Udaktari sio wito, madaktari mtaendelea kudharaulika

Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.

Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na kutazamiwa kuwa mna huruma nyakati zote, yani nyie ni wa kusulubika tu. Kubebeshwa lawama na kusemwasemwa vibaya. Hii kitu duniani kwingine haipo kama Tanzania.

Fani ya udaktari sio wito, ni kazi kama kazi nyingine na watu wanakwenda kule kutafuta pesa na kutoa huduma. Wito unaitaji uwe mnyonge yani. Kuwa na huruma na unyenyekevu ni jambo zuri katika kila kazi, sio tu Udaktari jamani. Na udaktari sio sehemu pekee mtu unaweza kutenda wema na kupata thawabu.

Ipo haja ya madaktari kubadili mtazamo huo, hii itapelekea kuheshimiana. Maana Tanzania mnadharaulika sana yani, ni wachache ambao hawajai kwenye mkono ndio wanapewa sifa, tena kama hisani. Lakini an average doctor in Tanzania ni nincompoop kabisa. Hana maana. Ndio maana mnazidiwa na wanasheria na ata fani ambazo wala hazitajwi sana kwenye jamii. Nyie mnaonekana ni wakusulubika, hamna haki ya kupata pesa na kuwa matajiri. Yani mpo kwenye control ya wanasiasa na raia wao. Wanawapangia limits.

Mimi Ushauri wangu tu, muifute hiyo dhana ya wito muwaachie mapadri maana kuwa rijali alafu unaambiwa usifanye ni kipengele. Nyie hamna sacrifice watu wanakwenda kwasababu kuna ajira rahisi. Wenzenu Marekani na Europe na ata baadhi ya nchi Africa huo upuuzi hawana eti wito. Ni kazi kama zingine, ukileta za kuleta na wewe daktari anakuzingua. Maana mtaani hampunguziwi kodi, tunanunua vitu bei moja, suluba zote na nyie mnazipata, kwa kipi labda? Ni ushauri wangu tu, mtajua wenyewe kusuka ama kunyoa, wito ama kazi kazi.
Madaktari walishaifuta hiyo dhana

Wako busy na kuzichanga
 
Ni wito, ni kazi inayohitaji ubumilivu mwingi sana. Kama huna uvumilivu hutaiweza utakuwa mkali kwa wagonjwa ambao wanahitaji comfort yako badala ya ukali.
Ni kama mwalimu, bila kuwa na uvumilivu, na wito wa ile kazi, ndo pale tunasikia wamepiga hadi wameua watoto wa watu.
Mambo mengine ni vyema ku acknowledge badala ya kutaka kulinganisha na kila kitu. Struggle zipo hata kwenye nafasi zingine ila huwezi kulinganisha na uvumilivu unaotakiwa uwe nao kwa wafanyakazi wa afya na walimu wanao deal na watoto wenu ambao hata kufuta kamasi hawajui.
 
No wonder ukienda hospitali Tz, kufa ni nje nje.
Kwa dhana hizi utaponea wapi.
 
Ni wito, ni kazi inayohitaji ubumilivu mwingi sana. Kama huna uvumilivu hutaiweza utakuwa mkali kwa wagonjwa ambao wanahitaji comfort yako badala ya ukali.
Ni kama mwalimu, bila kuwa na uvumilivu, na wito wa ile kazi, ndo pale tunasikia wamepiga hadi wameua watoto wa watu.
Mambo mengine ni vyema ku acknowledge badala ya kutaka kulinganisha na kila kitu. Struggle zipo hata kwenye nafasi zingine ila huwezi kulinganisha na uvumilivu unaotakiwa uwe nao kwa wafanyakazi wa afya na walimu wanao deal na watoto wenu ambao hata kufuta kamasi hawajui.
Dhana ya wito inawafanya watu wademand sana kutoka kwa hawa watu. Si kweli ni kazi kama kazi nyingine.
 
Ni wito, ni kazi inayohitaji ubumilivu mwingi sana. Kama huna uvumilivu hutaiweza utakuwa mkali kwa wagonjwa ambao wanahitaji comfort yako badala ya ukali.
Ni kama mwalimu, bila kuwa na uvumilivu, na wito wa ile kazi, ndo pale tunasikia wamepiga hadi wameua watoto wa watu.
Mambo mengine ni vyema ku acknowledge badala ya kutaka kulinganisha na kila kitu. Struggle zipo hata kwenye nafasi zingine ila huwezi kulinganisha na uvumilivu unaotakiwa uwe nao kwa wafanyakazi wa afya na walimu wanao deal na watoto wenu ambao hata kufuta kamasi hawajui.
Kwa tafsiri yenu WITO= KUVUMILIA SHIDA.
 
Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.

Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na kutazamiwa kuwa mna huruma nyakati zote, yani nyie ni wa kusulubika tu. Kubebeshwa lawama na kusemwasemwa vibaya. Hii kitu duniani kwingine haipo kama Tanzania.

Fani ya udaktari sio wito, ni kazi kama kazi nyingine na watu wanakwenda kule kutafuta pesa na kutoa huduma. Wito unaitaji uwe mnyonge yani. Kuwa na huruma na unyenyekevu ni jambo zuri katika kila kazi, sio tu Udaktari jamani. Na udaktari sio sehemu pekee mtu unaweza kutenda wema na kupata thawabu.

Ipo haja ya madaktari kubadili mtazamo huo, hii itapelekea kuheshimiana. Maana Tanzania mnadharaulika sana yani, ni wachache ambao hawajai kwenye mkono ndio wanapewa sifa, tena kama hisani. Lakini an average doctor in Tanzania ni nincompoop kabisa. Hana maana. Ndio maana mnazidiwa na wanasheria na ata fani ambazo wala hazitajwi sana kwenye jamii. Nyie mnaonekana ni wakusulubika, hamna haki ya kupata pesa na kuwa matajiri. Yani mpo kwenye control ya wanasiasa na raia wao. Wanawapangia limits.

Mimi Ushauri wangu tu, muifute hiyo dhana ya wito muwaachie mapadri maana kuwa rijali alafu unaambiwa usifanye ni kipengele. Nyie hamna sacrifice watu wanakwenda kwasababu kuna ajira rahisi. Wenzenu Marekani na Europe na ata baadhi ya nchi Africa huo upuuzi hawana eti wito. Ni kazi kama zingine, ukileta za kuleta na wewe daktari anakuzingua. Maana mtaani hampunguziwi kodi, tunanunua vitu bei moja, suluba zote na nyie mnazipata, kwa kipi labda? Ni ushauri wangu tu, mtajua wenyewe kusuka ama kunyoa, wito ama kazi kazi.
Ubarikiwe kwa ujumbe huu mzuri
 
U wiiiii!! kumbe nilicheza na vimeo eti wajameni mie ndo ninazo fani zote hizo! nimesheheni degree mbili za masomo haya haya! halafu zilikuja km pipi tu!! nkasema ngoja niende nikishindwa ntarudi heee!! si zikatick mwana sasa naomba jamani mnishauri nifanyeje!!!
 
Back
Top Bottom