Ushauri: CUF Zanzibar wote hamieni CHADEMA

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,445
2,000
Maalim Seif, Jussa na wengineo siwafahamu vizuri mlipuko Unguja na Pemba nawashauri wote hamieni CHADEMA.
Huyu kidudu mtu Lipumba anatumiwa kuvuruga nguvu ya Upinzani.
Maalim Seif jifanye mjinga, nyie wote mlioko ZANZIBAR hamieni CHADEMA muendeleze mapambano ya kututetea watanganyika na wazanzibari tunao teswa na chama rafiki wa Lipumba

NB: Profesa Lipumba ajibu mapigo ya Maalim Seif, ateua wajumbe wa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buffet

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
599
1,000

itikadi ni imani,usfikirie pamoja na kwamba lipumba anatumiwa utaweza kubadili misimamo ya watu kw hayo mapendekezo yako,kwa sabb ni imani kuna watakaokwambia kumkimbia lipumba CUF na kuhamia chadema ni kumpa ushindi adui ambao hakustahili,bora kupambana nae hukohuko,,,,,,,,!!!!hebu tuwapo a fair room wahusika waucheze huu mziki na maamuzi yao mwisho wa siku yasitawaliwe na matamanio yetu watazamaji,nina uhakika watafanya na kuamua kw usahihi kabisa
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,467
2,000
Nyerere aliwahi kusema 'CCM si baba yake wala mama yake' unaweza kuazima maneno hayo na kuyafanyia kazi.

Pamoja na juzi Mahakama kuonekana inaku favor lkn ujue haiko upande wako, kifupi wanakupotezea muda bure.

Umejionea leo, pamoja na Mahakama kuweka zuio la Mkutano Mkuu wamekaidi mkutano umefanyika. Ni juzi tu ulipeleka RITA majina ya Bodi yako imekataliwa ya Lipumba imesajiliwa. Unasubiri ishara gani nyingine uamini.

Baada ya mkutano huu kinachokwenda kufanyika ni kukuvua uanachama, najua utakimbilia mahakamani but won't help anything.

Tunajua wewe una watu (wanachama) Lipumba and vyombo vya dola yaani Msajili, polisi na mahakama ni ngumu sana kumshinda kwa vile yuko planted.

You got two options to make, one, deflect to another new opposition party preferably CHADEMA, the earlier the better or you have to Resign politics, the choice is yours.

Ila usikurupuke, kabla ya kutangaza kuhama, andaa matawi yote na mashina ya CUF yaliyo loyal kwako bara na visiwani, siku moja muamue kufanya surprise mtangaze kuhamia CHADEMA, nakuhakikishia siku hiyo hata CCM hawatamani ifike.

Ijenge Chadema mpya hasa visiwani then gombea urais visiwani kwa tiketi ya Chadema you won't regret, Otherwise, labda kama umeamua kufia mahakamani.
 
busha

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,647
2,000
Sasa sefu mwenyewe kaibiwa ushindi wa dhahiri zanzibar mara tano na bado tu anadai muafaka,,,hana mbinu mpya,,hawezi saidia chadema,,

Awaachie akina juma duni haji,ismail jusa,bakari hamis bakari,mbarara maharagande,,hata mgogoro utaisha,,maalim kakosa mbinu za kupambana na lipumba,,
Maalim Seif, Jussa na wengineo siwafahamu vizuri mlipuko Unguja na Pemba nawashauri wote hamieni CHADEMA.
Huyu kidudu mtu Lipumba anatumiwa kuvuruga nguvu ya Upinzani.
Maalim Seif jifanye mjinga, nyie wote mlioko ZANZIBAR hamieni CHADEMA muendeleze mapambano ya kututetea watanganyika na wazanzibari tunao teswa na chama rafiki wa Lipumba

NB: Profesa Lipumba ajibu mapigo ya Maalim Seif, ateua wajumbe wa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,749
2,000
Yaani Chadema bado hawajifunzi kwa Makosa wanayofanya Kila Siku kushobokea Wanasiasa wa Vyama Vingine

Seif Sharif akitaka kuhamia Chadema hahitaji kupata ushauri wa JF, atamuuliza tu aliemtuma Mwaka 2015 akawa Mgombea a mwenza wa Edward Lowassa ambae Ni Juma Duni Haji ambae alishindwa Kuishi Chadema nafanya uchaguzi akarudi zake CUF huku akisema 'Kule Chadema Kila Mtu Kambale'
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
24,829
2,000
chadema wajinga mlishindwa kukaa na Duni Haji vizuri msitegemee kuona CUF akija kwenu. Lowasa ndiye aliwaketea. Seif Sharrif Hammad na CUF yake UKAWA mumeshindwa kukaa naye kaondoka. Msahau kabisa ujuaji mwingi, ubabe mwingi, ukabila mwingi mbakii nao wenyewe .
 
Rohombaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
12,076
2,000
chadema ni wabinafsi sana
Ni wao wanesababisha yote haya kwa kumpokea lowassa,
Ni chadema waliowaingiza mke kafu wasusie uchaguzi zanzibar
Dah...tatizo kubwa la CDM ni uongozi...Uongozi unalenga sana kwenye kukusanya fedha zaidi (ruzuku)....kuliko kumkomboa mnyonge...

Sent using Beretta ARX 160
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom