UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

Mwaka wa kuiondoa CCM umefika bahati mbaya mchinjaji ni mtoto waliyemlea wenyewe.

Ninavojua mimi kuwa rais ni zaidi ya kupita majukwaani. Mfano, CCM wenyewe wanasema ushindi wao kwa majukwaani ni 30% tu. Mimi nakubaliana nao, rais ni taasisi nyeti, ni nafasi ambayo hatakiwi kupewa mtu kwa ushabiki. Ni lazima taasisi nyeti pia wahiridhishe kama kweli huyo mtu akipew nchi itakuwa salama.

Kwa mtu kama lowassa nina wasisi kama akipewa nchi itakuwa salama. Mzee anapoteza mda hasa, japokuwa si mbaya kujaribu bahati yake katika hii nafasi ya urais. Lowassa kamwe hawezi kuwa rais wa nchi yoyote duniani.
 
ImageUploadedByJamiiForums1443507988.942456.jpg
 
Kitu ambacho wana CCM hawajui ni siri nzito ya urafiki kati ya Lowasa na Kikwete.CCM watashangaa wenzenu hawajakutana barabarani mkielewa hiyo sentensi basi mtaelewa tarehe 25 kikwete atamkabidhi nani nchi
 
Sio wote, ni wale wanaomuunga mkono, bt kumbuka ushindi jukwaani 30% tu. Nyingine 70% ni maarifa na uwezo binafsi. Kura mpeni ila kushinda nakuhakikishia hashindi.

Acha wajidanganye hapa ni KAZI TU
 
Ni aibu kwa Taifa kuwa na Raisi aina ya Lowasa.
 
Mi nakuhakikishiei, Lowassa hatashinda uchaguzi ujao. Najua ni ngumu kumeza, lakini ndo hali halisi ilivyo. Majibu rasimi mtayapata oct 25. Mark ma word.
 
Yaani kweli wee mleta mado una utofauti na shoga kutaka mimba wee unaona ccm inazaa miaka mingapi hadi lie nchi imekua tasa kimaendeleo ndege zinatoa maporini hujiulizi zina beba nn kweli wee nikikufananisha na dada yako sikosei

Ndo nini umeandika sasa? Hata mwandiko hukufundishwa?
 
Ni suala la Lowassa kuwa raisi, haitatokea hapa Tanzania, labda akagombee urais wa wafugaji, sio mbaya maana pia ni urais.
 
Ninavojua mimi kuwa rais ni zaidi ya kupita majukwaani. Mfano, CCM wenyewe wanasema ushindi wao kwa majukwaani ni 30% tu. Mimi nakubaliana nao, rais ni taasisi nyeti, ni nafasi ambayo hatakiwi kupewa mtu kwa ushabiki. Ni lazima taasisi nyeti pia wahiridhishe kama kweli huyo mtu akipew nchi itakuwa salama.

Kwa mtu kama lowassa nina wasisi kama akipewa nchi itakuwa salama. Mzee anapoteza mda hasa, japokuwa si mbaya kujaribu bahati yake katika hii nafasi ya urais. Lowassa kamwe hawezi kuwa rais wa nchi yoyote duniani.
Ingeleta maana kama ungewataja Hashim Rungwe, Dovutwa, Mgwira n.k
lakini unapomtaja Lowasa pekee inaonesha dalili yako ya woga.
 
Tatizo si lako bali mfumo uliokukuza ndio umekufanya kuwa na fikra ndogo. Urais anapewa na wananchi sio ccm
 
Sasa majira na nyakati ya kustareheshwa imefika, vivuko bure, elimu bule kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, umeme bei chini, mafuta bei chini, kodi ya mfanyakazi chini 9%, kodi ya mazao ya wakulima chini, madawa ya mifugo kodi chini, nk
tanzania mpya hiyo inakuja na lowassa!!

Mchague lowassa awe rais wa tanzania tarehe 25 oktoba2015, weka alama ya √ kwenye kibox chake.
 
Kwa nchi gani sasa, mana hawezi kuwa raisi wa tz. Ni bora mambo yabaki vile vile kuliko lowassa kuwa rais wa hii nchi
 
Back
Top Bottom