Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.

Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.

Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.

1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)

Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani

Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).

Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.

A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Kufariki ni kitendo cha mishipa ya damu kutoweza peleka damu na hewa kwenye sehemu zote za mwili kwakua moyo umesimama kufanya hivyo,ni sawa na mtu aliopo ruvu juu/chini maji yakazimwa then hao wanaopata maji toka hizo sehemu wote wataathirika,its the same hapa.
Chazo chakusimama sasa hapo ndio yanakua mengi matatizo kwanini umesimama,haya maelezo vimetengana ni kidini zaidi but scientific ni kua hakuna vitu vimetengana bali vimeacha kufanya kazi.
 
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.

Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.

Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.

1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)

Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani

Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).

Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.

A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
we una ushahidi gan na uhakika gani kwamba tumepewa miaka 70...?
 
Ndio maana nikakuuliza kutokuwa na chanzo kunafananaje?
Kunafananaje kulingana na nini?
Maana umekuwa ukisema kwamba sio kila kitu lazima kiwe na chanzo.
Ndio sio lazima kila kitu kilichopo kwenye universe kiwe na chanzo.

Ukiondoa vile vitu vyote ambavyo ni Man-made, Vingine vyote vinavyobaki havina chanzo.

Na mfano wa vitu hivyo ni viumbe hai, milima, mabonde, ardhi, mimea, wadudu, ndege, maji, Anga na universe yote kwa ujumla.
 
Kunafananaje kulingana na nini?

Ndio sio lazima kila kitu kilichopo kwenye universe kiwe na chanzo.

Ukiondoa vile vitu vyote ambavyo ni Man-made, Vingine vyote vinavyobaki havina chanzo.

Na mfano wa vitu hivyo ni viumbe hai, milima, mabonde, ardhi, mimea, wadudu, ndege, maji, Anga na universe yote kwa ujumla.
Kutokuwa na chanzo ndio nini hebu eleza nielewe huko kutokuwa na chanzo una maana gani?
 
Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Muumbaji unayedai yupo, Halafu unalazimisha kwamba viumbe vina muumbaji..!!!

Pia kitendo cha wewe kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Muumbaji unayedai yupo, Ni kwamba Muumbaji huyo unayedai yupo, Hayupo.

Unafosi tu kwamba kuna muumbaji, ilhali huwezi kumthibitisha huyo muumbaji.

Kwanza, Thibitisha uwepo wa huyo Muumbaji.

Ukishindwa Kufanya hivyo, Hata wewe kitendo cha kusema viumbe vimeumbwa na muumbaji ni UONGO.

Unathibitishaje na Tutahakikisha vipi uwepo wa huyo muumbaji?

Bado hujaeleza na bado hujathibitisha uwepo wa huyo Muumbaji.

Umefosi tu, kwamba kuna muumbaji bila uthibitisho wowote ule.

Hata wewe umeshindwa kuthibitisha uwepo wa muumbaji unayedai yupo, Na umethibitisha wazi kwamba Hayupo.

Unless otherwise, Utoe huo uthibitisho hapa.

Sio kufosi fosi kwamba kuna muumbaji bila uthibitisho.

Leta uthibitisho wa uwepo wa huyo Muumbaji.

Habari za nyumba imepanda imeshuka ni kuzunguka zunguka tu kusiko na maana yeyote ile.

Hata kwenye posts za huko juu ulizunguka zunguka hivihivi na mifano uchwara.

Swali ni moja, Thibitisha uwepo wa Muumbaji.
Unataka nithibitishe nini tena wakati tayari umethibitisha kwamba viumbe hawajajiumba,.....au huoni kwamba tayari umethibitisha kwamba viumbe wameumbwa kitu ambacho moja kwa moja kinathibitisho uwepo wa MUUMBAJI?

Hakuna sehemu nime force uwepo wa Muumbaji bali hoja tulizojadili ndiyo zimehitimisha hivyo...........

NB: Hivi wewe ukimuona mtu anasema "THE GREAT WALL OF CHINA IMEJITENGENEZA YENYEWE,..KISHA MTU HUYO ANATAKA MPAKA AMUONE HUYO ALIYETENGENEZA NDIYO AAMINI KWAMBA IMETENGENEZWA,...Utafikiria nini kuhusu akili za mtu huyo?
 
Viumbe vipo na vinathibitishika vipo.

Sasa kazi kwako kuthibitisha uwepo wa huyo Muumbaji unayedai yupo.

Ukishindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Muumbaji unayedai yupo, Ni kwamba hayupo, na viumbe havijaumbwa na huyo Muumbaji.
Hakuna sehemu nime force uwepo wa Muumbaji bali hoja tulizojadili ndiyo zimehitimisha hivyo...........
Viumbe vipo na vinathibitishika vipo.

Sasa thibitisha uwepo wa huyo Muumbaji.
NB: Hivi wewe ukimuona mtu anasema "THE GREAT WALL OF CHINA IMEJITENGENEZA YENYEWE,..KISHA MTU HUYO ANATAKA MPAKA AMUONE HUYO ALIYETENGENEZA NDIYO AAMINI KWAMBA IMETENGENEZWA,...Utafikiria nini kuhusu akili za mtu huyo?
Swali ni moja, Thibitisha uwepo wa Muumbaji.

Unakataa kwamba viumbe vimejiumba vyenyewe.

Sawa.

Sasa thibitisha huyo Muumbaji wa viumbe ni nani?

Alitoka wapi?

Huko alipotoka, kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?

Stori za great wall of china ni mada zingine hizo unazunguka zunguka.
 
Siyo imani.

Bali ni kujua.
Ungeeleza basi unachokijua ila unashindwa kueleza unajuaje kifo ni lazima. Unaamini tu kwamba kifo ni lazima na kwa sababu unaona watu wakifariki hivyo unakubali ila hauna maelezo nje ya imani yenye kueleza kwamba ni kwanini na kwa vp kifo kimekuwa lazima.
 
Kutokea kwa kiumbe kipya kutoka kwa wazazi ndio uumbaji.
Kuwa uumbaji sio shida ila shida ni je uumbaji huo ndio umefanywa na wazazi? nataka kujua kikubwa kipi hasa kilichofanywa na wazazi hadi useme wao ndio wameumba na si vinginevyo?
 
Kuwa uumbaji sio shida ila shida ni je uumbaji huo ndio umefanywa na wazazi? nataka kujua kikubwa kipi hasa kilichofanywa na wazazi hadi useme wao ndio wameumba na si vinginevyo?
Wametoa mbegu pamoja na mayai yaliyo unganika kuumba kiumbe kipya.
 
Wametoa mbegu pamoja na mayai yaliyo unganika kuumba kiumbe kipya.
Kwanza si kiumbe kipya bali ni muendelezo tu wa uumbaji wa binaadamu. Mbegu hutumika tu kuumbia lakini si kwamba wazazi ndio wenye kufanya huo uumbaji, kama wazazi ndio wangekuwa waumbaji basi wangekuwa wanaumba watoto wao wawe vile watakavyo wao, lakini nadhani wangeweza pia kurudisha uhai wa mtoto wao endapo akifariki maana wao ndio waliyoumba na kumfanya kuwa na uhai.
 
Kuwa uumbaji sio shida ila shida ni je uumbaji huo ndio umefanywa na wazazi? nataka kujua kikubwa kipi hasa kilichofanywa na wazazi hadi useme wao ndio wameumba na si vinginevyo?
Ndio uumbaji umefanywa na wazazi.
 
Kwanza si kiumbe kipya bali ni muendelezo tu wa uumbaji wa binaadamu. Mbegu hutumika tu kuumbia lakini si kwamba wazazi ndio wenye kufanya huo uumbaji, kama wazazi ndio wangekuwa waumbaji basi wangekuwa wanaumba watoto wao wawe vile watakavyo wao, lakini nadhani wangeweza pia kurudisha uhai wa mtoto wao endapo akifariki maana wao ndio waliyoumba na kufanya kuwa na uhai.
Nani hufanya uumbaji kama si wazazi?
 
Kifo niudanganyifu.
Walio pitia mafundisho yangu walinielewa nimeelezea sana kuhusu jambo hilo kwani nijambo muhimu sana japo watu hujifunika shuka nakua bize na dunia lakini hawana shaka kwamba kunasiku wataiacha dunia hii nawalivyo vikusanya.
Kifo nini!!
Tukifa tunaenda wapi??
Haya yote nimefundisha humu humu nyuzi zangu zimo.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom