Udhalilishaji waendelea Kisiwani Pemba Zanzibar

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Ushenzi Udhalili shaji na Ubaguzi kwa Ccm Zanzibar ni jadi yao kuwafanyia Wazanzibari hasa Wana nchi wa Pemba. Sasa hivi Kijana Mwanaume anae shuka bandari za Pemba Wana katwa nywele kipara na ukivaa jeans na track suit zinachanwa. Badala kupambana na Corona wanakimbilia ushenzi


Sent using Jamii Forums mobile app



IMG_1146.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada umeandika kama vile sisi wote humu ni Wakazi wa Pemba, tuna ndugu Pemba, au tunajua kinachoendelea huko Pemba! Ungefafanua kwa kina kinachoendelea huko, na pia ikibidi utoe mapendekezo ya nini cha kufanywa na mamlaka husika ili kuondoa hiyo kadhia.

Ukiwa na jeans na tracksuit zenye kubana miguu skinny jeans zinachanwa na nywele kama umekata mikato isio ridhisha watawala


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajuana hao. Niliwashangaa kipindi cha mfungo wa Ramadan wanalazimisha kila mtu kufunga... Mimi natembea na mihogo,bapa ndogo na mkuu wa meza aliyekaushwa kwenye begi. Ukiwa fresh kwenye afya,kikorona kinaku-hug then kinatembea
Umeniacha aisee!
 
Lwanini uvae viguo vya kubana mwili, hujui unakuwa kama nyoka au shoga? Ukishakua kama nyoka unawatisha watu wengine wasio na hatia.
Haya ndio madhara ya civilization, kila kizuri kina ubaya wake and vice versa, mavazi before hayakuwepo yet our ancestors enjoyed clothing parts of their bodies with animal skins. Leo mtu anakuja kumkataa mwenzake kisa kajiona yeye ni more civilized than the other. Waafrika tunaiga mpaka kujitawaza (I mean kuchamba) kutoka kwa wakuja mpaka tunaboa.
 
Haya ndio madhara ya civilization, kila kizuri kina ubaya wake and vice versa, mavazi before hayakuwepo yet our ancestors enjoyed clothing parts of their bodies with animal skins. Leo mtu anakuja kumkata mwenzake kisa kajiona yeye ni more civilized than the others. Waafrika tunaiga mpaka kujitawaza (I mean kuchamba) kutoka kwa wakuja mpaka tunaboa.
Kwa hiyo watu watembee uchi kwa sababu zamani mavazi hayakuwepo? Duni imepambana sana kufika hapa tulipo kuna madhara makubwa kwa baadhi kulazimisha kuishi tulipotoka, maana tulipotoka kulikuwa na mambo mengi na kulikuwa na mapungufu mengi pia.

Utataka leo watu wasiende shule shule sababu zamani kulikuwa hakuna mashule?
Watu watembee uchi sababu zamani hapakuwepo nguo?

Baadhi ya jamii ziendelee kuua na kuwala watu wa jamii nyingine sababu siyo wa jamii yao?
Watu waendelee na maisha ya uwindaji na kulala maprini sababu zamani waliishi hivyo?

Kusiwe na sheria wala restrictions kwa sababu zamani hazikuwepo kama za hivi sasa

Modernization ina mambo mengi mazuri ila kuna vijikunda vinapenyeza ya kwao hapo ndipo wanapotaka kutuharibia modernization.

Elewa, lengo kuu la uwepo wa binaadam ni kuhakikisha anai modenise na kui covilize dunia na jamii zake.
 
Vijana wa kiume wanaoingia Pemba wakiwa wamenyoa kiduku au virasta uchwara, wananyolewa pale pale bandarini.Vijana wa kiume waliovaa vi jinsi vimewabana vigimbi hadi makalio,wana mikasi wanazichana. Sasa sijuwi munataka vijana wa kiume wajifananishe na wa kike ndo museme haki za Binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom