Siwezi ongozwa na mtu kama lowassa. Ni bora nkaishi hata Somalia au Syria kuliko lowassa kuwa raisi wangu.
Lowassa ninajua kuwa hutaki kuamini kuwa ndiyo unaiacha dunia bila ya kuwa rais tangu uzaliwe, ukweli ni kwamba si wewe tu.
Ni wengi wamekufa na hawajawahi kuwa marais na walikuwa na ndoto za kuwa maraisi kama wewe. Kwakuwa umeikosa awamu hii huwezi kugombea uraisi tena duniani iwe Tanzania au popote pale na hii ni kutokana na sababu za kiumri pamoja na afya yako.
Umejitengenezea historia kubwa sana nchini itakayodum vizazi na vizazi, japo si historia ya maana ila utakumbukwa sana, utabaki kuwa simulizi kwenye vijiwe vya kahawa.
Lowassa; muda wako umekwisha, huwezi kuwa rais tena duniani, huwezi kuja kupita barabarani kwa ving'ora, huwezi tena kufanya maamuzi magumu kwa mambo yanayohusu mustakabali wa nchi.
MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Subirini tuje tuwanyooshe, kama kawaida yetu na hatujawahi kushindwa tangu 1995 ushindi ni 60%~80%
Mchunguzi huru umejipachika kazi ya wapiga kura milioni ishirini na moja waliojiandikisha na umejiteua kuwa Mungumtu mtabiri kwamba ukisemacho ndicho huwa. Sisi wapumbavu na malofa katika ubora wetu tunaamini tulianza na Mungu, tuko na Mungu na tutamaliza na Mungu na ifikapo oktoba 25 tutampa Lowassa kura nyingi za ndiyo pamoja na wabunge wa ukawa. Tanzania bila ccm imeanza kuwezekana na huo ndio uchungu wako halisi
mmeanza na mungumtu na mtamaliza na mungumtu na huyo mungumtu wenu atakuwa wa kwanza kufungua dimba la mahakama ya mafisadi baada ya oct 25
lowassa ninajua kuwa hutaki kuamini kuwa ndiyo unaiacha dunia bila ya kuwa rais tangu uzaliwe, ukweli ni kwamba si wewe tu.
Ni wengi wamekufa na hawajawahi kuwa marais na walikuwa na ndoto za kuwa maraisi kama wewe. Kwakuwa umeikosa awamu hii huwezi kugombea uraisi tena duniani iwe tanzania au popote pale na hii ni kutokana na sababu za kiumri pamoja na afya yako.
Umejitengenezea historia kubwa sana nchini itakayodum vizazi na vizazi, japo si historia ya maana ila utakumbukwa sana, utabaki kuwa simulizi kwenye vijiwe vya kahawa.
lowassa; muda wako umekwisha, huwezi kuwa rais tena duniani, huwezi kuja kupita barabarani kwa ving'ora, huwezi tena kufanya maamuzi magumu kwa mambo yanayohusu mustakabali wa nchi.
mchunguzi huru (associate professor)
Lowassa ninajua kuwa hutaki kuamini kuwa ndiyo
unaiacha dunia bila ya kuwa rais tangu uzaliwe,
ukweli ni kwamba si wewe tu.
Ni wengi wamekufa na hawajawahi kuwa marais
na walikuwa na ndoto za kuwa maraisi kama
wewe. Kwakuwa umeikosa awamu hii huwezi
kugombea uraisi tena duniani iwe Tanzania au
popote pale na hii ni kutokana na sababu za
kiumri pamoja na afya yako.
Umejitengenezea historia kubwa sana nchini
itakayodum vizazi na vizazi, japo si historia ya
maana ila utakumbukwa sana, utabaki kuwa
simulizi kwenye vijiwe vya kahawa.
Lowassa; muda wako umekwisha, huwezi kuwa
rais tena duniani, huwezi kuja kupita barabarani
kwa ving'ora, huwezi tena kufanya maamuzi
magumu kwa mambo yanayohusu mustakabali
wa nchi.