Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
3,260
2,000
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.

Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?

Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.

Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.

Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,019

Mnao uhakika wa hilo ama ni kulaumu tu kwa sababu ya mahaba kwa timu zetu
 
ProMagufuli

Senior Member
Apr 6, 2021
138
250
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.

Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?

Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.

Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.

Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
SSH ni failure from the beginning.
 
mgaka12

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
568
1,000
😂😂😂😂😂😂😂😂 Kutwa waimba mapambio wanatamba kuwa mama yao anapendwa mama nae analazimisha viewers You tube kwa maana hakuna mtu mwenye shuguli zake akae mbele ya TV kuangalia uzinduzi wa kitabu ambapo watanzania wengi si wapenzi wa kusoma vitabu

Kingine wameshanza kuchoka kuangalia nyimbo ile ile inakuwa perfomed kila siku jukwaani
 
Pslmp

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
1,630
2,000
Hii ni dalili ya kushikiwa, anapaswa ashike mpini yeye kama yeye, atakuwa akilaumiwa Kwa makosa yasiyo yake!

Aachane na waliwahi kushindwa vibaya kuiongoza hii nchi!! Na sijajua lengo Lao la kumpotosha!!
 
Syope

Member
Mar 29, 2021
59
95
Mbona kuna mambo mengi tu yamewahi ahirishwa hatukusema serikali iliyopita ni dhaifu? Au sasa imegeuka ni hoja ya kumnanga mama?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom