Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Kuona viumbe vipo haimaanishi kwamba ndio viliumbwa.
Sawa vizuri,..Kuona Viumbe vipo inamaanisha nini?

Kwa nini unalazimisha kwamba viumbe vimeumbika?
Hapana silazimishi naacha room ya kujifunza,...kama unaona Viumbe havijaumbika tuambie vimefanya nini?.....

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muundaji, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist tu chenyewe pasipo muundaji.
Unaona unavyojichanganya sasa?,.. Kwahiyo na wewe unaamini ili kitu ki exist lazima kiwe na Muundaji,....SI NDIYO?

Sasa hapo si una uthibitisho na uhakika wa uwepo wa huyo Designer, ambao ni mafundi sanifu na mafundi ujenzi wa nyumba hiyo.

Wala si imani. Maana tayari utakuwa unajua kwa uhakika na uthibitisho kabisa kwamba nyumba hiyo nzuri ilijengwa na mafundi sanifu ambao wana thibitishika wapo.

Hakuna mwenye uthibitisho kwamba, Ulimwengu na binadamu tuliumbwa.

Ni imani tu mlizo aminishwa na imani zilizowekwa ambazo hazina uhakiki, ushahidi wala uthibitisho.

Kwahiyo ukikuta Nyumba nzuri msituni na upo kwenye mazingira ambayo huwezi kumuona wala kujua Designer wake,..utasema hiyo Nyumba imejiunda yenyewe,..SI NDIYO?
 
Ina maanisha kwamba vilikuwepo, ndio maana hata wewe umevikuta vipo.

Vimekuwepo na vitaendelea kuwepo kwa kuzaliana na kuongezeka zaidi na viumbe vingine vitakufa kuwezesha nafasi ya viumbe wengine wapya kuishi.

Ndio lazima awepo muundaji kama ulazima huo upo.

Na ulazima huu, unatakiwa ku apply kwa kila kitu hata huyo muundaji mwenyewe lazima awe ameundwa na muundaji mwingine.

Hivyo hivyo, pasipo kukoma.

Pasiwepo kitu chochote kile au muundaji yeyote yule aliyejitokeza mwenyewe pasipo kuundwa. Maana itazua maswali ya aliwezaje kuwepo pasipo muundaji.

Huwezi kumu exclude huyo muundaji kwenye uundaji wa kuundwa, Halafu uanze kufosi kwamba viumbe vimeundwa.

Na kama ulazima huo haupo, Hata viumbe na Binadamu hatuna na hatuhitaji tuwe na muundaji.

Kwanza lazima ujue kwamba nyumba 🏠 ni kitu Man-made. Sio naturally made.

Ni tofauti na mlima, bonde, mto ambavyo vipo naturally.

Kwa hivyo huu mfano wako wa "kuwepo nyumba nzuri msituni" mpaka hapa una Contradiction.

Hata kama mimi nitafika hapo msituni bila kufahamu chochote kuhusu nyumba hiyo.

Lazima kutakuwepo maelezo, historia, ushahidi na uthibitisho wa namna gani nyumba hiyo, ipo hapo msituni.

Either kwa kujengwa au kuletwa.

Kwa vile nyumba 🏠 ni kitu Man-made sio naturally made.
 
Vizuri sana,..Nini maana ya kitu kuwa Naturally-made kama ulivyosema?
 
Asili ni mkusanyiko wa vitu vyote ambavyo havijatengenezwa.

Wanyama, mimea, maji, binadamu, hewa, ardhi, mawe, milima, mabonde, wadudu, ndege, Anga na vyote vilivyomo ndani yake.
Vizuri,..kwahiyo "Naturally- made" maana yake ni vitu ambavyo havijatengenezwa?

Kwa mfano umetaja "Ardhi" kama miongoni mwa vitu ambavyo havijatengenezwa,.......unaweza ukatusaidia uthibitisho wa mechanism iliyotokea mpaka ardhi ika exist bila kutengenezwa?
 
Elewa point ya jibu husika,uliuliza swali, Asili ni nini.

Nikakujibu hivi, Asili ni mkusanyiko wa vitu vyote ambavyo havijatengenezwa.

Hii "naturally-made" ni hoja kwenye post nyingine ya nyuma ambayo nilikwambia milima, mabonde, ardhi,mimea na binadamu vipo naturally.

Hiyo "made" hapo nadhani ndio inabadilisha maana ya hoja nzima.

Basi niseme, Naturally self-made.

Hapo itakaa sawasawa bila kuvuruga maana

Kasome Geography mambo ya Geomorphology.
 
Sawa,.. kwa mfano unaweza kuthibitisha mechanism on how Ardhi na Ndege ni "self-made" kama unavyosema?

Au logic na proof (s) ni nini mpaka unasema hivyo vitu ni self-made...ili tukubali kwamba upo sahihi na una uhakika na unachokisema.
 
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.

Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.

Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.

1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)

Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani

Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).

Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.

A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
 
Sawa,.. kwa mfano unaweza kuthibitisha mechanism on how Ardhi na Ndege ni "self-made" kama unavyosema?
Uthibitisho wa uwepo wa muumbaji aliyeumba ardhi na ndege haupo.

Ardhi na ndege vipo na vinathibitishika vipo.

Ndege 🐦 ni self made kupitia mechanism ya kuzaliana wao kwa wao.

Ardhi ni self made kupitia Geomorphological processes mbalimbali zilizo tokea.

Mechanisms zote za kuzaliana na hizo Geomorphological processes zilifanyika na zinafanyika zenyewe.

Hakuna anayezifanya.

Huu ni uthibitisho tosha kwamba hakuna Muumbaji.
Au logic na proof (s) ni nini mpaka unasema hivyo vitu ni self-made...ili tukubali kwamba upo sahihi na una uhakika na unachokisema.
Uthibitisho wa uwepo wa muumbaji haupo.

Na mechanisms na processes nyingi tunaona zinaendelea kufanyika zenyewe tu,

Mfano tunaona ndege, wanyama na mimea vikiendelea kuongezeka vyenyewe tu automatically kwa kuzaliana vyenyewe tu, pasipo kuhitaji muumbaji wa kuwapangia.

Pia sisi binadamu tunazaliana wenyewe tu, kwa matakwa na maamuzi yetu wenyewe.

Hakuna Muumbaji wa kutupangia tuzae au tusizae.

Kwa hiyo ina maana Mechanisms hizi ni endless.

Zilikuwepo, zipo na zitaendelea kuwepo.
 
Vizuri sana unakuja sehemu nzuri............unasema mechanism ni kuzaliana tu lakini hiyo hoja ya kuzaliana mwanzoni nilikuonyesha kwamba Kibaiolojia reproduction process sio infinity kama unavyodai.

Then, unasema mechanism ya kuzaliana ni endless,..sasa ngoja nikuulize swali rahisi tu,..Je, kwanini kampeni za kulinda viumbe ambao wapo hatarini kutoweka (yaani endangered species) zinafanyika kwa ukubwa duniani kote?

Kwanini tunasema kuna endangered species kama kweli viumbe vinazaliana endlessly.? maana kama viumbe wana exist kwasababu wanazaliana maana yake ni kwamba hata tukiwaua wote wakatoweka duniani still wataendelea kuwepo na kuzaliana, tusaidie inawezekana vipi hii?

Karibu mtaalamu.
 
Vizuri sana unakuja sehemu nzuri............unasema mechanism ni kuzaliana tu lakini hiyo hoja ya kuzaliana mwanzoni nilikuonyesha kwamba Kibaiolojia reproduction process sio infinity kama unavyodai.

Then, unasema mechanism ya kuzaliana ni endless,..sasa ngoja nikuulize swali rahisi tu,..Je, kwanini kampeni za kulinda viumbe ambao wapo hatarini kutoweka (yaani endangered species) zinafanyika kwa ukubwa duniani kote?
Ni kwa sababu viumbe hao wanauwawa kwa wingi sana na kwa vile wana uwawa sana hata kuzaliana kwao kuta pungua.

Na wakiuwawa wote wakaisha kabisa, Watakuwa wametoweka na hawata kuwepo tena.

Ndio maana ili kunusuru hali hii, lazima walindwe ili waweze kuzaliana wao kwa wao, waweze kuongezeka idadi, ili waendelee kuwepo. Wasitoweke.
Kwanini tunasema kuna endangered species kama kweli viumbe vinazaliana endlessly.?
Kwa sababu viumbe hao wanauwawa sana na wako kwenye hatari ya kutoweka.

Ili kuwanusuru lazima walindwe, ili wachache waliopo wazaliane waweze kuongeza idadi.
maana kama viumbe wana exist kwasababu wanazaliana maana yake ni kwamba hata tukiwaua wote wakatoweka duniani still wataendelea kuwepo na kuzaliana, tusaidie inawezekana vipi hii?
Sasa ukishaua viumbe wote duniani si watakuwa hawapo?

Sasa kama hawapo watawezaje kuzaliana?

Viumbe wapo ndio maana wanazaliana na kuongezeka idadi.

Ukiua viumbe wote duniani, watatoweka wote na watakuwa hawapo tena.

Na hakutakuwa na kiumbe chochote kinacho exist, Maana tayari viumbe wote watakuwa wameuliwa.

Ukishaua kitu ni kwamba hakipo tena kwenye ku exist.
Karibu mtaalamu.
 
Ni kwa sababu viumbe hao wanauwawa kwa wingi sana na kwa vile wana uwawa sana hata kuzaliana kwao kuta pungua.

Na wakiuwawa wote wakaisha kabisa, Watakuwa wametoweka na hawata kuwepo tena.

Ndio maana ili kunusuru hali hii, lazima walindwe ili waweze kuzaliana wao kwa wao, waweze kuongezeka idadi, ili waendelee kuwepo. Wasitoweke.

Kwa sababu viumbe hao wanauwawa sana na wako kwenye hatari ya kutoweka.

Ili kuwanusuru lazima walindwe, ili wachache waliopo wazaliane waweze kuongeza idadi.

Sasa ukishaua viumbe wote duniani si watakuwa hawapo?

Sasa kama hawapo watawezaje kuzaliana?

Viumbe wapo ndio maana wanazaliana na kuongezeka idadi.

Ukiua viumbe wote duniani, watatoweka wote na watakuwa hawapo tena.

Na hakutakuwa na kiumbe chochote kinacho exist, Maana tayari viumbe wote watakuwa wameuliwa.

Ukishaua kitu ni kwamba hakipo tena kwenye ku exist.
Sawa,..kwa mantiki hiyo tunakubaliana kwamba kuzaliana ni mfumo ambao hauendelei tu wenyewe to infinity bali kuna muda inabidi uwe controlled, ili kuhakikisha viumbe havitoweki duniani?

Na, Je tunakubaliana kwamba kwenye hoja hii umekiri mwenyewe kwamba kuzaliana sio chanzo cha uhai na maisha ya viumbe hai hapa duniani?...... Maana umeonyesha kwamba viumbe wakifa wote hawatoweza kuwepo tena duniani kwasababu hata kuzaliana hakutokuepo......

Sasa kama kuzaliana sio chanzo cha uhai wa Viumbe hai....Je, uhai wa viumbe hai ulitoka wapi? Maana tumeona kwamba no uhai no kuzaliana,....tujiulize sasa nini kilifanya mpaka viumbe vikapata uhai na kufanya mfumo wa kuzaliana kwa viumbe hai ukawepo.

Karibu mtaalamu.
 
Sawa,..kwa mantiki hiyo tunakubaliana kwamba kuzaliana ni mfumo ambao hauendelei tu wenyewe to infinity bali kuna muda inabidi uwe controlled, ili kuhakikisha viumbe havitoweki duniani?
Hapana haiko hivyo.

Mfumo wa kuzaliana unaendelea tu wenyewe to infinity na hauhitaji kuwa controlled na yeyote yule.

kwa sababu mfumo huu wa kuzaliana unaji control wenyewe automatically.

Ndio maana wanyama,ndege,samaki na viumbe wengine wote wanazaliana tu wenyewe kila kukicha pasipo kuwa controlled na yeyote yule.

Viumbe kutoweka duniani na mfumo huu wa kuzaliana kukoma, Labda litokee tukio ambalo litawa angamiza viumbe wote wakaisha wote kabisa, Pasipo hata kiumbe mmoja kubakia.

Hapa ndipo unaweza kusema kwamba mfumo wa kuzaliana umefika mwisho kabisa.

Lakini kama viumbe bado vipo, mfumo wa kuzaliana utaendelea wenyewe, automatically.

Na, Je tunakubaliana kwamba kwenye hoja hii umekiri mwenyewe kwamba kuzaliana sio chanzo cha uhai na maisha ya viumbe hai hapa duniani?......
Kuzaliana ndio chanzo cha uhai kwa kiumbe husika.

Ambapo kiumbe hicho husika hupata uhai kutoka kwa viumbe wa jamii yake.

Kwani wewe kabla hujazaliwa ulikuwa na uhai?

Uhai si umeupata baada ya wazazi wako kukuzaa wewe?

Au ulikuwa na uhai kabla ya wazazi wako kukuzaa?
Maana umeonyesha kwamba viumbe wakifa wote hawatoweza kuwepo tena duniani kwasababu hata kuzaliana hakutokuepo......
Ndio viumbe wakifa wote na mfumo huu wa kuzaliana utakufa na hautakuwepo tena.

kwa sababu viumbe hawatakuwepo tena.

Viumbe wapo na mfumo wa kuzaliana upo.

Pia viumbe vikiendelea kuwepo na mfumo wa kuzaliana utaendelea kuwepo.

Viumbe vyote vikitoweka kabisa na mfumo wa kuzaliana utatoweka, hautakuwepo tena.
Sasa kama kuzaliana sio chanzo cha uhai wa Viumbe hai....Je, uhai wa viumbe hai ulitoka wapi?
Kuzaliana ndio chanzo cha uhai ambao upo milele.

Na mfumo huu wa kuzaliana umetoka kwa viumbe ambao walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo milele.
Maana tumeona kwamba no uhai no kuzaliana,....tujiulize sasa nini kilifanya mpaka viumbe vikapata uhai na kufanya mfumo wa kuzaliana kwa viumbe hai ukawepo.
Uhai upo milele, kuzaliwa ndio mwanzo wa Uhai wa kiumbe husika.

Uhai una mwisho kwa kiumbe husika ambao ni Kifo.

Ndio maana kila kiumbe hupata uhai kwa wakati wake, Na kifo kwa wakati wake.

Wewe hukuwa na uhai, ila ulipata uhai baada ya kuzaliwa.

Na hata vitukuu vyako kwa sasa havina uhai ila vitakuja kupata uhai kwa kuzaliwa.

Hivyo uhai mwanzo wake ni kuzaliana kwa viumbe husika, kuleta kiumbe kingine kipya.

Viumbe vina mwanzo ambao ndio uhai unaotokana na kuzaliana, Na mwisho ni kifo.
Karibu mtaalamu.
 
Mimi siamini kwamba nitakufa ila ninajua kwamba ipo siku nitakufa.

Sihitaji imani, bali najua kwamba lazima nitakufa siku moja.
Ndio maana nilikuuliza unajuaje kama utakufa ni kwa sababu tu unaona watu wengine wanakufa? Hebu nipe sababu zinazokufanya ujue kwamba lazima utakufa na si kuamini kwamba utakufa?

Mfano mtu ambaye anaamini kifo ni lazima haijalishi sababu ya kupelekea kifo ila anaamini kufa ni kitu cha lazima anatofauti gani na wewe unayejua hebu eleza.
 
Hapana haiko hivyo.

Mfumo wa kuzaliana unaendelea tu wenyewe to infinity na hauhitaji kuwa controlled na yeyote yule.

kwa sababu mfumo huu wa kuzaliana unaji control wenyewe automatically.

Ndio maana wanyama,ndege,samaki na viumbe wengine wote wanazaliana tu wenyewe kila kukicha pasipo kuwa controlled na yeyote yule.

Viumbe kutoweka duniani na mfumo huu wa kuzaliana kukoma, Labda litokee tukio ambalo litawa angamiza viumbe wote wakaisha wote kabisa, Pasipo hata kiumbe mmoja kubakia.

Hapa ndipo unaweza kusema kwamba mfumo wa kuzaliana umefika mwisho kabisa.

Lakini kama viumbe bado vipo, mfumo wa kuzaliana utaendelea wenyewe, automatically.

Kuzaliana ndio chanzo cha uhai kwa kiumbe husika.

Ambapo kiumbe hicho husika hupata uhai kutoka kwa viumbe wa jamii yake.

Kwani wewe kabla hujazaliwa ulikuwa na uhai?

Uhai si umeupata baada ya wazazi wako kukuzaa wewe?

Au ulikuwa na uhai kabla ya wazazi wako kukuzaa?

Ndio viumbe wakifa wote na mfumo huu wa kuzaliana utakufa na hautakuwepo tena.

kwa sababu viumbe hawatakuwepo tena.

Viumbe wapo na mfumo wa kuzaliana upo.

Pia viumbe vikiendelea kuwepo na mfumo wa kuzaliana utaendelea kuwepo.

Viumbe vyote vikitoweka kabisa na mfumo wa kuzaliana utatoweka, hautakuwepo tena.

Kuzaliana ndio chanzo cha uhai ambao upo milele.

Na mfumo huu wa kuzaliana umetoka kwa viumbe ambao walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo milele.

Uhai upo milele, kuzaliwa ndio mwanzo wa Uhai wa kiumbe husika.

Uhai una mwisho kwa kiumbe husika ambao ni Kifo.

Ndio maana kila kiumbe hupata uhai kwa wakati wake, Na kifo kwa wakati wake.

Wewe hukuwa na uhai, ila ulipata uhai baada ya kuzaliwa.

Na hata vitukuu vyako kwa sasa havina uhai ila vitakuja kupata uhai kwa kuzaliwa.

Hivyo uhai mwanzo wake ni kuzaliana kwa viumbe husika, kuleta kiumbe kingine kipya.

Viumbe vina mwanzo ambao ndio uhai unaotokana na kuzaliana, Na mwisho ni kifo.
Hapana,...hapa umedanganya mno mtaalamu..,ukweli ni kwamba kibaiolojia kuzaliana sio chanzo cha uhai bali ni njia ya kuendeleza uhai na hii hoja ya kibailojia nishakuelezea vizuri sana naamini ulielewa.
.....Kuzaliana ni mchakato wa kuendeleza uhai uliopo tayari na si chanzo cha uhai huo!

NB: Ukija utuambie...Kama unasema kuzaliana ndiyo chanzo cha uhai, Je kati ya kuzaliana na uhai kipi kilianza kwanza?
 
Huyo aliyewaumba, Yeye aliumbwa na nani?

Kabla hajawaumba, alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi, Na kuliumbwa na nani?
Hayo maswali ni mjadala mwengine kabisa na hata yakijibiwa hayo maswali haisadii katika mnachojadili.
 
Kuona viumbe vipo haimaanishi kwamba ndio viliumbwa.

Kwa nini unalazimisha kwamba viumbe vimeumbika?

Kama ulazima huo upo, Kwa nini huanzi kuweka ulazima huo, Kwa kuanzia kwa huyo muundaji?

Kwa nini una mu exclude huyo muundaji kwenye kuumbwa, Halafu unataka viumbe viwe vimeumbwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muundaji, Hata muundaji wa kila kitu lazima awe na muundaji wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muundaji, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist tu chenyewe pasipo muundaji.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muundaji, Hata Viumbe, Binadamu na ulimwengu kwa ujumla, Hatuna na Hatuhitaji tuwe na muundaji.

Sasa hapo si una uthibitisho na uhakika wa uwepo wa huyo Designer, ambao ni mafundi sanifu na mafundi ujenzi wa nyumba hiyo.

Wala si imani. Maana tayari utakuwa unajua kwa uhakika na uthibitisho kabisa kwamba nyumba hiyo nzuri ilijengwa na mafundi sanifu ambao wana thibitishika wapo.

Hakuna mwenye uthibitisho kwamba, Ulimwengu na binadamu tuliumbwa.

Ni imani tu mlizo aminishwa na imani zilizowekwa ambazo hazina uhakiki, ushahidi wala uthibitisho.
Ila mkuu kati ya dhana ya kwamba kuna muumbaji na dhana ya kwamba hakuna uumbaji wala muumbji ni dhana ipi ambayo inaingia akilini?
 
Hata huyo muumbaji huwezi kumu exclude kwenye dhana ya uumbaji.

Kama kila kitu lazima kiwe na Muumbaji hata huyo muumbaji na yeye lazima awe na Muumbaji wake mwingine.

Na kama si lazima kila kitu kilichopo kina muumbaji hata ulimwengu na vyote vilivyomo havihitaji Muumbaji.
 
Back
Top Bottom