Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Pole Mushi kwa masahibu yanayokukuta. Lakini, wanakuchongea kwa sababu unachangia thread zao au kwa sababu unayoyaandika? Kama wanakuchongea kwa sababu unachangia thread zao, mimi sitaki kuamini mpaka nitakapopata uhakikisho lakini nianze kwa kuonya tu kuwa kama ndivyo hivyo, huko tutakuwa tunakwenda kubaya

Kulikuwapo na threads zenye mwelekeo wa kikabila na kidini na mimi nilikemea bila woga!

Nenda kwenye profile yangu kuna watu badala ya kuni pm wanakuja wanapost na kuni harass..Na kila nikichangia...Then wakanichongea nifungiwe!

Nikafungiwa...Then kuna wengine bado wananichongea.
Sasa na mimi najihadhari...Na kama kuna ambaye hataki nichangie thread yake basi ani PM.

Na si kwenda kutoa malalamiko yasiyo na msingi.

Kama ni kutukanwa nishatukanwa kila aina ya matusi!

Lakini humu kuna watu wanjuwana...Mimi nawajuwa watu hapa kwa maandishi yao na si vinginevyo.
Unachoandika ndicho unachopimwa nacho na kujuana ni baadae.

Kama kuna mtu unamfahamu na bado unamtetea kwasababu tu unamfahamu...Then nina mashaka kama watu hao wanaweza kutupatia viongozi wazuri kwani mambo ya kitaifa yanaweka sympathy pembeni!

WE ALL SHOULD SYMPATHISE WITH THE PEOPLE na si vinginevyo kwa sababu tu mi ni flani na namjuwa flani kuwa hawezi kuwa MKABILA WALA MDINI....Na huku tukiona wazi threads zenye mwelekeo huo wa kimajina majina...Huku wakisahau RA na ANDY.

NA WAKATI KILA KITU NI UCHAGGA HIVI UCHAGGA VILE...Na wale wa dini...Uslam hivi...Ukristo vile!

Hizo ni siasa na mimi hapa niko kwa sababu si za kisiasa...NO...Bali HAKI...HAKI AMBAYO NI SHERIA.
 
Reverand naomba uachane na mimi na mimi nitafanya the same!
Wewe sio baba yangu kunieleza nimekuja kukusikiliza wewe hapa!
Mkubwa ama mdogo..Mwanakijiji ma mwana mjini...Wote tunamichango yetu na tunasikilizwa bila kukemewa!
Unaniudhi sana na tabia yako ya kunikemea all the time!
<LI class=floatcontainer id=vmessage108>
22nd May 2008 09:36 PM
Rev. Kishoka

Ulipokuja, ulionekana kuwa ni makini, ukajijenge heshima. Lakini unaleta ubishi na kung'ang'ania mambbo bila kuwa na facts za kutosha na si msikivu au mwanafunzi mwema. Your methods to try and solve the puzzle or connect the dots are completely backwards and ice aged.

Tuliza boli, sikiliza na ujifunze.

Ujuha unajipaka rangi ya kijuha mwenyewe!
<LI class=floatcontainer id=vmessage106>
22nd May 2008 06:38 PM
jmushi1

Ni lini hiyo nilshawahi kuwa na hadhi ambayo sasa imeshuka?
Kwani all the time si umekuwa ukinifanya nionekane juha?
<LI class=floatcontainer id=vmessage105>
22nd May 2008 06:31 PM
Rev. Kishoka

Umejishushia hadhi kwa uzushi kuwa Daudi Ballali ni sasa Daudi Kinyaga!
<LI class=floatcontainer id=vmessage104>
22nd May 2008 05:01 PM
jmushi1

Nimejishushia hadhi kivipi?
Ukweli usipowekwa wazi kunakuwa na conspiracy theories!
<LI class=floatcontainer id=vmessage88>
22nd May 2008 10:10 AM
Rev. Kishoka

Mushi,

Ukishauriwa, kubali ushauri. Hii habari ya Kinyaga umejishushia hadhi sana, laiti ungesikiliza ulichoambiwa na Mtu wa Pwani!
<LI class=floatcontainer id=vmessage87>
22nd May 2008 07:31 AM
jmushi1

Kivipi mkuu naomba uwe specific!
<LI class=floatcontainer id=vmessage86>
22nd May 2008 06:22 AM
Mtu wa Pwani

sawa mkuu ila ukienda kwa kasi utajigonga na utaangukia pua
<LI class=floatcontainer id=vmessage85>
21st May 2008 11:46 PM
jmushi1

Ni mambo yanayosikitisha ndugu yangu!
Wala hata sijui kwamba thats the case ila niko very closely kwnye conversation na pia kuna mambo ambayo yanakatisha tamaa!
<LI class=floatcontainer id=vmessage69>
21st May 2008 05:32 AM
Mtu wa Pwani

mkuu unatisha, nnakupongeza kwa speed ya maandiko
 
Mimi nilikuwa nimeangalia from a professional standpoint only, kwamba huwezi kutumia e-mail ya Yahoo proffesionally.

Hilo la vijana wa silicon valley kuwa na access ya e-mail za Ikulu sikuliona kabisa. Yani haya ni mahoka!

Ni nani huwa wana m-contract kuwashauri kwenye mambo ya IT?

Umeshawahi kutembelea website ya Bunge kutafuta document au bio ya Mbunge?

Kama hujawahi, acha. You don't wanna punch your PC screen!

Hii ni another mtego tulioustukia
ila naamini slava pekee ndie anayeweza kuwa na aina hii ya fikra....
halafu naona ameanza kwa speed nzuri ktk kufanya kazi inayofanana na ile contract aliyopewa na richmond kusafisha hali ya hewa ili kuonekane kuwa kuna deliverance ya somethings in nothings.....

JMUSHI
kanyaga twende wala usikonde and usiwe offended kwa kufungiwafungiwa kila mara ni vijimambo tu. mpaka sasa ktk michango yako sijaona kosa lolote labda wanakufanya bangusilo tu...
 
Niliomba wakakuamshe,Naona umeshaaamka

Mzee Mwanakijiji,
Hoja si kwamba wangwe aje atokee CCM ili tuone kuna Udini,La hasah hoja ni kwamba Kamati kuu kuna Udini?Rejea wajumbe wa kamati kuu wanapatikana vipi?Je unadhani woete kuwa waislam ua wakistro huwa inapangwa na wajumbe wanaowapigia kura?Si kweli hii imetokea tu


Suala la CHADEMA kuchagua hao 6 lilipangwa na Viongozi wa juu wenye Maslahi yao Binafsi na hili.Na ndiyo hoja ya wangwe inapoonekana ina ukweli ndani yake na siyo maneno ambayo yanatolewa na Mpaka kieleweke kwamba alikutana na Rostama Pale Kempski.Je CHADEMA inakataza wanachama wake kuwasiliana na Mtu au kada wa chama Kingine?Mbona mie huw anakutana sana na Zitto(japo hajui mie ni member wa JF) na kuzungumza naye sana tu na watu wa chama changu wananiona ?au kwasabau mie siyo kiongozi mkubwa wa chama ila ni kiongozi wa kawaida??

Zitto KABWE alikuwa akibadilishana koti lake na AMINA CHIFUPA wakiwa bungeni na alisema atandaa kitabu cha maisha ya marehemu AMINA CHIFUPA, WANGWE anaasingiziwa anakutana na KABOURU AMANI ndio kosa lake,vipi aliyekuwa akibadilishana koti na marehemu Amina alichukuliwa hatua gani na hao wazee wa Chadema?
 
Zitto KABWE alikuwa akibadilishana koti lake na AMINA CHIFUPA wakiwa bungeni na alisema atandaa kitabu cha maisha ya marehemu AMINA CHIFUPA, WANGWE anaasingiziwa anakutana na KABOURU AMANI ndio kosa lake,vipi aliyekuwa akibadilishana koti na marehemu Amina alichukuliwa hatua gani na hao wazee wa Chadema?

Sasa wangapi katika CCM wanabadilishana makoti?
 
Wangwe kweli umeamua!
Sasa bana kaa vizuri na hao watu maana wanaweza wakachukuwa nchi hiyo!
Ni ushauri tu.
Usikubali bana maana sasa ni noma tupu!
Duh! Jamani...Hamutaki hata marehemu Chifupa ajipumzikie zake kwa amani?
Na mumewe mpakanjia si ndiyo bado tu unamuudhi kwa kumzungumzia mkewe kwa namna uliyofanya hapo juu?
Ama huamni Chifupa naye ni shujaa wetu aliyetutoka?
 
Sasa wangapi katika CCM wanabadilishana makoti?

Jibu swali sio kuuliza swali,swali letu la leo ni kuwa Wangwe inadaiwa kuwa alikutana na Rostam MOVENPICK Hotel hilo ni kosa kwa mujibu wa Chadema kukutana na MwanaCCM, swali langu mbona zitto Kabwe alikuwa akikutana nao hadi kubadilishana makoti. na vipi mbunge wa Chadema aandike wasifu wa mbunge wa CCM wakati kina Muhonga,Mdee,Suzan Lyimo,Lucy Kihwelu wapo? huo sio usaliti?
 
Mgagagigikoko... hii ni mada ya CCM ndio maana nimekuuliza swali. Ukitaka ya Zitto, au ya Marehemu Amina anzisha tu. Lakini hapa mada imehusu madai ya udini ndani ya Kamati Kuu ya CCM unaotokana na idadi.
 
Mgagagigikoko... hii ni mada ya CCM ndio maana nimekuuliza swali. Ukitaka ya Zitto, au ya Marehemu Amina anzisha tu. Lakini hapa mada imehusu madai ya udini ndani ya Kamati Kuu ya CCM unaotokana na idadi.

Mara zote umekuwa ukikanusha kuwa mada hii hujakusudia udini, kumbe umekuwa kinyonga ambaye unabadilika kila dakika na kuficha kilichoko moyoni mwako.
 
Mwanakijiji vita yako kwa wangwe umeanza muda mrefu soma kumbukumbu hii.


Thread Tools

28th March 2008, 10:37 PM
mtalii
mtalii has no status.
JF Senior Expert Member Join Date: Thu Dec 2006
Posts: 272
Rep Power: 22

Thanks: 58
Thanked 86 Times in 65 Posts
Credits: 9,275

Mwanakijiji Awagombanisha Chadema

--------------------------------------------------------------------------------

Kama kawaida Chama cha Wachagga-Chadema, kimekumbwa na gogoro heavy na mwenyekiti na Makamu wake hawaelewani.

katika hali isiyotarajiwa mtumishi wa Mbowe maarufu kama Mwanakijiji ameporomosha maneno ya kejeri kwa mheshimiwa Wangwe.

habari kamili iko kwenye redio ya Mwanakijiji au redio ya Chadema kwani ccm wanamiliki Redio Uhuru na wenzetu Chadema wamekuja na redio yao.sikiliza vitimbi vya gogoro hilo.
http://mwanakijiji.podomatic.com/ent...22_32_09-07_00
 
Mgagagigikoko... hii ni mada ya CCM ndio maana nimekuuliza swali. Ukitaka ya Zitto, au ya Marehemu Amina anzisha tu. Lakini hapa mada imehusu madai ya udini ndani ya Kamati Kuu ya CCM unaotokana na idadi.

Kwa n-taji huu, vyama vyote vina udini!!!!
 
Mwanakijiji vita yako kwa wangwe umeanza muda mrefu soma kumbukumbu hii.


Thread Tools

28th March 2008, 10:37 PM
mtalii
mtalii has no status.
JF Senior Expert Member Join Date: Thu Dec 2006
Posts: 272
Rep Power: 22

Thanks: 58
Thanked 86 Times in 65 Posts
Credits: 9,275

Mwanakijiji Awagombanisha Chadema

--------------------------------------------------------------------------------

Kama kawaida Chama cha Wachagga-Chadema, kimekumbwa na gogoro heavy na mwenyekiti na Makamu wake hawaelewani.

katika hali isiyotarajiwa mtumishi wa Mbowe maarufu kama Mwanakijiji ameporomosha maneno ya kejeri kwa mheshimiwa Wangwe.

habari kamili iko kwenye redio ya Mwanakijiji au redio ya Chadema kwani ccm wanamiliki Redio Uhuru na wenzetu Chadema wamekuja na redio yao.sikiliza vitimbi vya gogoro hilo.
http://mwanakijiji.podomatic.com/ent...22_32_09-07_00

hahahahaha... mimi siyo mjadala na wangwe siyo mjadala hapa. mjadala ni CCM. Soma kichwa cha habari.
 
Mpaka Kieleweke said:
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
NA
WANANCHI WA TANZANIA

KUSIMAMISHWA KWA MHESHIMIWA CHACHA ZAKAYO WANGWE (MB.) KUWA KAIMU MAKAMU MWENYEKITI WA TAIFA (BARA) WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

Mheshimiwa Chacha Wangwe yeye mwenyewe na/au kwa kutumia wanachama na/au viongozi waliochukuliwa hatua za kinidhamu na vikao halali vya chama amekuwa akitoa kashfa dhidi ya chama, viongozi wake na/au watendaji wake.

Bila ya kujali ushahidi uliopo hadharani wala maamuzi ya vikao vya chama ambavyo yeye mwenyewe alishiriki kuyafikia, Mh. Wangwe amekuwa akikituhumu chama, viongozi wenzake wa kitaifa na watendaji wake wa ngazi za juu kwa ukabila na/au udini.

Licha ya ushahidi wa wazi kwamba viongozi wa ngazi za juu akiwemo yeye mwenyewe wametoka sehemu mbali mbali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Chacha Wangwe ameendelea kutuhumu kwamba kuna upendeleo kwa Wachagga na/au watu wa kaskazini ya Tanzania.

Kwa vitendo na matukio yote haya, Kamati Kuu ya CHADEMA imejikuta haina njia yoyote ile ya kuepuka mgogoro mkubwa zaidi na usio na maana au msingi zaidi ya kumchukulia hatua za
Asanteni sana
-----------------------------------------------
Freeman A. Mbowe
MWENYEKITI.

Mkjj huoni kama hii thread yako ina kufanana na mojawapo za sababu za kusimamishwa uongozi wa Mhe Wangwe?

Au ulitaka kuhalalisha sababu zako potofu kuhusu udini?
 
mwanatanu... lengo la mada yangu ni kuonesha the absurdity (upuuzi) wa hoja za kuona ukabila unaotokana na idadi. Hoja ya Ukabila katika Chadema is solely and singularly based on numbers. Kwamba kwa vile idadi iliyozidi ya x1 ndani ya seti A ni kiasi fulani kulinganisha na idadi ya y1 and z1 kwenye seti hiyo basi kilichopo ni ukabila.

Hoja yangu imejaribu kuonesha kuwa kwa mtindo huo kwa vile x2 katika seti B ni kiasi fulani cha idadi iliyozidi kulinganisha nay y2 na z2 basi kilichopo ni udini. Where x1 and x2 possess certain observable distinguishing and immutable/hard to change characteristics.

Hoja ya ukabila inayotegemea idadi ni hoja ya kipuuzi kama ile ya udini inayotegemea idadi.
 
Hizi hoja,miaka ya nyuma zilikuwa huzisikii kabisa...sasa sielewi tulikuwa gizani au uzalendo ulikuwa ndani ya damu?....

hoja za ukabila na udini siyo ngeni Tanzania. Zimekuwepo tangia miaka ya sitini. Tatizo ni kuwa majibu yaliyotolewa na yanayoendelea kutolewa hayakubaliwi. Mtu mwenye hisia ya udini au ukabila hakubali majibu yoyote yasiyohalalisha ukabila/udini huo. Kwa sababu suala la udini au ukabila ni suala la mtazamo tu, na mtazamo ambao unakataa maelezo mengine yoyote ya kimantiki.

Mtu mwenye hisia ya ukabila au udini akiona wachaaga watano mahali moyo unaanza kumdunda, na akisikia waislamu sita mahali fulani anaanza kutokwa jasho la kwenye kikwapa. Na kitu fulani kikimkuta mikononi mwa hao watu aliowakuta kwake yeye anachoangalia ni ukabila au udini.

Hili ninalolisema utaliona sana kati ya wamarekani weusi kiasi kwamba mtu akisimamishwa na Polisi wawili weupe na yeye mweusi basi anaanza kuanza racism. Hajiangalii kama ana makosa au ana matatizo fulani.

Mtu mwenye hisia ya udini/ ukabila hajiangalii yeye mwenyewe na kujitafakari kama ana ukabila au udini. Anakwenda kila mahali na akiona watu ambao tayari amejenga hisia ya ukabila/udini kwao basi atakutana nao kila mahali.
 
Mwanakijiji Upo?

Kitabu cha Zitto kuhusu Maisha ya Chifupa soma hapa.
https://www.jamiiforums.com/archive/index.php/t-7500.html

Hapo kwenye Chifupa(Mungu amlaze pema) Mwenye shida ni Emmanuel Nchimbi na Mpakanjia na si Zitto hata kidogo!

Hiyo ni mojawapo ya mitego ya ccm kwani kijana wa watu ana potential!

Dada wa watu anaweza akawa ameuwawa yule! Ni masikitiko makubwa na tunataka uchunguzi wa kifo chake kwani hiyo ndiyo mojawapo ya sababu za woga wa wabunge wengine!

Hakuna dili wala nini hawa watu kuuwawa hovyo hovyo namna hii na wewe sasa mpambano wako huu unawanufaisha wauwaji wa ccm!

NB:Kumbuka kuwa Zitto alisema kuwa ujasiri wake ndio uliomfanya wakawa wanafanya kazi kwa pamoja na karibu! Hivyo basi usije shangaa Zitto akawa na DATA zote za ufisadi wa ndani kwa ndani wa kina Nchimbi!
Kwani listi ya mazungu si anayo JK?
Pia tunamwombea kijana Mungu amlinde na yale yaliowakumba wanasiasa waliokuwa na mwelekeo kama wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom