UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

Ni maoni ya mtu lakini ubaya maoni siyo sahihi, hakuna sheria inayosema mtu anapokabidhiwa fomu asimame? kama ni ufisadi ilikuwaje CCM makshindwa kumpeleka mahakamani kama ilivyokuwa kwa Basil Mramba na Yona ? kama mnaamini katika uchaguzi huwezi kuwaamulia nani awaongoze ni uchaguzi utakaoamua ?

U got it bro slip okra akin Americana then akakaa sasa huyo ndugu yetu hajielewi anakurupuka na hajui kujenga Hoja rudi shule yenu ukajifunze
 
Lowasa ni habari nyingine. Mtamsakama sana lakini ndiye Rais wetu
 
Subiri tareh 25 atakufa kwa presha, wajiandae tu kisaikolojia wasiseme kuna kura zimeibiwa wakati waliojua ukweli waubora wa ccm kwa sasa wako kimyaa sio hawa wanaotokwa jasho ktk media.
 
jacobo kajeje wanao bishi ushindi walowassa kuwahatashinda hao wamechanganyikiwa namoshi wasigara wakapime afya zao watake wasitake ikulu nilowassa tu watanzania tumechoka kubluzwa naviongozi wachama cha mapinduzi ccm dk magufuli ajindae tu pelesana ndg yetu hiniduniamwache lowassa atuongoze ukweli ndio huo ndg yangu
 
Hana sifa, kashifa kibao, mroho wa madaraka, mwizi, msaliti, hajui kuongea wala kujenga hoja na ataongea nni kwenye mikutano na marais wengine, tapeli, mlaghai. Yye ni rais wa fikira tu, tena wakuwaongoza watu wasiojua kufikiri!
 
Umeonyesha ni kiasi gani umepanic na chuki nyingi imejaa moyoni mwako
 
Hana sifa, kashifa kibao, mroho wa madaraka, mwizi, msaliti, hajui kuongea wala kujenga hoja na ataongea nni kwenye mikutano na marais wengine, tapeli, mlaghai. Yye ni rais wa fikira tu, tena wakuwaongoza watu wasiojua kufikiri!

Mwaka huu ibeni tu ICC itawahusu
 
kila mtu ana ndoto yake. lowasa na magufuli ni urais, je yako ni ipi...
 
Ma ccm yooooote yamechanganyikiwa now sio kosa lako Bali ni hali alisi.
 
Hana sifa, kashifa kibao, mroho wa madaraka, mwizi, msaliti, hajui kuongea wala kujenga hoja na ataongea nni kwenye mikutano na marais wengine, tapeli, mlaghai. Yye ni rais wa fikira tu, tena wakuwaongoza watu wasiojua kufikiri!

ivi ile sheria inaanzan lini mkuu watu wanakuwa wamefanya kosa baada ya mahakama kuamua la sivyo anatuhumiwa hapa wewe umeshahukumu.Mkuu usihukumu kabla hujahukumiwa
 
Hana sifa, kashifa kibao, mroho wa madaraka, mwizi, msaliti, hajui kuongea wala kujenga hoja na ataongea nni kwenye mikutano na marais wengine, tapeli, mlaghai. Yye ni rais wa fikira tu, tena wakuwaongoza watu wasiojua kufikiri!

Lowassa ni chaguo la Mungu
 

Attachments

  • 1440148477678.jpg
    1440148477678.jpg
    44 KB · Views: 377
Kwani nani kakuambia utuambie hayo? Raisi wetu tunamjua. Kwa nini usiseme Makufuli wenu atakuwa Raisi badala ya kumsemea huyu wa kwetu? Basi nawe ni lindondocha lisiloweza kufikiri.Alaaaah
 
Subirini tuje tuwanyooshe, kama kawaida yetu na hatujawahi kushindwa tangu 1995 ushindi ni 60%~80%
 
Siwezi ongozwa na mtu kama lowassa. Ni bora nkaishi hata Somalia au Syria kuliko lowassa kuwa raisi wangu.
 
Back
Top Bottom