Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 838
- 1,249
Habarini wanajukwaa,
Naomba kujua,udaktari unalipa?
Nimekuwa nikipashwa habari kuwa "mtoto mpeleke udaktari" ni taaluma isiyokuwa na longolongo na hakuna daktari mwenye bachelor mtaani anapambania ajira zaidi ya mwaka mmoja,hivyo imepelekea mwanangu kukulia maisha fulani yenye mtazamo wa kuwa daktari mahili hapo mbeleni,wahusika nipeni uzoefu juu ya hili mzazi ninapoteza muda juu ya hili au kuna ukweli ndani yake?