Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,105
- 18,005
Usisahau kuwa kuna madaktari pia wako WHO, UNICEF, UNFPA, nk. Linganisha machungwa kwa mchungwa (daktari na lawyer wa halmashauri). Siyo machungwa na mapera (daktari wa halmashauri na lawyer wa TRA).
- Itategemea doctor umeajiriwa wapi, ukiajiriwa doctor halmashauri mshahara ni 1,400,000/- Wakati Legal Officer wa TRA Ni 3,200,000/-, Customs Officer Ni 2.3M, Customs assistant Ni 1.8 M
-Mtu mwenye diploma anayefanya Kazi TRA, Ewura,latra anamzidi daktari mbali Sana, mwenye Degree mbali zaidi