Udhalilishaji "Jay millions"

Udhalilishaji "Jay millions"

Mleta mada umeelemewa na ukabila, jambo ambalo ni aibu kwa karne hii kusikia mtu anahubiri ukabila. Tatizo la tangazo ni nini haswa! Mwanaume kuomba pesa au mchagga kuomba pesa mhaya?
 
Mbona omba omba WA kichaga wengi tu❓➖acha hizo bhana
 
what is uchaga by the way.... hakuna wachaga masikini? hakuna wachaga wanaotumikishwa? unahisi we kuwa mchaga ndo kumiliki pesa? shame on you.... hujajielewa... any body ambae ni mpambanaji anaweza kutoka tu kimaisha.... endelea kukariri ukabila wenzio wanapiga hatua Hata kama si Wachaga.

House Maid Wangu Tu Ni Mchaga Sasa Na Hapa Sijui Atasemaje. Sasa Nimeamini Kwanini Hili Kabila Haliaminiki Kupewa Mamlaka Kiutawala.
 
Msiwashambulie wachaga kwa mawazo mgando ya huyu hayawani aliyeleta uzi.... Ukabila siyo kitu ktk kutafuta pesa na maisha.....huyu jamaa hajielewi..... Mchaga hana tofauti na binadamu wengine hapa chini ya jua...........
 
Niko hapa nakunywa supu, mhudumu ni mchaga anaomba buku ya vocha...???
 
Msiwashambulie wachaga kwa mawazo mgando ya huyu hayawani aliyeleta uzi.... Ukabila siyo kitu ktk kutafuta pesa na maisha.....huyu jamaa hajielewi..... Mchaga hana tofauti na binadamu wengine hapa chini ya jua...........

Wewe unaamini watu wote ni Sawa? Mimi ninaungana na mtoa mada Wachaga ni tofauti na kabila zote hapa hata Wakoloni waliliona hilo ndio maana walianza kuendeleza kule
 
Mm mwenye nyumba wangu ni mchaga. Hua anaomba kodi kabla mkataba hujaisha. Hajawahi fanya marekebisho ya nyumba pamoja na nyumba hii kuchoga. Huu ni upiganaji au ubabaishaji..
 
House Maid Wangu Tu Ni Mchaga Sasa Na Hapa Sijui Atasemaje. Sasa Nimeamini Kwanini Hili Kabila Haliaminiki Kupewa Mamlaka Kiutawala.

Hahahah siku moja ndo utajua tofaut ya normal house maid na chagga house maid, na utakapojua itakua too late.
 
Naona wengi mnachangia kwa hisia tu humu....hamna cha ukabila wala nini hiyo ni #fact Jay million mmedhalilisha wachagga. Hutaki unaacha...
 
Kwani uchagani haturuhusu kutaniwa na mashemeji zetu? Kama hairuhusiwi Zembwela siku akikanyaga mndenyi apigwe faini ya ndafu na kiondi cha mbege! Hahaha.....

Utani mbaya huo ati, kwa ubaguzi wa ndugu zangu wachaga mtaanza kuwazia ni mchagga wa wapi yule ati anaomba msaada wa duka?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi uchaga ni kabila au password ya kujijua kuwa umetokea kilimanjaro na kumjuza mwenzio oli mipigebdili bila kuogopana?
Maana sijawahi kusikia makabila mengine yakitajwa kwa maeneo kama m-rombo, m-machame,nikisikia hivyo naona kama kabila ni urombo, umachame etc etc,
Sijasikia m-bariadi, m-sengerma, m-newala, m-muheza, naomba ufafanuzi
 
Wachagga hawajadhalilishwa bali wametendewa haki. Mchagga kwa ajili ya kupata fedha anaweza kufanya lolote ili apate hela na hivyo ndivyo walivyo. Je wajua kuwa idadi ya wasen.ge wachaga ni kubwa kuliko makabila mengine? Sababu ni fedha, ukibisha nitawaorodhesha hapa! Kwenye fedha mchagga hana aibu anafanya lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom