Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,520
MWANAKIJIJI.
Jana kwenye mjadala wa Wangwe kusimamishwa na Chadema ukurasa wa 52 ulisema maneno yafuatayo, nakunukuu,
'LINAPOKUJA SUALA LA UKABILA NA UDINI UPANDE WANGU, IAM VERY STRICT AND FOCUSED KWANI HOFU YANGU NI KURUHUSU KUTENGENEZA CHUKI HATA ISIYO NA MSINGI'
mwisho wa kunukuu au rejea maneno yako nayaambatanisha hapa. chinihttps://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=14998&page=52
Swali baada ya kuweka mchango wako kule umekuja hoja kufungua mjadala wa kidini ambao kule kwenye ukabila ulijumuisha kwa kusema kuwa ni KURUHUSU KUTENGENEZA CHUKI HATA ISIYO NA MSINGI. kauli hizi mbili za kutatanisha umezitoa siku moja muda tofauti,hatukuelewi unakusudia nini au tushike lipi?
wewe sasa ndio unazidi kuharibu kabisa. Huwezi kutetea ccm kuwa chama cha kiislam sasa hivi kwa vile tu wakati wa mkapa kilikuwa cha kikristo. Hii bado haibadili hii dhambi ya kuangalia watu kwa misingi ya ukabila na udini.
Unataka kubisha kuwa hayo majina sio ya kiislam na hivyo kuifanya ccm chama cha kidini?
Sijasema kuwa Mkapa alikuwa na CCM ukristu wala Kikwete ana CCM uislam,nimetoa data zichambuliwe kama alivyotoa Mwanakijiji ili aende zaidi unapofanya utafiti unaanzia kipindi fulani hadi fulani tuseme 1995-2010. huwezi kusema au kufanya utafiti bila data, lakini nakukumbusha dhambi za Udini Kikwete hana wasaidizi wake wa kazi kiserikali alikuwa Lowassa mkristu akaja Mizengo PINDA mkristu wa kushinda akipokea misalaba makanisani karibu wiki mbili za uwaziri mkuu alikuwa akipokea misalaba na Katibu mkuu kiongozi Luhanjo- mkristu kwenye serikali, kwenye chama yuko na Msekwa-mkristu.Umoja wa vijana kuna Emanuel Nchimbi mkristu, hadi jumuiya ya wazazi mkristu
Mkapa alikuwa na Sumaye mkristu kama waziri mkuu,Martin Lumbanga katibu mkuu Ikulu alikuwa mkristu, na MALECELA JOHN kwenye chama kama makamu mwenyekiti nae ni mkristu,Mwenyekiti wa umoja wa vijana mkristu Bwana Nchimbi.
Mwanadani wa Kikwete ni waziri Membe mkristu na Gavana Benno Ndulu mkristu,
Wakati wandani wa Mkapa walikuwa Daniel Yona Mkristu na Basil Mramba Pesa Mbili mkristu,Martin Lumbanga-mkristu,Daudi Balali Mkristu hawa ndio best wa Mkapa.
Fanyeni utafiti vizuri makatibu wakuu,mawaziri,wakurugenzi wa mashirika ya Umma,maafisa tawala wa mikoa,wilaya na wakuu wa wilaya kipindi cha Kikwete ikiwa waislam wengi basi mumtuhumu na Udini,Fuatilieni teuzi za Lowassa na pinda hasa alipokuwa TAMISEMI alirundika watu wa dini gani?
kamati kuu si KIKWETE aliowaweka hao wahusika, naomba time frame work ya utafiti wa kidini kuanzia uhuru au 1995-2008? lazima utafiti uwe na muda maalum.
Mwanakijiji/mgaya/mkandara
Naomba mwongozo wa JF
Hizo ID ni halali kutaja watu wa ccm na marufuku kutaja watu wa CHADEMA.??
huu sasa uhuni
namimi nitaanza kuwataja ID zenu mkinifungia na UNBLOCK ama na ninyi na wafungia vilevile.
Nikiwa mtu mwenye maslahi ya pekee kwenye CCM
ni nani aliyeleta suala la Uislamu na Ukristu kwenye mada hii? Kwanini mmekimbilia Uislamu na Ukristu...
...Katika pita pita yangu na kuchunguza nimegundua kuwa asilimia 65.78 ya uongozi wa Kamati Kuu ya CCM ni watu wa dini moja. Kama udini ni wingi wa watu wa dini moja kwenye ngazi fulani, tunaweza kusema kusema kuwa Kamati Kuu ya CCM ina udini? Je kuna sababu yoyote ya msingi ya kwanini watu 25 kati ya 38 wawe ni wa dini moja? Je imeshindindikana kwa CCM kutafuta njia ya kuweza kugawa nafasi hizi kwa kuangalia uwiano wa dini?
... in this case udini (yaani idadi ya watu wa dini moja mahali pamoja ambayo haina maelezo ya kuridhisha).
Ukweli ni kwamba, ukianza kuchunguza maeneo au majina au makabila ya watu ili kuangalia kama kuna udini au ukabila basi utajikuta unakosa kanuni kamili ya kufikia hitimisho lako.
Kwa msingi huu, mimi nilisema hapa muda mfupi baada ya uchaguzi wa ccm kuwa ccm ni chama cha kiislam kwa vile viongozi wake asilimia 75 (kwa hesabu zangu na ufahamu wangu) ni waislam.
ni nani aliyeleta suala la Uislamu na Ukristu kwenye mada hii? Kwanini mmekimbilia Uislamu na Ukristu...
Kwani mada yako hapa sio udini?:
Na ukiongolea udini Tanzania, huongelei Ukristo na Uislamu?
Mwnkjj, utajutia hii thread, I tell you!
Unataka kubisha kuwa hayo majina sio ya kiislam na hivyo kuifanya ccm chama cha kidini?
Mbona Hollo amekubali yeye CHENGE?
Leo kweli naye naona Kikwete.
hahahah.. I have been here before my friend na karibu wengi wanaochangia have been here before. Usiwe na shauku sana. Mada yangu hapa siyo ya udini. That is where everybody miss the point while confirming it.
mgagagigikoko.. unathibitisha hoja kuwa ukimuona mtu anaitwa Kimaro haina maana ana ukabila! Na ukiona mama anaitwa mama Mushi haina maana ni Mchagga! Na ukimkuta mchagga aliyezaliwa na kukulia usukumani na anaitwa Massawe usije ukakimbilia na kusema anatoka Kilimanjaro! of course, kwenu mtasema anatoka Kilimanjaro kwa sababu ndicho kilichotumiwa kwa Mdee hicho siyo?
mgagagigikoko.. unathibitisha hoja kuwa ukimuona mtu anaitwa Kimaro haina maana ana ukabila! Na ukiona mama anaitwa mama Mushi haina maana ni Mchagga! Na ukimkuta mchagga aliyezaliwa na kukulia usukumani na anaitwa Massawe usije ukakimbilia na kusema anatoka Kilimanjaro! of course, kwenu mtasema anatoka Kilimanjaro kwa sababu ndicho kilichotumiwa kwa Mdee hicho siyo?
Udini hapa nautafsiri kuwa ni wingi wa watu wa dini moja kwenye ngazi fulani ya uongozi ukilinganisha na ngazi nyingine. Katika pita pita yangu na kuchunguza nimegundua kuwa asilimia 65.78 ya uongozi wa Kamati Kuu ya CCM ni watu wa dini moja. Kama udini ni wingi wa watu wa dini moja kwenye ngazi fulani, tunaweza kusema kusema kuwa Kamati Kuu ya CCM ina udini? Je kuna sababu yoyote ya msingi ya kwanini watu 25 kati ya 38 wawe ni wa dini moja? Je imeshindindikana kwa CCM kutafuta njia ya kuweza kugawa nafasi hizi kwa kuangalia uwiano wa dini?
Nikiwa mtu mwenye maslahi ya pekee kwenye CCM naona jambo hili si zuri na litazua manung'uniko yasiyo ya lazima. Kama kikundi, taasisi, au jumuiya fulani ina watu wenye sifa moja inayolingana, sifa ambayo inawatofautisha na watu wengine hasa ya vitu kama kabila, rangi, au dini basi mahali hapo ni pa kuangaliwa kwa karibu.
Katika siasa, tukitumia "Wangwe's Doctrine" kuwa endapo asilimia 50 ya watu wenye sifa hizo wakakutwa mahali pamoja ni ukabila/ukanda basi ni wazi mahali ambapo pana asilimia 65 ya watu wenye kulingana sifazao kutofautishwa na wengine basi napo patakuwa na tatizo, in this case udini (yaani idadi ya watu wa dini moja mahali pamoja ambayo haina maelezo ya kuridhisha).