi itabidi Tanganyika nayo iwe mkoa. Huu ndio ukweli wenyewe.

Ukisema Zanzibar si nchi, basi na Tanganyika nayo si nchi. Nchi ni Tanzania na Tanzania ni Tanganyika na Zanzibar (Unguja na Pemba). Sijui kwa nini tunaita Tanganyika "Bara" au "Tanzania Bara?" Katika mapatano ya muungano hamna kitu cha namna hiyo. Kuna Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya watu wa Zanzibar.

Disclaimer: Narudia tena, mimi ni Mtanzania wa Tanganyika na sio wa Zanzibar.
 
<delurking>
This thread topic has such excellent potential. Apparently the President was spotted mingling with the people yesterday at Saba Saba so he was still in the country as of a day ago.
<re-urking>
 
Bikirembwe.. point ambayo nimekuwa nikiiweka ni kuwa ukabila au udini si idadi ya watu. Ukiangalia idadi tu.. unaweza kuhukumu mambo mengi tu.. tribalism, sexism, and all the other isms out there. Mtu anapokubali ukabila Chadema kwa sababu ya idadi, hana budi kukubali mambo mengine vile vile, ndio maana wengine tunapinga hii sentiment ya ukabila, au udini kwa sababu ya idadi tu.

Binafsi sijali kina nanai wananiongoza as long as wamepata nafasi hizo freely, fairly, and transparently. Sijali anayeniongoza ni nini kwa kadiri ya kwamba anakula kiapo cha kulinda na kuitetea Katiba yetu na anaongoza kwa misingi ya sheria zetu. Mtu yeyote anayetaka kuleta hoja ya ukabila au udini kwa sababu tu idadi ya watu fulani haimpendezi na anashindwa kuonesha intellectual honesty ya kuangalia all logical explanation nawapinga.

Tusikubali kuangalia ukabila au udini kwa kuangalia namba, kwa sababu ukifanya hivyo tu mtu mwingine atakuja na namba nyingine na kudai kitu kingine.

I hope unapata point yangu.

Hapa nimekuelewa na nadhani tuko katika mtazamo mmoja - nilitaka kushangaa na kutokuwamini kama msimamo wako ulikuwa tafauti. Mungu atuepushe na mengi katika nchi yetu lakini la ubaguzi hasa wa kidini na kikabila ni hatari.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Nadhani hapa ndipo msingi mkubwa wa EPA ulipolala. Uwizi na kugushi. Bila kufumbua fumbo hili mengine yote yatabaki propaganda. Hakuna mlango wowote wala Safe iliyobomolewa, hakuna mlango uliovunjwa. iwapo Karatasi zimewekwa saini, fedha zimetoka, mathalan katika Kagoda, ni vema majibu ya kina yakapatikana. Majibu ya timu ya Mwanyika na wenzake yajiandae kwa maswali hayo muhimu, vinginevyo wajiandae kujibu kwanini wametumia fedha nyingi za watanzania ambazo zingelikuwa zinajenga shule,zahanati na barabara. Ushahidi wote wa Ernst and Young unahitaji kupatiwa majibu ya kina, siyo tu swala la kurudisha fedha, kama zinarudishwa!


CCM nao walete mwanachama wao hapa ajibu mapigo maana naona tunakoelekea mwanga kidogo unaonekana haiwezekani huu uhuni na ujanja ujanja wa Watanzania wachache watuhadae na kutafuna pesa ya walipa kodi kama vile ni ya kwao.
 
mkjj Huoni Kama Hii Thread Yako Ina Kufanana Na Mojawapo Za Sababu Za Kusimamishwa Uongozi Wa Mhe Wangwe?

Au Ulitaka Kuhalalisha Sababu Zako Potofu Kuhusu Udini?
Ndilo Alilotaka, Wamesema Kuwa Chadema Ni Chama Mbadala,lakini Hili La Uchafu Wa Ukabila Wanajifananisha Na Ccm, Sasa Si Bora Tubaki Ccm Tu?

Huwezi Kuhalalisha Ujinga Au Uonevu Wako Kwa Vile Fulani Nae Alifanya.
 
Ukikuta wajinga wawili wanafanya ujinga na wewe ukamuona mmoja tu na kumuita mjinga, basi unachofanya ni kuthibitisha ujinga wako. Hivyo wajinga wawili wakifanya wote ujinga, wote wawili wanaitwa wajinga, hiyo ndiyo inaitwa hekima.
 
Wabunge wa Kamati Kuu wanachaguliwa kwa mujibu wa Katiba ya CCM. Hata hivyo kufuatia mabadiliko ya mwisho ya Katiba hiyo kuna wanaoingia kutokana na nafasi walizowahi kuwa nazo na hao hawapigiwi kura. Ukiondoa wale wanaoiongia kutokana na nafasi zao (au walizowahi kushika) wajumbe wengine hupigiwa kura kwenye mkutano mkuu wa CCM.

Wajumbe Kamati Kuu ya CCM wanapigiwa kura na wajumbe wa NEC ya CCM baada ya Mwenyekiti wa CCM kupendekeza majina. Wana-CCM wa kweli hawamo humu JF nini? Tuzisome vizuri KATIBA za vyama hivi tunavyoshabikia halafu ndio tupate NGUVU ya kweli ya kujadiliana. Hili tunalojadili hapa ni la KIKATIBA zaidi kuliko dini, kabila au Ubara na Uzenji.
 
Kikwete urges G8 to help Africa​
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Tuesday,July 08, 2008 @08:09

PRESIDENT Jakaya Kikwete has asked rich nations to continue supporting African countries in their daunting struggle for economic revival.

Mr Kikwete, who was addressing the G8 Summit in Hokkaido, Japan yesterday, hailed Japan's decision to double its Official Development Assistance (ODA) for Africa over the next five years.

"Africa needs the support of friends in the developed countries to compliment and supplement our efforts in our daunting struggle for economic revival," he said.

President Kikwete, who is also the African Union (AU) chairman, said if Africa was left on its own it would take it many decades to successfully transform its economies from poverty and backwardness to prosperity and modernity.

"It is even worse now when the continent is facing serious crises in the form of oil and food price rises. These crises are threatening to wipe out most economic gains achieved in the past decade," he said.

The AU chairman said the continent welcomed the areas of focus for support by the Japanese ODA in infrastructure development and health care.

He cited other areas as education, increasing rice production and promotion of Japanese tourism investment in Africa as well as trade with Africa.

"All these areas are critical for promoting socio-economic growth. There is no serious development without the development of the physical infrastructure: roads, railways, ports, airports, electricity, water supply and telecommunications," he said.

President Kikwete told the G8 Summit that Africa's interest was, however, beyond ODA, stressing that the continent's sustainable future lies in increased trade and investment &#8211; both domestic and foreign.

He said owing to low savings domestically, Africa has been encouraging foreign direct investment (FDI) which, however, at 2 per cent of world flows of FDI, the amount of FDI that Africa receives still remains lamentably low. Meanwhile, as G8 leaders lunched and talked with African heads of state at a luxury hotel yesterday activists accused the rich nations' club of backpedalling on pledges to double aid to Africa.

The issue of African poverty that tops the agenda at the start of a three-day summit in Japan is closely linked with rising food and fuel prices and the contentious topic of how to fight global warming, which the G8 will tackle later in the week.

The G8 has invited seven African leaders to join the opening day of its annual summit, taking place on the northern Japanese island of Hokkaido.

Max Lawson, a policy adviser to Oxfam, a British advocacy group, said the summit was arguably the most important G8 gathering in a decade.

"The world is clearly facing multiple crises -- serious, serious economic problems, both rich and poor countries. But it is poor people who suffer the most, suffering hugely from food price increases," Lawson told reporters.

At its 2005 summit in Gleneagles, Scotland, the G8 agreed to double aid by 2010 to 50 billion, half of which would go to Africa.

But a report last month by the Africa Progress Panel, which was set up to monitor implementation of the Gleneagles commitments, said that under current spending plans the G8 will fall 40 billion US dollars short of its target.
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]African leaders drowned by Western push for sanctions at G8[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif, Algerian][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
bushkikwetejapan07072008.jpg


By Lebo Nkatazo
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]BRITAIN and the United States on Tuesday appeared ready to ignore African counsel to push through with punitive sanctions on Zimbabwe.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] Seven African leaders invited to the G-8 summit in Japan all agreed sanctions against Zimbabwe “wouldn't be useful”.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] South African President Thabo Mbeki, who is involved in delicate talks supported by the Southern African Development Community (SADC) and Africa Union (AU) to establish a unity government in Zimbabwe, even suggested sanctions could trigger civil war.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] But the US and Britain -- backed by France, Italy and Germany -- were ready to railroad the sanctions measures against President Robert Mugabe’s government through the United Nations in response to accusations of voter fraud in the run-up to the June 27 presidential election runoff which secured Mugabe a controversial sixth term. Opposition leader Morgan Tsvangirai who led in the first round vote boycotted the run-off, claiming massive intimidation of his supporters.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] “There’s growing support for sanctions against the Mugabe regime being stepped up,” British Prime Minister Gordon Brown said.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] US President George W. Bush said Monday he was "extremely disappointed" with Zimbabwe's "sham" election. President Sarkozy said he would back sanctions as Mugabe's regime "tarnishes the image of all of Africa."[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] Italian Prime Minister Silvio Berlusconi said G8 leaders had voted unanimously to seek United Nations sanctions against Zimbabwe.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] "The need and the urgency was indicated for sanctions at the UN Security Council," Berlusconi said, "that even Russia decided to go ahead. It seemed to me important to join in, voting unanimously."[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] Earlier, Russia had expressed strong reservations about sanctions against Zimbabwe.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] "Russia is against financial or other sanctions against Zimbabwe because we don't believe in sanctions in this particular case as an effective tool," said Alexander Pankin, a deputy Foreign Ministry department chief, on the margins of the summit.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] "Threatening with sanctions is not the best way of settling the issue between the parties. It's important to maintain peace and stability in Zimbabwe, and not to trigger a situation which would be unstoppable or could unfold in a very negative way," Pankin, who is involved with the talks that Russian President Dmitry Medvedev was attending, told reporters.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] He said Russia advocates "broad negotiation" involving African leaders.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] Senegal's President Abdoulaye Wade said on Tuesday that he had urged the G8 powers not to slap sanctions on Zimbabwe.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]"I said that sanctions wouldn't be useful and that they wouldn't change the regime," Wade said.

He said he spoke first at a special session on Africa on Monday that also included Mbeki. "I was supported by all African leaders," he said. "We Africans called for a continuation of mediation that's underway.

"I understand that Westerners have to react to public opinion, which is shocked by images of massacres. They can't react. But for us Africans, sanctions aren't going to resolve anything.”
[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]On Monday, Tanzanian President and African Union chairman Jakaya Kikwete told US President George Bush that African leaders saw the Zimbabwe crisis “differently”.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] “You see differently,” Kikwete told Bush, “but for us in Africa we see differently. At the last summit of the African Union, many leaders expressed their dissatisfaction at the way things happened (Zimbabwe elections). But also we agreed on the way forward.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] “We are saying no party can govern alone in Zimbabwe, and therefore the parties have to work together to come up to -- to come out, work together, in a government, and then look at the future of their country together. So this is the way we see it.”

Wade said he had asked German Chancellor Angela Merkel and French President Nicolas Sarkozy in separate meetings for the G8 leaders at least to delay sanctions if they insist on imposing them.

Mbeki warned Britain and the US that Zimbabwe could descend into civil war if they pressed for tougher sanctions against the Mugabe regime, according to Britain’s Guardian newspaper.
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]The Zimbabwean government blames interference from Western countries for delaying a solution to the country's political impasse.[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]"It is the UK that is pushing for sanctions, but isolating and demonising Zimbabwe is not in the best interests of anyone. They should treat Zimbabwe as a partner rather than an enemy," Zimbabwe's Deputy Information Minister Bright Matonga said. [/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] And a spokesman for Japan, the G8 hosts, reported: "Some African leaders mentioned that we should bear in mind that Mugabe will retire in a few years. Putting pressure on Zimbabwe, including sanctions, might lead to internal conflict. We should be discreet and careful."[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]It is expected that China will use its veto power at the United Nations to block the imposition of sanctions on Zimbabwe. Russia is also seen likely to balk.

The G8 groups Britain, Canada, France, Germany, Italy, Japan, Russia and the United States.
[/FONT]
 
kama Email Ya Ikulu Ni At Yahoo Kwanini Kina Dr Slaa Na Kina Sinclair Wasipate Report Za Serekali Kabla Ya Bunge, Harafu Walivyo Wapuuzi Mambo Mengine Wanaita Usalama Wa Taifa
 
Na mbaya zaidi ,unajua kwanini picha ya Rais imebdailishwa,eti ile ya mara ya kwanza ilionesha Mkuu ana sikio moja tu
 
Na mbaya zaidi ,unajua kwanini picha ya Rais imebdailishwa,eti ile ya mara ya kwanza ilionesha Mkuu ana sikio moja tu

duh.. sikujua ana masikio mawili, kuna watu naona kama alikuwa hasikii hivi..
 
UK: Gordon Brown and Kikwete focus on development (G8)

The Prime Minister and Tanzanian President Jakaya Kikwete held a bilateral meeting at the G8 Summit earlier today. A Downing Street spokesman said Mr Brown was full of praise for Mr Kikwete, who is also Chair of the African Union, as one of a new generation of dynamic leaders in Africa.


Talks centred on how to get development resources to those in Africa who need them most, especially relating to health and education.


Mr Kikwete visited Number 10 in June to take part in a Commonwealth meeting on reform of world institution.
 
AU Chiefs Expected To Give Harare Talks Impetus After G8 Summit


Efforts to bring Zimbabwean President Robert Mugabe and opposition leader Morgan Tsvangirai together for power-sharing talks could receive a fresh impetus following the Group of Eight summit in Japan when Tanzanian President and African Union Chairman Jakaya Kikwete and AU Commission Chairman Jean Ping arrive in Harare for discussions including South African President Thabo Mbeki, Tsvangirai told VOA on Tuesday.


Reports from Pretoria said Mr. Mbeki has come up with a draft proposal that has been circulated to all concerned parties.



Under the Kenyan-style deal, Mr. Mugabe would continue as president and Tsvangirai would become prime minister, while rival opposition leader Arthur Mutambara and former finance minister and presidential hopeful Simba Makoni would receive top cabinet posts.



Tsvangirai told reporter Blessing Zulu of VOA's Studio 7 for Zimbabwe that no talks will take place until Kikwete and Ping arrive in Harare in the coming days.
Correspondent Benedict Nhlapho reported from Pretoria that South Africa on Tuesday urged Zimbabwe to establish a government inclusive of all stakeholders, saying the country's problems cannot be solved under current political conditions.


Meanwhile Western nations seemed likely to be able to pass a United Nations Security Council resolution imposing sanctions on President Mugabe and other top Harare officials. A vote on the U.S.-drafted resolution for sanctions is expected later this week.


"Yes, we think" nine of the 15 votes needed to approve the resolution are lined the French ambassador to the U.N., Jean-Maurice Ripert, told reporters. "It's obvious there is global support for tougher measures."


Strengthening that view was the briefing to the Security Council on Tuesday by U.N. Deputy Secretary-General Asha-Rose Migiro, Tanzanian foreign minister until last year.
Migiro, who observed the African Union summit in Egypt last week, told the council Mugabe's re-election in an election widely condemned as illegitimate "has the potential to affect regional peace and security in profound ways."


Migiro added: "This profound crisis of legitimacy is further compounded by the paralysis of state institutions. There is currently no functioning parliament. Civil society has been silenced and intimidated," Migiro concluded. "The principle of democracy is at stake."

The proposed U.N. sanctions include an international arms embargo and a freeze on the personal assets of Mugabe and 11 other top government officials whom the U.S. believes played a key role in using violence to intimidate Mr. Mugabe's opposition.


African Union leaders at the Group of Eight summit adopted a resolution urging dialogue in Zimbabwe, but they did not directly criticize Mugabe or the runoff.
The AU leaders said they were "deeply concerned" about the situation - but their only commitment was to support "the will" for a unity government.




After briefing the Security Council, Migiro emphasized that Mugabe must negotiate a political solution with the opposition and Tsvangirai, who dropped out of a June 27 presidential run-off election citing state-sponsored beatings and killings of his supporters.


Political analyst Rejoice Ngwenya told reporter Blessing Zulu of VOA's Studio 7 for Zimbabwe that the G-8 resolution supporting U.N. action was important because it sent a clear message to Mr. Mugabe that the entire world is watching Zimbabwe.
 
Mkuu Salva naomba uonane na waTZ ushughulike nao ktk domain zetu nchi, pls hii kitu sikubaliani nayo hata kidogo" ikulumawasiliano@yahoo.com"

Ninakuomba Mkuu tuondolee aibu hii ya akina yahoo
 
20080707-2_d-0300-2-515h.jpg

President George W. Bush and President Jakaya Kikwete of Tanzania talk to the media Monday, July 7, 2008, after the G-8 Working Session with the Africa Outreach Representatives in Toyako, Japan. President Bush congratulated his counterpart for his leadership, saying, "I really want the American people to hear firsthand how successful their generosity has been, whether it be on HIV/AIDS or malaria. And Tanzania is a good example. But success would not have taken place without your leadership..." White House photo by Eric Draper
 
Originally Posted by Gembe
Na mbaya zaidi ,unajua kwanini picha ya Rais imebdailishwa,eti ile ya mara ya kwanza ilionesha Mkuu ana sikio moja tu
Waongo wanataka ya sasa hivi maana amenenepa ile alikuwa hajala vya kutosha. kwi kwi kwi kwi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom