Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Sijauliza roho inahusishwa na nini, nimeuliza roho ni nini.

Kama ni habari ya kuhusishwa tu, Willy Gamba anahusishwa na majasusi wa Tanzania, katika riwaya za Aristablus Elvis Musiba, lakini hilo halimaanishi Willy Gamba ni jasusi wa Tanzania aliyepo kiuhalisia nje ya hizo riwaya.

Sasa na wewe unahakikishaje roho ipo kweli na si sehemu ya hadithi tu kama Willy Gamba?
Nimesema toka mwanzo kwamba bado hatujajua roho ni nini, sasa labda useme kuwa ukiwa hujui kitu ni nini basi hufanya hicho kitu hakipo.

Sijajua habari za hadithi zimeingiaje hapa! kuna baadhi ya maradhi ambayo bado hayaja julikana hasa husababishwa na nini ila vipo vitu ambavyovinahusishwa kusababisha hayo maradhi. Sasa kwenye roho hatujui hasa roho ni nini ndio maana nikatumia neno kuhusishwa na uhai.
 
Mpaka sasa unapiga hadithi ya kuwapo roho, hujathibitisha roho ipo wala kuweza kueleza roho ni nini.
 
Mimi nilikuwa nazungumzia kuhusu roho maana ni jambo ambalo linahusika na kifo ila sikuwa katika mashindano ya kuweza au kutokuweza kuthibitisha kuwepo roho kwangu mimi mashindano hayo ni kama ni utoto, historia inatuonyesha kuna mambo mengi ambayo yalikuwa yakijulikana au kufanyika toka enzi na enzi ila miaka ya juzijuzi tu ndio yamekuja kuthibitika na kuelezeka kisayansi.
 
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.

Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.

Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.

1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)

Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani

Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).

Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.

A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Ok ikiwa kifo ni kutengana kwa mwili na roho. Je yupi mwenye maamuzi ya utengano kati ya mwili na roho?
 
Mimi nilikuwa nazungumzia kuhusu roho maana ni jambo ambalo linahusika na kifo ila sikuwa katika mashindano ya kuweza au kutokuweza kuthibitisha kuwepo roho kwangu mimi mashindano hayo ni kama ni utoto, historia inatuonyesha kuna mambo mengi ambayo yalikuwa yakijulikana au kufanyika toka enzi na enzi ila miaka ya juzijuzi tu ndio yamekuja kuthibitika na kuelezeka kisayansi.
Mpaka sasa unapiga hadithi ya kuwapo roho, hujathibitisha roho ipo wala kuweza kueleza roho ni nini.
 
Roho ni mambo ya kiiamani tu
Ktk maisha ya wasoamini imani ni bora ukasema Moyo ila roho hapana

Lakin pia kufa akuna formula na akuna ajuae fomula yakuishi mda mrefu so enjoy time yako duniani
 
Hakuna niliposema nathibitisha kuwepo roho ili nikufanye wewe ukubali uwepo wa roho, wewe unaweza ukawa na mtazamo mwengine kuhusu uhai wa binaadamu tofauti na roho unaweza ukaeleza hapa tukajadili. Ila kama unataka mchezo wa uthibitisho ili uwe mshindi kwamba nimeshindwa kuthibitisha basi mie toka mwanzo sikuwa mshiriki wa huo mchezo.
 
Siyo tu hujathibitisha roho ipo, hujaweza hata ku define roho ni nini.

Mpaka sasa unapiga hadithi ya kuwapo roho, hujathibitisha roho ipo wala kuweza kueleza roho ni nini.
 
Roho ni mambo ya kiiamani tu
Ktk maisha ya wasoamini imani ni bora ukasema Moyo ila roho hapana

Lakin pia kufa akuna formula na akuna ajuae fomula yakuishi mda mrefu so enjoy time yako duniani
Mkuu imani si kitu ambacho ni kwa ajiri ya watu fulani au kundi fulani tu, hivyo hakuna binaadamu wasioamini.
 
Siyo tu hujathibitisha roho ipo, hujaweza hata ku define roho ni nini.

Mpaka sasa unapiga hadithi ya kuwapo roho, hujathibitisha roho ipo wala kuweza kueleza roho ni nini.
Sasa kama hata sija define roho ni nini ila wewe teyari ushadai uthibitisho wa kitu ambacho hata hujapata definition yake, sijajua ni kwanini umekimbilia kutaka uthibitisho badala kwanza ya kutaka kujua definition ya hicho kitu.
 
Nimekuomba definition ya roho ukashindwa ku define roho ni nini ukaishia kubumbabumba tu "roho inahusishwa na ...".
 
Nilikujibu toka mwanzo kuwa bado hatujui roho ni nini , hadi ukaniuliza kwanini hatujui? sasa nashangaa unapokuja kusema et umeniomba ni define roho ni nini nimeshindwa nikaishia kubumbabumba!

Tatizo umekariri "thibitisha/umeshindwa kuthibitisha" kinyume na hapo hakuna unachoweza kujadili.
 
Kama hujui roho ni nini, unajuaje ipo?
 
Back
Top Bottom