Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.

Kuamini ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.

Na unaweza kuamini hata uongo. Kwa vile ni imani tu.

Kujua kunahitaji uhakiki na uthibitisho ili tuhakikishe kwamba hicho unachodai unajua ni ukweli au uongo.

Najua kwamba mtoto mchanga anayezaliwa leo anaweza kufariki.

Sihitaji imani, kuamini mtoto mchanga anayezaliwa leo anaweza kufariki.
Kama kujua kunahitaji uthibitisho na uhakiki basi watu wasingekuwa wanajua yasiyo ya ukweli, kama mfano niliyotoa wa mtoto kujua huyo mama aliyemlea ndio mama yake mzazi kumbe si kweli.

Kama unajua hata mtoto mchanga anaweza kufariki mbona sasa mbona napokwambia ueleze unajuaje kwamba kifo ni lazima unaleta hoja za uzee na kufa kwa seli kana kwamba usipozeeka haufi? Kama mtoto mchanga anafariki ina maana kifo sio lazima hadi ufike uzee huko seli zife.

Unajuaje kwamba kifo ni lazima(uwe mtoto au mzee), kwanini kifo kiwe ni lazima?
 
Nje ya mada, km kwenye avatar, ndo wee mwenyewee, basi naomba uje PM tuongee kitu fulanii kizuriiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuzaliana ndio chanzo cha uhai.
Naona kama umeamua kuwa mbishi Kaka,..kuzaliana sio chanzo cha uhai bali ni njia ya ku reproduce the same species through DNA from its Original ancestors!! HIVI LOGIC RAHISI HII UNASHINDWA KUELEWA??...........

Jaribu kuelewa basi hii narrative,..usipoelewa na hapa sidhani kama utaelewa tena...Think of it like writing a document. First, you create the original by writing it from scratch. This original document is what you’ve produced with your effort and creativity. Now, if you want more copies of that original document, you don’t create the content again—you simply use a copier or a system to duplicate the original. Reproduction works the same way: it’s just about creating copies of the original life (species), but it’s not the source of life itself. The source, like the original document, comes from something else entirely.....Bila shaka umeelewa, si ndiyo?

Ndio maana nilikwambia process ya kuzaliana ni Endless. Haina mwanzo wala mwisho.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba process ya kuzaliana ina mwanzo. Hata huo mwanzo wa process ya kuzaliana lazima uwe na mwanzo wake mwingine.

Na kama ulazima huo haupo, Hata huo mfumo wa kuzaliana hauna na Hauhitaji mwanzo.

Sasa hiyo hoja kwamba kuzaliana ni Endless wewe umeitoa wapi? kuna tafiti umefanya? maana hata tafiti za kisayansi hazikubaliani na hiki unachosema,....Ukisema tu kwamba ni endless bila uthibitisho unaoingia akilini tutakuamini vipi? kumbuka kuzaliana kupo determined na vitu vingi tu ambavyo vikitokea reproduction haifanyiki,..
Kama hakuna viumbe hai wa kuzaliana kuleta uhai, utapata wapi huo uhai?
Kumbe unajua kwamba inabidi kwanza kuwe na viumbe hai ndiyo kuzaliana kuwepo,.....sasa unachobisha ni kipi? unajichanganya sana, kuna muda unasema kuzaliana kunaanza ndiyo viumbe hai wanapatikana,...hapa unasema Lazima kuwepo na viumbe hai ndiyo kuzaliana kuwepo,....unakiri wazi kabisa kwamba kuzaliana hakuwezi kuwepo bila kwanza kuwa na viumbe hai,..SASA HAO VIUMBE WALITOKEA WAPI KABLA YA KUZALIANA KUWEPO?

Naamini upo karibu zaidi kuelewa,..utaelewa polepole.
 
Naona kama umeamua kuwa mbishi Kaka,..kuzaliana sio chanzo cha uhai bali ni njia ya ku reproduce the same species through DNA from its Original ancestors!! HIVI LOGIC RAHISI HII UNASHINDWA KUELEWA??...........

Jaribu kuelewa basi hii narrative,..usipoelewa na hapa sidhani kama utaelewa tena...Think of it like writing a document. First, you create the original by writing it from scratch. This original document is what you’ve produced with your effort and creativity. Now, if you want more copies of that original document, you don’t create the content again—you simply use a copier or a system to duplicate the original. Reproduction works the same way: it’s just about creating copies of the original life (species), but it’s not the source of life itself. The source, like the original document, comes from something else entirely.....Bila shaka umeelewa, si ndiyo?

Sasa hiyo hoja kwamba kuzaliana ni Endless wewe umeitoa wapi? kuna tafiti umefanya? maana hata tafiti za kisayansi hazikubaliani na hiki unachosema,....Ukisema tu kwamba ni endless bila uthibitisho unaoingia akilini tutakuamini vipi? kumbuka kuzaliana kupo determined na vitu vingi tu ambavyo vikitokea reproduction haifanyiki,..

Kumbe unajua kwamba inabidi kwanza kuwe na viumbe hai ndiyo kuzaliana kuwepo,.....sasa unachobisha ni kipi? unajichanganya sana, kuna muda unasema kuzaliana kunaanza ndiyo viumbe hai wanapatikana,...hapa unasema Lazima kuwepo na viumbe hai ndiyo kuzaliana kuwepo,....unakiri wazi kabisa kwamba kuzaliana hakuwezi kuwepo bila kwanza kuwa na viumbe hai,..SASA HAO VIUMBE WALITOKEA WAPI KABLA YA KUZALIANA KUWEPO?

Naamini upo karibu zaidi kuelewa,..utaelewa polepole.
Sasa tusifanye mijadala mirefu.

Nakwambia hivi, Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Na kama si lazima hivyo, Hata viumbe na ulimwengu kwa ujumla hauna na Hauhitaji Chanzo.

Kwingine huku niku zunguka zunguka tu, kusiko na tija.

Maana hata mimi niki kuuliza, chanzo cha huyo Muumbaji unayedai yupo, Huwezi kuelezea wala kuthibitisha.

Utaanza kuzunguka zunguka tu.
 
Hapa hatuzungumzii kila kitu maana hatujui kuhusu kila kitu let's be specific,..........Nadhani kwa kutumia hoja za kimantiki na kibaiolojia nilizokuwekea hapa umeweza kuelimika na kuelewa,.. na bila shaka hautorudia tena kusema kwamba;-
1. Kuzaliana kulianza kabla ya viumbe hai.
2. Kuzaliana ni chanzo cha uhai.
3. Kuzaliana ni endless/infinity.
4. Viumbe walijitengeneza au kujiumba wenyewe "self-made" labda ulete uthibitisho.

Tatizo unasema tu, ila kuthibitisha japo kwa hoja zinazoingia akilini huwezi..........

Kitendo cha wewe kushindwa kuthibitisha kwamba viumbe wamejitengeneza wenyewe logically inakupa jibu kwamba viumbe wameundwa na Muundaji,.....

Nimekupa nafasi uthibitishe jinsi viumbe walivyojitengeneza wenyewe,UMESHINDWA,...Sasa kwa style hiyo huoni kwamba umethibitisha mwenyewe uwepo wa Muumbaji tena kirahisi kabisa...?

NB: Nadhani hii ni Knock Out ya wazi kabisa,...au unasemaje mtaalamu.
 
Na wewe leta uthibitisho wa hicho unacho dai kiliumba Viumbe.

Sawa unakataa kwamba viumbe vimejiumba vyenyewe.

Nakubali.

Sasa eleza na thibitisha ni nini kiliumba Viumbe?

Usianze kuandika mada ndefu za kuzunguka zunguka.

Be specific, Nini kiliumba viumbe?

Na uthibitishe.

Usianze kuniambia muumbaji hana mwanzo, mara sijui muumbaji kapanda kashuka.
 
Kama kujua kunahitaji uthibitisho na uhakiki basi watu wasingekuwa wanajua yasiyo ya ukweli, kama mfano niliyotoa wa mtoto kujua huyo mama aliyemlea ndio mama yake mzazi kumbe si kweli.
Ili ujue kitu kwa uhakika lazima uwe na uthibitisho.

Otherwise unaweza kujua kitu hata kwa uongo.

Lakini ili kujua kwamba unachojua ni ukweli lazima uwe na uthibitisho.
Kama unajua hata mtoto mchanga anaweza kufariki mbona sasa mbona napokwambia ueleze unajuaje kwamba kifo ni lazima unaleta hoja za uzee na kufa kwa seli kana kwamba usipozeeka haufi? Kama mtoto mchanga anafariki ina maana kifo sio lazima hadi ufike uzee huko seli zife.
Nilikwambia hivi najua kifo ni lazima.

Siamini kwamba kifo ni lazima.

Najua, siamini.
Unajuaje kwamba kifo ni lazima(uwe mtoto au mzee), kwanini kifo kiwe ni lazima?
Ninajua kifo ni lazima kwa sababu kifo huweza kutokea kwa namna yoyote ile regardless ya umri wa mtu.
 
Sasa tusifanye mijadala mirefu.

Nakwambia hivi, Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Na kama si lazima hivyo, Hata viumbe na ulimwengu kwa ujumla hauna na Hauhitaji Chanzo.

Kwingine huku niku zunguka zunguka tu, kusiko na tija.

Maana hata mimi niki kuuliza, chanzo cha huyo Muumbaji unayedai yupo, Huwezi kuelezea wala kuthibitisha.

Utaanza kuzunguka zunguka tu.
Neno chanzo lina maana ya asili,sababu,mwanzo au kiini.

Kutokuwa na chanzo kunafananaje? Kwa mfano unaambiwa kuna watu wana ugomvi mkubwa kwa muda mrefu ila ugomvi wao hauna chanzo, je wewe hapo utaelewa vp?
 
Ili ujue kitu kwa uhakika lazima uwe na uthibitisho.

Otherwise unaweza kujua kitu hata kwa uongo.

Lakini ili kujua kwamba unachojua ni ukweli lazima uwe na uthibitisho.

Nilikwambia hivi najua kifo ni lazima.

Siamini kwamba kifo ni lazima.

Najua, siamini.

Ninajua kifo ni lazima kwa sababu kifo huweza kutokea kwa namna yoyote ile regardless ya umri wa mtu.
Nadhani inatosha kwamba sasa unakubali kuwa kujua ni kujua tu na unaweza ukajua hata jambo la uongo, ila unaweza ukataka kuhakiki au kupata uthibitisho wa hicho unachokijua.

Naona umekariri tu kusema unajua kifo ni lazima ila umeshindwa kueleza unajuaje? Labda nikubadilishie swali ni kwanini unasema kifo ni lazima? kwanini usifikirie upo uwezekano wa kuzuia tusife?
 
Neno chanzo lina maana ya asili,sababu,mwanzo au kiini.

Kutokuwa na chanzo kunafananaje? Kwa mfano unaambiwa kuna watu wana ugomvi mkubwa kwa muda mrefu ila ugomvi wao hauna chanzo, je wewe hapo unaelewa vp?
Hakuna ugomvi usio na chanzo. Hapa umepuyanga kuleta mifano isiyo na mantiki.

Huwezi tu from no where, Uwe na ugomvi na mtu pasipo chanzo, sababu au kiini.
 
Nadhani inatosha kwamba sasa unakubali kuwa kujua ni kujua tu na unaweza ukajua hata jambo la uongo, ila unaweza ukataka kuhakiki au kupata uthibitisho wa hicho unachokijua.
Yeah hapa sahihi.
Naona umekariri tu kusema unajua kifo ni lazima ila umeshindwa kueleza unajuaje? Labda nikubadilishie swali ni kwanini unasema kifo ni lazima? kwanini usifikirie upo uwezekano wa kuzuia tusife?
Uwezekano huo ni mdogo sana na hauwezekani kwa 100%.

Kifo ni lazima kwa sababu unaweza kufa kwa namna nyingi sana.

Unaweza kuzuia njia moja, lakini bado kuna njia nyingi zinazoweza kuku sababishia kifo.

Unaweza kuzuia watu wasife kwa magonjwa, wakafa kwa Ajali.

Unaweza kuzuia watu wasife kwa ajali, wakafa kwa majanga ya asili kama vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi, radi n.k

Unaweza kuzuia watu wasife kwa magonjwa, ajali n.k, Wakafa kwa vita, kupigana na kuuana.

Unaweza kuzuia watu wasife kwa vita, wakafa kwa kujiua, kujinyonga, kunywa sumu, kujipiga risasi n.k

Unaona ilivyo ngumu kuzuia kifo kwa 100%?
 
Hakuna ugomvi usio na chanzo. Hapa umepuyanga kuleta mifano isiyo na mantiki.

Huwezi tu from no where, Uwe na ugomvi na mtu pasipo chanzo, sababu au kiini.
Ndio maana nikakuuliza kutokuwa na chanzo kunafananaje? Maana umekuwa ukisema kwamba sio kila kitu lazima kiwe na chanzo.
 
Yeah hapa sahihi.

Uwezekano huo ni mdogo sana na hauwezekani kwa 100%.

Kifo ni lazima kwa sababu unaweza kufa kwa namna nyingi sana.

Unaweza kuzuia njia moja, lakini bado kuna njia nyingi zinazoweza kuku sababishia kifo.

Unaweza kuzuia watu wasife kwa magonjwa, wakafa kwa Ajali.

Unaweza kuzuia watu wasife kwa ajali, wakafa kwa majanga ya asili kama vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi, radi n.k

Unaweza kuzuia watu wasife kwa magonjwa, ajali n.k, Wakafa kwa vita, kupigana na kuuana.

Unaweza kuzuia watu wasife kwa vita, wakafa kwa kujiua, kujinyonga, kunywa sumu, kujipiga risasi n.k

Unaona ilivyo ngumu kuzuia kifo kwa 100%?
Kwahiyo issue ni kwamba kifo ni kitu ambacho kipo lazima kitokee(kwa hali yeyote ile) au kwamba tatizo ni uwepo wa hizo sababu zenye kuweza husababisha kifo?
 
Na wewe leta uthibitisho wa hicho unacho dai kiliumba Viumbe.

Sawa unakataa kwamba viumbe vimejiumba vyenyewe.

Nakubali.

Sasa eleza na thibitisha ni nini kiliumba Viumbe?
Tayari kazi ya kuthibitisha umeimaliza wewe mwenyewe,...kitendo cha wewe kushindwa kuthibitisha kwamba viumbe vilijitengeneza vyenyewe ni uthibitisho tosha kwamba Viliumbwa,....hivyo kilichoumba simply tunaita MUUMBAJI au unataka uambiwe nini zaidi?

Usianze kuandika mada ndefu za kuzunguka zunguka.

Be specific, Nini kiliumba viumbe?

Na uthibitishe.

Usianze kuniambia muumbaji hana mwanzo, mara sijui muumbaji kapanda kashuka.
VIUMBE VIMEUMBWA NA MUUMBAJI.

& Nadhani hapo nimekua specific vya kutosha, sina haja ya kuzunguka lengo langu ni kuhakikisha unapata shule mtaalamu.

Kuthibitisha ushamaliza tayari,..sioni haja ya Mimi kuthibitisha tena.

NB:- Kwa mfano tumeona Nyumba nzuri kwenye isolated area,..wewe ukasema Nyumba hii imejitengeneza yenyewe,..Mimi kwa upande wangu nikasema Nyumba hii haiwezi kujitengeneza yenyewe,.... kwenye case hii kitendo cha wewe kushindwa kuthibitisha kwamba Nyumba imejitengeneza yenyewe logically ni uthibitisho tosha kwamba Nyumba ILITENGENEZWA!
 
Tayari kazi ya kuthibitisha umeimaliza wewe mwenyewe,...kitendo cha wewe kushindwa kuthibitisha kwamba viumbe vilijitengeneza vyenyewe ni uthibitisho tosha kwamba Viliumbwa,....hivyo kilichoumba simply tunaita MUUMBAJI au unataka uambiwe nini zaidi?
Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Muumbaji unayedai yupo, Halafu unalazimisha kwamba viumbe vina muumbaji..!!!

Pia kitendo cha wewe kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Muumbaji unayedai yupo, Ni kwamba Muumbaji huyo unayedai yupo, Hayupo.

Unafosi tu kwamba kuna muumbaji, ilhali huwezi kumthibitisha huyo muumbaji.
VIUMBE VIMEUMBWA NA MUUMBAJI.
Kwanza, Thibitisha uwepo wa huyo Muumbaji.

Ukishindwa Kufanya hivyo, Hata wewe kitendo cha kusema viumbe vimeumbwa na muumbaji ni UONGO.

Unathibitishaje na Tutahakikisha vipi uwepo wa huyo muumbaji?
& Nadhani hapo nimekua specific vya kutosha.
Bado hujaeleza na bado hujathibitisha uwepo wa huyo Muumbaji.

Umefosi tu, kwamba kuna muumbaji bila uthibitisho wowote ule.
Kuthibitisha ushamaliza tayari,..sioni haja ya Mimi kuthibitisha tena.
Hata wewe umeshindwa kuthibitisha uwepo wa muumbaji unayedai yupo, Na umethibitisha wazi kwamba Hayupo.

Unless otherwise, Utoe huo uthibitisho hapa.

Sio kufosi fosi kwamba kuna muumbaji bila uthibitisho.

NB:- Kwa mfano tumeona Nyumba nzuri kwenye isolated area,..wewe ukasema Nyumba hii imejitengeneza yenyewe,..Mimi kwa upande wangu nikasema Nyumba hii haiwezi kujitengeneza yenyewe,.... kwenye case hii kitendo cha wewe kushindwa kuthibitisha kwamba Nyumba imejitengeneza yenyewe logically ni uthibitisho tosha kwamba Nyumba ILITENGENEZWA!
Leta uthibitisho wa uwepo wa huyo Muumbaji.

Habari za nyumba imepanda imeshuka ni kuzunguka zunguka tu kusiko na maana yeyote ile.

Hata kwenye posts za huko juu ulizunguka zunguka hivihivi na mifano uchwara.

Swali ni moja, Thibitisha uwepo wa Muumbaji.
 
Back
Top Bottom