Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,749
- 126,617
Prof Koboko toa majibu hapa
Kma mtoto wa mwigulu 🤣Kama mwanao anataka kulipwa vizuri mkatie kadi ya ccm, aingie chipukizi hatimaye uvccm na awe chawa hasa na wewe dingi yake uwe chawa hasa.
2031 hakosi kazi chamani na hathmaye serikal kuu
Hakuna kazi isiyolipa duniani, ni wewe mwenyewe unajipanga vipi tu.Habarini wanajukwaa,
Naomba kujua,udaktari unalipa?
Nimekuwa nikipashwa habari kuwa "mtoto mpeleke udaktari" ni taaluma isiyokuwa na longolongo na hakuna daktari mwenye bachelor mtaani anapambania ajira zaidi ya mwaka mmoja,hivyo imepelekea mwanangu kukulia maisha fulani yenye mtazamo wa kuwa daktari mahili hapo mbeleni,wahusika nipeni uzoefu juu ya hili mzazi ninapoteza muda juu ya hili au kuna ukweli ndani yake?
Acha ubishi ndugu yangu.Hapo kweny mshahara hpana Kuna ma engineer..wakemia pia Wana mishahara mirefu
Kuna kitu hujaelewa, umejichanganya.- Itategemea doctor umeajiriwa wapi, ukiajiriwa doctor halmashauri mshahara ni 1,400,000/- Wakati Legal Officer wa TRA Ni 3,200,000/-, Customs Officer Ni 2.3M, Customs assistant Ni 1.8 M
-Mtu mwenye diploma anayefanya Kazi TRA, Ewura,latra anamzidi daktari mbali Sana, mwenye Degree mbali zaidi
Lakini ebu tushauriane kidogo wadau mm kuna kitu kinanichanganya kabisa .Kuna kitu hujaelewa, umejichanganya.
Tunazungumzia Kada, tena ajira serikalini. Muundo wa ajira na Mishahara ya watumishi wa mashirika ya umma (mfano TRA, TANESCO, TPA, TCRA, TANAPA nk) iko tofauti na serikalini.
Kama unataka kumlinganisha Daktari na Legal officer kimshahara, basi walinganishe ajira zao serikalini, mfano Halmashauri. Ni halmashauri gani hapa Tanzania inayomlipa Legal officer mshahara mkubwa zaidi ya Daktari ikiwa wote wataajiriwa siku moja na wote wawe na degree moja?
Kivipi MD anazidiwa, pesa na diploma ya radiology ?Lakini ebu tushauriane kidogo wadau mm kuna kitu kinanichanganya kabisa .
Kwa mwajiriwa wa serikalini tamisemi akisoma BACHELOR OF law haiwezi kumlipa ?
Anahama idara kutoka afya kwenda sheria .
Sababu za kufanya hivyo n kwa sababu kujiendeleza katika fani ya udaktari n gharama kubwa sana kwenye vyuo vyetu private 8-9m kwa mwaka ambapo kwa miaka 5 ni sawa na 45m.
Ukienda ikiendeleza kwenye sheria ada n 1.2-1.6m kwa mwaka n sawa na 6m kwa miaka 4 had una hitimu.
Lakin pia kwenye udaktari utendaji kazi katika fani ya udaktari n kama vile kifungo huru kwa sababu serikali haijajali maslahi ya madaktari ukilinganisha na kazi tunazozifanya na kifupi n kwamba n sawa na wito tu ila kiuchumi haisaidii kabisa daktari anazidiwa hata na mtu wa diploma ya mionzi radiology.
Mm binafsi nimeamua kuhama idara ya afya niende nikaisome law ili nikirudi masomoni nifanyiwe recategorization ili nifanye kazi za law badala ya afya.
Ila kitu kingine n kwamba Tusiime vitu kwa sababu ya kutaka heshima ila tusome vitu kwa malengo na kwa kuipppenda fani.
Na asiwadanganye mtu kuwa udaktari unalipa hiyo n kazi ya wito tu wadau niko kwenye field ya medicine miaka 8 sasa nafanya kazi serikalini ivo naijua.
Hivi, inawezekana kwamba ni MD TAMISEMI lakini ukaenda kusoma law au kitu kingine kabisa tofauti na afya na bado unaendelea kulipwa mshahara wa MD ?Lakini ebu tushauriane kidogo wadau mm kuna kitu kinanichanganya kabisa .
Kwa mwajiriwa wa serikalini tamisemi akisoma BACHELOR OF law haiwezi kumlipa ?
Anahama idara kutoka afya kwenda sheria .
Sababu za kufanya hivyo n kwa sababu kujiendeleza katika fani ya udaktari n gharama kubwa sana kwenye vyuo vyetu private 8-9m kwa mwaka ambapo kwa miaka 5 ni sawa na 45m.
Ukienda ikiendeleza kwenye sheria ada n 1.2-1.6m kwa mwaka n sawa na 6m kwa miaka 4 had una hitimu.
Lakin pia kwenye udaktari utendaji kazi katika fani ya udaktari n kama vile kifungo huru kwa sababu serikali haijajali maslahi ya madaktari ukilinganisha na kazi tunazozifanya na kifupi n kwamba n sawa na wito tu ila kiuchumi haisaidii kabisa daktari anazidiwa hata na mtu wa diploma ya mionzi radiology.
Mm binafsi nimeamua kuhama idara ya afya niende nikaisome law ili nikirudi masomoni nifanyiwe recategorization ili nifanye kazi za law badala ya afya.
Ila kitu kingine n kwamba Tusiime vitu kwa sababu ya kutaka heshima ila tusome vitu kwa malengo na kwa kuipppenda fani.
Na asiwadanganye mtu kuwa udaktari unalipa hiyo n kazi ya wito tu wadau niko kwenye field ya medicine miaka 8 sasa nafanya kazi serikalini ivo naijua.
3.hii una uhakika nayo?Naambiwa Udaktari unalipa mara tatu zaidi ikiwa utataka kulinganisha na fani nyingine yoyote, kwa mfano.
1. Heshima kubwa kijamii.
2. Uhakika wa ajira (ikiwa utalinganisha na fani nyingine yoyote)
3. Mshahara mkubwa zaidi ya fani zote (katika ajira za serikali)
Unapenda mikozi ya mda mrefuLakini ebu tushauriane kidogo wadau mm kuna kitu kinanichanganya kabisa .
Kwa mwajiriwa wa serikalini tamisemi akisoma BACHELOR OF law haiwezi kumlipa ?
Anahama idara kutoka afya kwenda sheria .
Sababu za kufanya hivyo n kwa sababu kujiendeleza katika fani ya udaktari n gharama kubwa sana kwenye vyuo vyetu private 8-9m kwa mwaka ambapo kwa miaka 5 ni sawa na 45m.
Ukienda ikiendeleza kwenye sheria ada n 1.2-1.6m kwa mwaka n sawa na 6m kwa miaka 4 had una hitimu.
Lakin pia kwenye udaktari utendaji kazi katika fani ya udaktari n kama vile kifungo huru kwa sababu serikali haijajali maslahi ya madaktari ukilinganisha na kazi tunazozifanya na kifupi n kwamba n sawa na wito tu ila kiuchumi haisaidii kabisa daktari anazidiwa hata na mtu wa diploma ya mionzi radiology.
Mm binafsi nimeamua kuhama idara ya afya niende nikaisome law ili nikirudi masomoni nifanyiwe recategorization ili nifanye kazi za law badala ya afya.
Ila kitu kingine n kwamba Tusiime vitu kwa sababu ya kutaka heshima ila tusome vitu kwa malengo na kwa kuipppenda fani.
Na asiwadanganye mtu kuwa udaktari unalipa hiyo n kazi ya wito tu wadau niko kwenye field ya medicine miaka 8 sasa nafanya kazi serikalini ivo naijua.
Ajira za serikali??Naambiwa Udaktari unalipa mara tatu zaidi ikiwa utataka kulinganisha na fani nyingine yoyote, kwa mfano.
1. Heshima kubwa kijamii.
2. Uhakika wa ajira (ikiwa utalinganisha na fani nyingine yoyote)
3. Mshahara mkubwa zaidi ya fani zote (katika ajira za serikali)
Huu n uwanja wa kushauriana n kozi ipi ambayo n nzuri kuanzia kuajiriwa hadi kujiajiri mkuu ila afya hapana nimeitumikia nimetosha.Unapenda mikozi ya mda mrefu
Daktari mzuri haichukui muda kupata kazi, kwa sasa kuna kundi kubwa la madaktari walio na sifa hafifu ambao hata kufanya diagnosis ya mgonjwa ni kibarua kipevu.Hahahhahaha masomo magumu , muda mwingi wa kusoma halafu mshahara kiduchu
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Hutaki tena kua practice kama daktari? Au unataka kuongeza maokoto zaidi ya Udaktari.Huu n uwanja wa kushauriana n kozi ipi ambayo n nzuri kuanzia kuajiriwa hadi kujiajiri mkuu ila afya hapana nimeitumikia nimetosha.
Nahitaji kwenda kwenye field nyingine
SijaelewaPrivate radiology diploma analamba had 1.2m compare with mda 8.7m had 9.5 m serikalini .

Career na swala la kiuchumi zaidi kwa sababu ili ujiajiri kwenye afya gazi ya kituo cha afya mtaji c chini ya 50mHutaki tena kua practice kama daktari? Au unataka kuongeza maokoto zaidi ya Udaktari.
Kama issue ni maokoto tafuta namna ya kujiajiri kwenye kada yako ya afya.
Kama issue ni kubadili carrier, Basi nenda tena shule.