Udhalilishaji waendelea Kisiwani Pemba Zanzibar

Udhalilishaji waendelea Kisiwani Pemba Zanzibar

Kwa hiyo watu watembee uchi kwa sababu zamani mavazi hayakuwepo? Duni imepambana sana kufika hapa tulipo kuna madhara makubwa kwa baadhi kulazimisha kuishi tulipotoka, maana tulipotoka kulikuwa na mambo mengi na kulikuwa na mapungufu mengi pia.
Utataka leo watu wasiende shule shule sababu zamani kulikuwa hakuna mashule?
Watu watembee uchi sababu zamani hapakuwepo nguo?
Baadhi ya jamii ziendelee kuua na kuwala watu wa jamii nyingine sababu siyo wa jamii yao?
Watu waendelee na maisha ya uwindaji na kulala maprini sababu zamani waliishi hivyo?
Kusiwe na sheria wala restrictions kwa sababu zamani hazikuwepo kama za hivi sasa

Modernization ina mambo mengi mazuri ila kuna vijikunda vinapenyeza ya kwao hapo ndipo wanapotaka kutuharibia modernization.

Elewa, lengo kuu la uwepo wa binaadam ni kuhakikisha anai modenise na kui covilize dunia na jamii zake.
Narudia tena, “kila kizuri kina ubaya wake and vice versa” nadhani hii ilitosha kukufanya uelewe maana unaongea as if hiyo Modernization haina madhara tena makubwa tu yaliyojitokeza kwa binadamu, wanyama, mimea na universe kiujumla.

Swala sio kurudi porini, mind you that there’s still a society of humans living in the bush till this moment, yet life goes on.

End of the day, ni nani hasa mwenye kipimo cha kusema haya mavazi ni ya heshima? Huu mnyoo kwa mwanaume ni sahihi!!! Na vitu kama hivyo. Mi nadhani civilization iendane na asili ya sehemu husika, utamaduni na mila as ustaarabu wa mzungu unaonekana haifai kwa Muarabu, same applies kwa jamii nyingine nyingi zilizojitambua na kuweka misingi yake. Kwa Zanzibar ni copy and paste, kama mtu kavaa skin jeans yake utasema yupo uchi?
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Vijana wa kiume wanaoingia Pemba wakiwa wamenyoa kiduku au virasta uchwara,wananyolewa pale pale bandarini.Vijana wa kiume waliovaa vi jinsi vimewabana vigimbi hadi makalio,wana mikasi wanazichana.Sasa sijuwi munataka vijana wa kiume wajifananishe na wa kike ndo museme haki za Binadamu.Baadhi ya memba JF ni mashoga lazma wateteee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Zanzibar sio nchi ya kidini bali ni nchi yenye wakazi wengi waisilamu. Kuwa nchi yenye waisilamu wengi, hakutoi haki yoyote ya kuwalazimisha wkuvaa au kuwa ni mitindo inayoridhisha waisilamu wa maeneo hayo. Mnasema ni mashoga ili mjipe uhalali wa kuingilia uhuru wa wengine. Kama wewe unashinda na kanzu, suruali nusu uwanja na kuvaa makobazi, sio kila mtu lazima awe kama ww. Nyie mnao fanya hivyo kwa kisingizio cha maadili, huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Kama hao vijana wanavunja sheria yoyote ya kuvaa hivyo, badala ya kuwadhalilisha wapelekeni mahakamani mkadhibitishe hayo makosa yao.
Basi angeweka hata kipande cha gazeti kama source of info ili tuamini.

Uko sahihi sana, lakini vingapi vimewekwa hapa jukwaani na ushaidi juu lakini hakuna stahiki, kiasi kwamba udai ushahidi kwenye hili?
 
Ukiwa na jeans na tracksuit zenye kubana miguu skinny jeans zinachanwa na nywele kama umekata mikato isio ridhisha watawala

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!..kipindi cha mfungo wa Ramadhani mambo kama hayo huibuka sana huko visiwani.

Hivyo huo ni muendelezo tu wa matukio hayo.
 
Narudia tena, “kila kizuri kina ubaya wake and vice versa” nadhani hii ilitosha kukufanya uelewe maana unaongea as if hiyo Modernization haina madhara tena makubwa tu yaliyojitokeza kwa binadamu, wanyama, mimea na universe kiujumla.

Swala sio kurudi porini, mind you that there’s still a society of humans living in the bush till this moment, yet life goes on.

End of the day, ni nani hasa mwenye kipimo cha kusema haya mavazi ni ya heshima? Huu mnyoo kwa mwanaume ni sahihi!!! Na vitu kama hivyo. Mi nadhani civilization iendane na asili ya sehemu husika, utamaduni na mila as ustaarabu wa mzungu unaonekana haifai kwa Muarabu, same applies kwa jamii nyingine nyingi zilizojitambua na kuweka misingi yake. Kwa Zanzibar ni copy and paste, kama mtu kavaa skin jeans yake utasema yupo uchi?
Sasa na wewe unalalamika nini, kama hakuna mwenye kipimo si mute tu mpala kipimo kiletwe. Lwani huko Pemba ni asili yao kuvaa viinguo vya kubana?? Wewe vipi bana!!
Wewe Ndombwindo nini!!
 
Vijana wa kiume wanaoingia Pemba wakiwa wamenyoa kiduku au virasta uchwara,wananyolewa pale pale bandarini.Vijana wa kiume waliovaa vi jinsi vimewabana vigimbi hadi makalio,wana mikasi wanazichana.Sasa sijuwi munataka vijana wa kiume wajifananishe na wa kike ndo museme haki za Binadamu.Baadhi ya memba JF ni mashoga lazma wateteee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu utashangaa idadi ya mashoga pemba ni kubwa kuliko watokako hao vijana uwazungumziao, ni sawa na ufirauni unaofanyika katika nchi za kiarabu licha ya mavazi ya kujistili kushamiri. Binadamu ni kiumbe mnafiki sana, wanyama wapo real sana na ndio maana swala akiona simba huwezi mkuta anamchekea. Pretenders are worse than killers.
 
Wapemba wamefikwa na nini siku hizi, mbona mumepoa sana ndugu zetu?

Kama jegging hawazitaki basi wangepiga marufuku zisiuzwe madukani humo katika wilaya yake.

Na huyo bibi aliyetajwa hapo Salma ni mkuu wa Wilaya nyengine nasikia ana resort kwa kuwapiga bakora hadharani watu wanapovunja petty laws e.g. dala dala kuzidisha abiria, wanawake kukata mauno wanaposheherekea harusi na vitu vya kipumbavu kama hivyo ambavyo vyengine wala si uvunjifu wa sheria.

Nakupeni wasia wakuu wa Wilaya nyie hasa Mwadini na Salma someni historia ya waliokuwa wababe huko Pemba kama Abdallah Rashid Mamba na yule usalama wa taifa aliyeuliwa 1972 akijaribu kuzuwia magendo ya kuingiza chakula wakati kuna ukame, yakija kuwafika itakuwa too late then!

Kufuga nywele ndefuni uvunjaji gani wa sheria? Kuvaa skin tight jeans ni uvunjaji gani wa sheria? Panel code gani inakupa nguvu wewe kuikata suruali ya mtu aliyovaa? Hamuna vision ya uongozi munatuletea mambo ya kipumbavu. Wacheni ujuha musijitie aibu kuona munawagurahisha mabwana zenu!
 
Mtoa mada umeandika kama vile sisi wote humu ni Wakazi wa Pemba, tuna ndugu Pemba, au tunajua kinachoendelea huko Pemba! Ungefafanua kwa kina kinachoendelea huko, na pia ikibidi utoe mapendekezo ya nini cha kufanywa na mamlaka husika ili kuondoa hiyo kadhia.
Atakuwa yuko kwenye ndoto za mchana ama face book
 
Nchi ikishakuwa na itikadi za kiislamu, tegemea ghasia, machafuko na matatizo makubwa sana ambayo yanaenda mpaka kwenye mizizi ya serikali!

Huwa natamani nijue hicho kitabu cha muhamadi kinawajaza nini vichwani hawa ndugu zetu waarabu koko!

Nasikia hata kusikiliza mziki wa rick rose ni kosa la jinai unaweza kukatwa hata mapanga!

Duh!

Nani kakusikilizisha mkuu hio jinai

Sio kweli mkuu! Mbona kuna nchi za kiislamu nzuri tu zenye maendeleo makubwa na zisizo na machafuko mfano Malaysia, Indonesia na mataifa ya ghuba kama Qatar,Oman.
 
Hawajaanza kukamata na kupiga watu wanaokula wakati wa Ramadan? Yaani visiwani wana upungufu wa akili sana, kufunga si muhimu ila wehu wanajichukulia sheria mkononi kutesa wenzao. Haki ya nani mimi siku niwe visiwani halafu mtu anikamate anipige kisa eti nakula mchana, huyo mtu atatafuta Mungu wake maana atakula kichapo mpaka naye ataomba chakula changu.
 
Nchi ikishakuwa na itikadi za kiislamu, tegemea ghasia, machafuko na matatizo makubwa sana ambayo yanaenda mpaka kwenye mizizi ya serikali!

Huwa natamani nijue hicho kitabu cha muhamadi kinawajaza nini vichwani hawa ndugu zetu waarabu koko!

Nasikia hata kusikiliza mziki wa rick rose ni kosa la jinai unaweza kukatwa hata mapanga!

Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nivyema ukakisoma hicho kitabu cha muhammad, mana pia kimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Usisahau kuwa zanzibar (pemba) hakuna machafuko,
pemba kuna amani sana. Hata ukiskia vurugu za zanzibar ni vurugu za kisiasa sio zakidini nadhani sio mdai wa hayo.

Pemba ni sehem iliyojijengea heshima kubwa ndani ya visiwa vya zanzibar na kwa baadhi ya jamii za huku tanganyika.

Kisha pemba hakuna jinai yeyote ya kusikiliza nyimbo za hip hop. Bila ya kuingiza imani yako unaweza kuongea na kueleweka.

Zanzibar pia kuna wasanii wa hip hop na wanatambulika kwenye baraza la sanaa la zanzibar Kama "SONGA" ambae nimsanii mzuri wa hizo nyimbo za hip hop.
Pia zanzibar kuna waimbaji wa R&B kama "sultan king". Pia pemba kuna waimbaji wa taarabu nadhani ni maarufu pia. Pemba wana nyimbo zao za asili ambazo hazipo kwenye dini ya kiislam

NB: Zanzibar ndo sehemu pekee yenye chimbuko la ustaarabu tanzania nzima na isiwe tanzania bara au tanganyika. (Bila ya zanzibar usingelistaarabika)

Note: mm sio mzanzibari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajaanza kukamata na kupiga watu wanaokula wakati wa Ramadan? Yaani visiwani wana upungufu wa akili sana, kufunga si muhimu ila wehu wanajichukulia sheria mkononi kutesa wenzao. Haki ya nani mimi siku niwe visiwani halafu mtu anikamate anipige kisa eti nakula mchana, huyo mtu atatafuta Mungu wake maana atakula kichapo mpaka naye ataomba chakula changu.
Kufunga sio muhimu kwako.
Kufunga ni lazima kwa kila muislamu mwenye akili timamu na aliefikisha umri wa miaka 15 (balehe)

Zanzibar ina katiba yake kama nchi na lazima uifuate ukiwa ndani ya zanzibar.
Zanzibar nilazima ufunge ikiwa dini inakutaka ufunge.
Usipofunga basi ule sehemu yenye faragha ili usidhihirishe kutokufunga kwako.
Ni kosa kisheria kula hadharani katika mwezi mtu kufu wa ramadhani mpaka pale sheria itakaporuhusu kufungua funga ya waislam.
Ukikaidi hilo utashtakiwa kwa kosa lako hilo.
Sidhani kama ubabe utakua na nafasi kwenye suala la kisheria

Kwako mwalim kashasha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom