ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 219
- 235
Woii usije kuyakana maneno yako..!Tunauona mwanzo mpya,wenye mwanga,na matumaini tele ikiwa ni pamoja na mwelekeo wenye kulileta taifa pamoja.
Woii usije kuyakana maneno yako..!Tunauona mwanzo mpya,wenye mwanga,na matumaini tele ikiwa ni pamoja na mwelekeo wenye kulileta taifa pamoja.
Mse maisha yake ya kifahari ya Urais na Ustaafu. Na jinsi ambavyo amezungushwa kupata mafao yake 😁Icho kitabu kinatusaidia nn
Bashungwa si utopolo mkubwa mwenzioYanga hawajasusa walifika uwanjani muda rasmi uliyopangwa kwa mujibu wa ratiba na kanuni za ligi lakini Simba hawakutokea uwanjani.Bashungwa,Karia na Mo Dewji ambao wote ni Simba ndiyo wanapaswa kulaumiwa.Mganga wao aliwashauri Simba ikicheza saa kumi na moja watafungwa wakaamua kwa ubabe kusogeza mbele muda wa mchezo!
Tuwache tu mzee akule maisha is all we have got to remind us of the past errors affecting this generation keeping aside the good thingsMse maisha yake ya kifahari ya Urais na Ustaafu. Na jinsi ambavyo amezungushwa kupata mafao yake
Basi Simba wangefika mda ule wa saa 11 wakipige,Serikali haina issue kwenye hili Yanga waoga.
Waliotoka mikoani na nchi jirani wafidiwe gharama walizotumia na usumbufu!! Msijifanye kana kwamba hamjui kuna watu wamesafiri toka mikoani kwa ajili ya hii mechi!! Kama mtu akiweza kutoa uthibitisho wa gharama alizotumia alipwe fidia. Vinginevyo nawashauri waende mahakamani kudai fidia hiyo ambapo huko itakuwa gharama zaidi kwa TFF.Ushauri wangu mechi ijayo isiwe na kiingilio, waingie watakao wahi, uwanja ukijaa pafungwe.
Tenga si mbunge, labda awe katibu mkuu wa wizara husika.Natamani kusikia Waziri wa michezo akitumbuliwa na nafasi yake akiteuliwa Leodga Tenga itakaa vizuri.
Nimegundua unasumbuliwa na umasikini,na hasira zako zote umezihamishia kwa watu wenye maisha kazuri.Yani kwa akili yako ndogo,unategemea mechi ingechezwa muda uke ilihali Rais wa nchi anahutubia?? Au bashungwa alijiamulia tu.Mama Samia hawezi kataza mechi isichezwe. Ni hayo masalia ya Magufuli yaliyokuwa yanataka kujipendekeza kwa mama. Inabidi Mama Samia ayafukuze masalia yote ya Magu yakalinde kaburi huko
Mi nina maisha mazuri kuliko wewe. Mpira unahusiana vp na uzinduzi wa kitabu?Nimegundua unasumbuliwa na umasikini,na hasira zako zote umezihamishia kwa watu wenye maisha kazuri.Yani kwa akili yako ndogo,unategemea mechi ingechezwa muda uke ilihali Rais wa nchi anahutubia?? Au bashungwa alijiamulia tu.
Unamtukana raisi wa taifa, wewe ni naniiiEmu we nae nipishe huko kuandika kwenyewe hujui, ok mimi ni MATAGA
Chief umenijibu kishabiki kweli, yani kama unajua mimi ni shabiki wa yanga vile.Ilitangazwa masaa 4 kabla ya mechi. Utopolo pia walijua kwani waliarifiwa wote, ila utopolo hawakukubali masna waliona ni upenyo wa kukwepa kichapo!
Bado hakina manufaa ni story kama story zingine ila hakika nahisi hakina economical concept yani dah maraisi wa mamtoni wanaandika vitu vimeshiba sio storyMse maisha yake ya kifahari ya Urais na Ustaafu. Na jinsi ambavyo amezungushwa kupata mafao yake