Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

Yanga hawajasusa walifika uwanjani muda rasmi uliyopangwa kwa mujibu wa ratiba na kanuni za ligi lakini Simba hawakutokea uwanjani.Bashungwa,Karia na Mo Dewji ambao wote ni Simba ndiyo wanapaswa kulaumiwa.Mganga wao aliwashauri Simba ikicheza saa kumi na moja watafungwa wakaamua kwa ubabe kusogeza mbele muda wa mchezo!
Bashungwa si utopolo mkubwa mwenzio
 
Mse maisha yake ya kifahari ya Urais na Ustaafu. Na jinsi ambavyo amezungushwa kupata mafao yake
Tuwache tu mzee akule maisha is all we have got to remind us of the past errors affecting this generation keeping aside the good things
 
Ushauri wangu mechi ijayo isiwe na kiingilio, waingie watakao wahi, uwanja ukijaa pafungwe.
Waliotoka mikoani na nchi jirani wafidiwe gharama walizotumia na usumbufu!! Msijifanye kana kwamba hamjui kuna watu wamesafiri toka mikoani kwa ajili ya hii mechi!! Kama mtu akiweza kutoa uthibitisho wa gharama alizotumia alipwe fidia. Vinginevyo nawashauri waende mahakamani kudai fidia hiyo ambapo huko itakuwa gharama zaidi kwa TFF.
 
Mama Samia hawezi kataza mechi isichezwe. Ni hayo masalia ya Magufuli yaliyokuwa yanataka kujipendekeza kwa mama. Inabidi Mama Samia ayafukuze masalia yote ya Magu yakalinde kaburi huko
Nimegundua unasumbuliwa na umasikini,na hasira zako zote umezihamishia kwa watu wenye maisha kazuri.Yani kwa akili yako ndogo,unategemea mechi ingechezwa muda uke ilihali Rais wa nchi anahutubia?? Au bashungwa alijiamulia tu.
 
Nimegundua unasumbuliwa na umasikini,na hasira zako zote umezihamishia kwa watu wenye maisha kazuri.Yani kwa akili yako ndogo,unategemea mechi ingechezwa muda uke ilihali Rais wa nchi anahutubia?? Au bashungwa alijiamulia tu.
Mi nina maisha mazuri kuliko wewe. Mpira unahusiana vp na uzinduzi wa kitabu?
 
Ilitangazwa masaa 4 kabla ya mechi. Utopolo pia walijua kwani waliarifiwa wote, ila utopolo hawakukubali masna waliona ni upenyo wa kukwepa kichapo!
Chief umenijibu kishabiki kweli, yani kama unajua mimi ni shabiki wa yanga vile.
 
Mse maisha yake ya kifahari ya Urais na Ustaafu. Na jinsi ambavyo amezungushwa kupata mafao yake
Bado hakina manufaa ni story kama story zingine ila hakika nahisi hakina economical concept yani dah maraisi wa mamtoni wanaandika vitu vimeshiba sio story
 
Back
Top Bottom