Zunguka duniani kote hakuna daktari wambeya Wala majungu. sisi sio Kama nyie walimu ambapo majungu na umbea ndio nyumbani kwenu.Wao wenyewe wameamua kuishi hivyo kwanza madaktari wao kwa wao wanapigana sana majungu,wambea yaan wanajishushia heshima wao wenyewe
Mnateseka mna nini kwani nyie?Achana na sisi mkuu wewe fanya mambo yako
Kwani tumekwambia tunateseka?
Mimi ni mkuda wa wakuda😁😁We jamaa kokote ulipo jipige kifua mara tatu sema mim ni mkudest
Mkuu kwani tatizo ni nini, swala la kutengeneza pesa kwenye fani pia inategemea akili ya mtu. Kuna madaktari ambao wanatengeneza bilions of money kwenye hiyo hiyo taaluma yao hasa wale wanaofungua huduma binafsi.Mimi sio mjinga kiasi cha kuwa daktari. Kawakandamize wenyewe, mi mwenyewe nawaona wajinga tu, kama unavyowaona wewe. Nimewashtua wasipoamka shauri lao.
kila mtu hawezi kufungua ya kwake.Mkuu kwani tatizo ni nini, swala la kutengeneza pesa kwenye fani pia inategemea akili ya mtu. Kuna madaktari ambao wanatengeneza bilions of money kwenye hiyo hiyo taaluma yao hasa wale wanaofungua huduma binafsi.
Nenda uka Voluentie Ndg hakuna namna hapoKwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.
Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na kutazamiwa kuwa mna huruma nyakati zote, yani nyie ni wa kusulubika tu. Kubebeshwa lawama na kusemwasemwa vibaya. Hii kitu duniani kwingine haipo kama Tanzania.
Fani ya udaktari sio wito, ni kazi kama kazi nyingine na watu wanakwenda kule kutafuta pesa na kutoa huduma. Wito unaitaji uwe mnyonge yani. Kuwa na huruma na unyenyekevu ni jambo zuri katika kila kazi, sio tu Udaktari jamani. Na udaktari sio sehemu pekee mtu unaweza kutenda wema na kupata thawabu.
Ipo haja ya madaktari kubadili mtazamo huo, hii itapelekea kuheshimiana. Maana Tanzania mnadharaulika sana yani, ni wachache ambao hawajai kwenye mkono ndio wanapewa sifa, tena kama hisani. Lakini an average doctor in Tanzania ni nincompoop kabisa. Hana maana. Ndio maana mnazidiwa na wanasheria na ata fani ambazo wala hazitajwi sana kwenye jamii. Nyie mnaonekana ni wakusulubika, hamna haki ya kupata pesa na kuwa matajiri. Yani mpo kwenye control ya wanasiasa na raia wao. Wanawapangia limits.
Mimi Ushauri wangu tu, muifute hiyo dhana ya wito muwaachie mapadri maana kuwa rijali alafu unaambiwa usifanye ni kipengele. Nyie hamna sacrifice watu wanakwenda kwasababu kuna ajira rahisi. Wenzenu Marekani na Europe na ata baadhi ya nchi Africa huo upuuzi hawana eti wito. Ni kazi kama zingine, ukileta za kuleta na wewe daktari anakuzingua. Maana mtaani hampunguziwi kodi, tunanunua vitu bei moja, suluba zote na nyie mnazipata, kwa kipi labda? Ni ushauri wangu tu, mtajua wenyewe kusuka ama kunyoa, wito ama kazi kazi.
tuliza ta.ko dawa ikuingie sindano isivunjike, ndo kazi uloipenda mwenyewe, pambana na hali yako.Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.
Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na kutazamiwa kuwa mna huruma nyakati zote, yani nyie ni wa kusulubika tu. Kubebeshwa lawama na kusemwasemwa vibaya. Hii kitu duniani kwingine haipo kama Tanzania.
Fani ya udaktari sio wito, ni kazi kama kazi nyingine na watu wanakwenda kule kutafuta pesa na kutoa huduma. Wito unaitaji uwe mnyonge yani. Kuwa na huruma na unyenyekevu ni jambo zuri katika kila kazi, sio tu Udaktari jamani. Na udaktari sio sehemu pekee mtu unaweza kutenda wema na kupata thawabu.
Ipo haja ya madaktari kubadili mtazamo huo, hii itapelekea kuheshimiana. Maana Tanzania mnadharaulika sana yani, ni wachache ambao hawajai kwenye mkono ndio wanapewa sifa, tena kama hisani. Lakini an average doctor in Tanzania ni nincompoop kabisa. Hana maana. Ndio maana mnazidiwa na wanasheria na ata fani ambazo wala hazitajwi sana kwenye jamii. Nyie mnaonekana ni wakusulubika, hamna haki ya kupata pesa na kuwa matajiri. Yani mpo kwenye control ya wanasiasa na raia wao. Wanawapangia limits.
Mimi Ushauri wangu tu, muifute hiyo dhana ya wito muwaachie mapadri maana kuwa rijali alafu unaambiwa usifanye ni kipengele. Nyie hamna sacrifice watu wanakwenda kwasababu kuna ajira rahisi. Wenzenu Marekani na Europe na ata baadhi ya nchi Africa huo upuuzi hawana eti wito. Ni kazi kama zingine, ukileta za kuleta na wewe daktari anakuzingua. Maana mtaani hampunguziwi kodi, tunanunua vitu bei moja, suluba zote na nyie mnazipata, kwa kipi labda? Ni ushauri wangu tu, mtajua wenyewe kusuka ama kunyoa, wito ama kazi kazi.
Kumbe ndo maana watu wanakufa sana kwenye mikono yenu.Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.