Udhalilishaji "Jay millions"

Udhalilishaji "Jay millions"

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,282
Reaction score
541
Wadau waswahili wanasema mficha uchi hazai mi naomba leo nitoe kero yangu ili moyo wangu ubaki safi....

Kuna hili tangazo la jay milions, kila nikiskia nazima radio hapo hapo na hasira zinanipanda mbaya ss nahisi afya ya moyo wangu haitakaa vizuri unless nifunguke.

Hivi nyie wachaga inakuaje mnakubali tangazo lile liendelee kurushwa hewan wkt linadhalilisha utu wa mchaga...??

Yani et "mwanaume" wa kichaga anampigia simu "mwanaume" wa kihaya na kumwomba mil 100 za mtaji hivi nyie wachaga are u serious kweli??? Yani mwanaume mzima tena mchaga unamwomba mwanaume mwenzako mtaji??? Mwanaume mwenyewe mhaya??? Kwel?? Yani off all people wahaya ndo wakuwaomba mtaji??

Nadiriki kusema mnatudhalilisha sana kukaa huko mjini na kujivunia uchaga wenu huku mkiruhusu wapuuzi wachache waharibu heshima ya mwanaume wa kichaga.

Shame on u all, shame on u JAY, shame on u marketing manager, shame on u ulioigiza hilo tangazo.

Mwanaume wa kichaga kamwe sio wakuomba mtaji kwa mwanaume mwenzake mwanaume wa kichaga ni MPAMBANAJI.
 
Hahahahahaha pole bora umetoa yangebaki moyoni yangekuwa mengine kama sio RIP
 
Vipi wanapokopa mikopo ya mitaji bank haitoki kwa wanaume? Na kama sio,basi inatoka kwa wanawake...je hiyo ni sawa?
 
Umekurupuka mtoa mada. Inaezekana unarohobya kulipua wenzako. TANGAZO tu uandke yote ayo hahaaaa tuache akina munyegizi
 
Sijaelewa ulichoandika mkuu....hata kupanga herufi ni shida??? Af unataka kubishana na mimi...??
 
Teh Teh am not your friendiiiiiiiiiiii
 
what is uchaga by the way.... hakuna wachaga masikini? hakuna wachaga wanaotumikishwa? unahisi we kuwa mchaga ndo kumiliki pesa? shame on you.... hujajielewa... any body ambae ni mpambanaji anaweza kutoka tu kimaisha.... endelea kukariri ukabila wenzio wanapiga hatua Hata kama si Wachaga.
 
Wadau waswahili wanasema mficha uchi hazai mi naomba leo nitoe kero yangu ili moyo wangu ubaki safi....

Kuna hili tangazo la jay milions, kila nikiskia nazima radio hapo hapo na hasira zinanipanda mbaya ss nahisi afya ya moyo wangu haitakaa vizuri unless nifunguke.

Hivi nyie wachaga inakuaje mnakubali tangazo lile liendelee kurushwa hewan wkt linadhalilisha utu wa mchaga...??

Yani et "mwanaume" wa kichaga anampigia simu "mwanaume" wa kihaya na kumwomba mil 100 za mtaji hivi nyie wachaga are u serious kweli??? Yani mwanaume mzima tena mchaga unamwomba mwanaume mwenzako mtaji??? Mwanaume mwenyewe mhaya??? Kwel?? Yani off all people wahaya ndo wakuwaomba mtaji??

Nadiriki kusema mnatudhalilisha sana kukaa huko mjini na kujivunia uchaga wenu huku mkiruhusu wapuuzi wachache waharibu heshima ya mwanaume wa kichaga.

Shame on u all, shame on u JAY, shame on u marketing manager, shame on u ulioigiza hilo tangazo.

Mwanaume wa kichaga kamwe sio wakuomba mtaji kwa mwanaume mwenzake mwanaume wa kichaga ni MPAMBANAJI.

sawa bana ila ujue kabisa huu ndo mwisho wa kunipotezea muda wangu kusoma thread zako kudadadensa,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom