Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,523
ww mwarabu koko wa bopwe naona unatype ukiwa hapo mtemani, mwambie mkuu wako wa wilaya anisubiri hapo Mtemani nipo njiani natokea Limbani nina uduku wangu kichwani na jeans yangu tight, athubutu kunigusa na mkasi atajuta, ataenda kuwasimulia sisiemu tutakachomfanya, tunafahamu kwake, tunamfahamu mwenza wake,familia yake yote tunawafahamu!Kwanza nivyema ukakisoma hicho kitabu cha muhammad, mana pia kimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.
Usisahau kuwa zanzibar (pemba) hakuna machafuko,
pemba kuna amani sana. Hata ukiskia vurugu za zanzibar ni vurugu za kisiasa sio zakidini nadhani sio mdai wa hayo.
Pemba ni sehem iliyojijengea heshima kubwa ndani ya visiwa vya zanzibar na kwa baadhi ya jamii za huku tanganyika.
Kisha pemba hakuna jinai yeyote ya kusikiliza nyimbo za hip hop. Bila ya kuingiza imani yako unaweza kuongea na kueleweka.
Zanzibar pia kuna wasanii wa hip hop na wanatambulika kwenye baraza la sanaa la zanzibar Kama "SONGA" ambae nimsanii mzuri wa hizo nyimbo za hip hop.
Pia zanzibar kuna waimbaji wa R&B kama "sultan king". Pia pemba kuna waimbaji wa taarabu nadhani ni maarufu pia. Pemba wana nyimbo zao za asili ambazo hazipo kwenye dini ya kiislam
NB: Zanzibar ndo sehemu pekee yenye chimbuko la ustaarabu tanzania nzima na isiwe tanzania bara au tanganyika. (Bila ya zanzibar usingelistaarabika)
Note: mm sio mzanzibari
Sent using Jamii Forums mobile app
Atarajie retaliation