Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Hapana,...hapa umedanganya mno mtaalamu..,ukweli ni kwamba kibaiolojia kuzaliana sio chanzo cha uhai bali ni njia ya kuendeleza uhai na hii hoja ya kibailojia nishakuelezea vizuri sana naamini ulielewa.
Lakini uhai huo una endelezwa na viumbe ambao tayari wapo, wana exist.

Kuzaliana ni chanzo cha uhai kwa kiumbe kipya kutoka kwa kiumbe cha zamani cha jamii hiyohiyo ambacho tayari kili exist na kina exist.
.....Kuzaliana ni mchakato wa kuendeleza uhai uliopo tayari na si chanzo cha uhai huo!
Lakini kumbuka kwamba, Uhai huo una endelezwa na viumbe ambao tayari wana uhai.

Bila kuwepo viumbe hai, hakuna uhai pia.

Kwa hiyo kuzaliana ndio chanzo cha uhai kwa kiumbe kipya, Ambacho kitaendeleza cycle hiyohiyo ya kuzaliana kuleta viumbe wengine wapya ambao bado hawana uhai.

Na huo utakuwa mwanzo wa uhai wa hao viumbe wengine wapya.

Baada ya kuzaliwa kutoka kwa hao viumbe wa zamani wa jamii yao. Ambao ndio wamezaliana.

NB: Ukija utuambie...Kama unasema kuzaliana ndiyo chanzo cha uhai, Je kati ya kuzaliana na uhai kipi kilianza kwanza?
Kuzaliana ndio kulianza kwanza.

Kwa sababu bila kuwepo viumbe watakao zaliana, Uhai hauwezi
uka endelezwa.

Kwa hiyo huwezi kupata uhai, bila kuwepo viumbe hai watakao zaliana.

Hivyo kuzaliana ndio kulianza.
 
Ndio maana nilikuuliza unajuaje kama utakufa ni kwa sababu tu unaona watu wengine wanakufa? Hebu nipe sababu zinazokufanya ujue kwamba lazima utakufa na si kuamini kwamba utakufa?
Kuamini ni nini?

Hivi wewe una amini unaitwa
UHURU JR, Au unajua kwamba unaitwa UHURU JR?

Una amini au unajua?
Mfano mtu ambaye anaamini kifo ni lazima haijalishi sababu ya kupelekea kifo ila anaamini kufa ni kitu cha lazima anatofauti gani na wewe unayejua hebu eleza.
Hatuamini kwamba kifo ni lazima, ila tunajua kwa uhakika kabisa kwamba kifo ni lazima.

Msingi wa imani(kuamini) ni kutokuwa na uhakika.
 
Lakini uhai huo una endelezwa na viumbe ambao tayari wapo, wana exist.

Kuzaliana ni chanzo cha uhai kwa kiumbe kipya kutoka kwa kiumbe cha zamani cha jamii hiyohiyo ambacho tayari kili exist na kina exist.
Kwahiyo hapa umekubali kwamba kuzaliana sio chanzo cha uhai kama ulivyodai, bali ni muendelezo tu?

Unasema kuzaliana ni chanzo cha uhai cha kiumbe kipya,...Je hicho kiumbe cha zamani (kabla mfumo wa kuzaliana haujaanza) kilipatia wapi uhai?
Lakini kumbuka kwamba, Uhai huo una endelezwa na viumbe ambao tayari wana uhai.

Bila kuwepo viumbe hai, hakuna uhai pia.

Kwa hiyo kuzaliana ndio chanzo cha uhai kwa kiumbe kipya, Ambacho kitaendeleza cycle hiyohiyo ya kuzaliana kuleta viumbe wengine wapya ambao bado hawana uhai.

Na huo utakuwa mwanzo wa uhai wa hao viumbe wengine wapya.

Baada ya kuzaliwa kutoka kwa hao viumbe wa zamani wa jamii yao. Ambao ndio wamezaliana.

Maelezo yako bado yanathibitisha kwamba kuzaliana ni muendelezo tu wa uhai na sio chanzo cha uhai........hii concept unaweza ukaifananisha na "Original & Copies" au "Production & Reproduction" nadhani ukielewa hizo terms mbili ndiyo utajua tofauti kati ya mwanzo wa uhai wa aina fulani ya kiumbe na muendelezo wa kizazi cha kiumbe husika.

Kuzaliana ndio kulianza kwanza.

Kwa sababu bila kuwepo viumbe watakao zaliana, Uhai hauwezi
uka endelezwa.

Kwa hiyo huwezi kupata uhai, bila kuwepo viumbe hai watakao zaliana.

Hivyo kuzaliana ndio kulianza.
Hapa ndiyo umezidi kujichanganya,..yaani unasema Kuzaliana ndio kulianza kwanza.? haiingii akilini kabisa logically & Biologically ili kuzaliana kuwepo utahitaji viumbe ambao ni HAI,..kukishakua na viumbe hai kuzaliana ndiyo kunafuata sasa,......

Hivyo kauli yako kwamba kuzaliana ndiyo kulianza haipo sahihi.

Kwa sababu bila kuwepo viumbe watakao zaliana, Uhai hauwezi
uka endelezwa.
Yes, Uhai unaendelezwa kwa kuzaliana,....je chanzo cha uhai ni nini?..............Maana kimsingi hata wewe umekubali kwamba kuzaliana kunaendeleza tu uhai lakini si chanzo cha uhai,..

NB; Kama ukiwa muelewa utaona wazi kwamba kwanza inabidi kuwe na viumbe hai kisha kuzaliana kufuate,..sasa hoja ya msingi ni kwamba kabla ya kuzaliana kuanza, hao viumbe hai wa mwanzo "yaani original creatures walitokea wapi au vipi, before sisi copies tunaotokana na kuzaliana???
 
Kwahiyo hapa umekubali kwamba kuzaliana sio chanzo cha uhai kama ulivyodai, bali ni muendelezo tu?
Kuzaliana huko hakuwezi kutokea pasipo viumbe walio hai.

Kuzaliana ndio chanzo cha uhai.

Uhai hauwezi kufanyika kama hakuna viumbe hai.
Unasema kuzaliana ni chanzo cha uhai cha kiumbe kipya,...Je hicho kiumbe cha zamani (kabla mfumo wa kuzaliana haujaanza) kilipatia wapi uhai?
Ndio maana nilikwambia process ya kuzaliana ni Endless. Haina mwanzo wala mwisho.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba process ya kuzaliana ina mwanzo. Hata huo mwanzo wa process ya kuzaliana lazima uwe na mwanzo wake mwingine.

Na kama ulazima huo haupo, Hata huo mfumo wa kuzaliana hauna na Hauhitaji mwanzo.
Maelezo yako bado yanathibitisha kwamba kuzaliana ni muendelezo tu wa uhai na sio chanzo cha uhai..
Nilikwambia hivi, kuzaliana ni mwanzo wa uhai wa kiumbe kipya kutoka kwa viumbe wa zamani wa jamii hiyohiyo ambao tayari wana exist.
......hii concept unaweza ukaifananisha na "Original & Copies" au "Production & Reproduction" nadhani ukielewa hizo terms mbili ndiyo utajua tofauti kati ya mwanzo wa uhai wa aina fulani ya kiumbe na muendelezo wa kizazi cha kiumbe husika.
Kama hakuna viumbe hai wa kuzaliana kuleta uhai, utapata wapi huo uhai?
Hapa ndiyo umezidi kujichanganya,..yaani unasema Kuzaliana ndio kulianza kwanza.? haiingii akilini kabisa logically & Biologically ili kuzaliana kuwepo utahitaji viumbe ambao ni HAI,..kukishakua na viumbe hai kuzaliana ndiyo kunafuata sasa,......
Ndio maana nilikwambia kuzaliana ndio mwanzo wa kiumbe kipya husika(kimoja) kutoka kwa viumbe wa zamani wa jamii hiyohiyo waliozaliana.

Na process ya kuzaliana ni endless.
Hivyo kauli yako kwamba kuzaliana ndiyo kulianza haipo sahihi.
Sasa kama kuzaliana hakukuanza, Thibitisha basi kilicho anzisha uhai pasipo kuhusisha viumbe waliozaliana.
Yes, Uhai unaendelezwa kwa kuzaliana,....je chanzo cha uhai ni nini?..............Maana kimsingi hata wewe umekubali kwamba kuzaliana kunaendeleza tu uhai lakini si chanzo cha uhai,..
Chanzo cha uhai ni viumbe hai.

Ambao walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.
NB; Kama ukiwa muelewa utaona wazi kwamba kwanza inabidi kuwe na viumbe hai kisha kuzaliana kufuate,..sasa hoja ya msingi ni kwamba kabla ya kuzaliana kuanza, hao viumbe hai wa mwanzo "yaani original creatures walitokea wapi au vipi, before sisi copies tunaotokana na kuzaliana???
Hakuna ulazima wa kwamba viumbe hai(original creatures) vina mwanzo.

Kama ulazima huo upo, hata huo mwanzo wa original creatures, lazima uwe na mwanzo wake mwingine.

Pasiwepo kiumbe chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo mwanzo.

Na kama ulazima huo haupo, Hata original creatures hawana mwanzo.
 
Watu wanaosali alafu Sala zao zinajibiwa, ni nini hicho kinawapaga majibu yao ??
Unathibitisha vipi na tutahakikisha vipi kwamba sala ndio zinajibu maombi ya watu?

Mungu gani anashindwa kujibu sala za maelfu ya watoto na wanawake wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa, vimbunga, mafuriko?
FB_IMG_1722976782305.jpg
 
Y
Je ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na mwanzo?

Hakuna binadamu wa kwanza.

Kwa sababu hakuna ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na mwanzo.

Ila kama ulazima huo, lazima uwepo, Hata mwanzo wa kila kitu lazima uwe na mwanzo wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe pasipo mwanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina mwanzo, Hata binadamu hatuna na hatuhitaji kuwa na mwanzo.

Hivyo hakuna binadamu wa kwanza.YAI NA KUKU KIPI KILITANGULIA!?
 
Kilitangulia kutoka wapi?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetanguliwa hata huko "kutanguliwa" lazima kuwe kumetanguliwa na kutanguliwa kwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe pasipo kutanguliwa.

Hivyo hivyo to infinity...
 
Hata huyo muumbaji huwezi kumu exclude kwenye dhana ya uumbaji.

Kama kila kitu lazima kiwe na Muumbaji hata huyo muumbaji na yeye lazima awe na Muumbaji wake mwingine.

Na kama si lazima kila kitu kilichopo kina muumbaji hata ulimwengu na vyote vilivyomo havihitaji Muumbaji.
Kwani we unavyoelewa uumbaji ni nini? Na unaposema kila kitu unakusudia nini? Maana hili neno "kila kitu" unalirudia sana, ila mie nashindwa kuelewa hiyo kila kitu katika vitu gani au hadi hizi smartphones tunazotumia?
 
Vitu vyote ambavyo sio man made.
 
Kuamini ni nini?

Hivi wewe una amini unaitwa
UHURU JR, Au unajua kwamba unaitwa UHURU JR?

Una amini au unajua?

Hatuamini kwamba kifo ni lazima, ila tunajua kwa uhakika kabisa kwamba kifo ni lazima.

Msingi wa imani(kuamini) ni kutokuwa na uhakika.
Kujua si kinyume cha imani au kuamini kitu hakuna maana ya kwamba hukijui hicho kitu, kujua sio lazima kwamba ndio iwe unachojua ndio ukweli. Hivyo kujua haijalishi unachojua kimetokana na imani au si imani na ni kweli ama si kweli.

Mara ngapi inatokea mtoto analelewa na mama ambae si aliyemzaa ila hadi anakuwa ndio anakuja kuambiwa kuwa si mzazi wake aliyemzaa, ila katika kipindi chote hicho tutasema alikuwa akijua kuwa ni mama yake mzazi hatusemi alikuwa akiamini.

Sasa ukisema kwamba wewe hauamini kwamba kifo ni lazima bali unajua kwamba kifo ni lazima, sawa je unajuaje? Hapo ndio bado hujatoa jibu.
 
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Lakini kujua kunaendana na uthibitisho na uhakiki.

Unaweza ukawa unajua kitu, ila ikawa ni kitu cha uongo kwa sababu unaweza kufanya uhakiki wa kitu hicho ukagundua ni ukweli au ni uongo.

Sasa imani yako utahakikisha vipi kwamba ni imani ya kweli na si uongo?

Una uthibitisho upi na tuta hakikisha vipi kwamba kuamini kwako ni ukweli na sio uongo?

Hapo mtoto amefanya uhakiki wa kile alichokuwa anajua na kuambiwa Kwamba huyo mama, Ni mama yake mzazi. Kumbe sivyo.

Hivyo mtoto amehakikisha na kuthibitisha kwamba alichokuwa anajua sikweli ni uongo.

Sasa imani yako utahakikisha vipi kwamba ni imani ya ukweli na si imani ya uongo?

Najua kwa sababu seli za mwili wa binadamu kadiri muda unavyokwenda zinakufa na mwili wa binadamu unaishiwa nguvu na hatimaye lazima nife.

Wala si imani.
 
Hebu nielewe vizuri nachokisema, ni kwamba kujua ni kujua tu haijalishi unachokijua kinatokana na imani ama si imani au una uthibitisho au hauna na ni kweli ama si kweli.

Sasa suala la uthibitisho au kuhakiki ni hatua nyengine, huyo mtoto hapo kabla alikuwa akijua kitu ambacho kumbe hakikuwa kweli hivyo suala la kujulikana ukweli limekuja baadaye. Sasa tatizo lako unapambanisha kujua na kuamini kitu ambacho sioni sababu ya kupambanisha.

Halafu ikiwa mtoto mchanga anayezaliwa leo anaweza kufariki nakushangaa unapong'ang'ania habari za uzee sijui seli kufa.
 
Uumbaji ni kutoa kiumbe kipya kutoka kwa kiumbe kingine cha aina hiyohiyo kilicho kuwepo kabla.
Kwahiyo sasa unachopinga wewe kuhusu uumbaji ni nini? Ni kwamba uumbaji upo ila hakuna muumbaji?
 
Hebu nielewe vizuri nachokisema, ni kwamba kujua ni kujua tu haijalishi unachokijua kinatokana na imani ama si imani au una uthibitisho au hauna na ni kweli ama si kweli.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.
Sasa suala la uthibitisho au kuhakiki ni hatua nyengine, huyo mtoto hapo kabla alikuwa akijua kitu ambacho kumbe hakikuwa kweli hivyo suala la kujulikana ukweli limekuja baadaye. Sasa tatizo lako unapambanisha kujua na kuamini kitu ambacho sioni sababu ya kupambanisha.
Kuamini ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.

Na unaweza kuamini hata uongo. Kwa vile ni imani tu.

Kujua kunahitaji uhakiki na uthibitisho ili tuhakikishe kwamba hicho unachodai unajua ni ukweli au uongo.
Halafu ikiwa mtoto mchanga anayezaliwa leo anaweza kufariki nakushangaa unapong'ang'ania habari za uzee sijui seli kufa.
Najua kwamba mtoto mchanga anayezaliwa leo anaweza kufariki.

Sihitaji imani, kuamini mtoto mchanga anayezaliwa leo anaweza kufariki.
 
Back
Top Bottom