UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

NDUGU WANA JF.
Naomba niwashirikishe ukweli huu mchungu kuusikia masikioni.NI KWAMBA, Edward Lowasa, hatakaa athubutu kuingia ikulu ya tanzania kwa sababu kuu zifuatazo.
1. ni malkia wa ufisadi nchini. ukitaka kukomesha ufisadi kwa vitendo mmalize lowasa
2. amechoka sana kiafya. juzi wakati anachukua fomu NEC ameshindwa kusimama. anakabidhiwa fomu huku amekaa.
tanzania haiwezi kuongozwa na unfit person
3.hawezi kupangilia maneno anayoongea. akiongea maneno hayatoki, ni kama mtoto anayejifunza kuongea.

MY TAKE; WATANZANIA SIO MAZUZU KUMKABIDHI PANYA GHALA LA MAHINDI.
IKULU NI MAHALI PATAKATIFU

Ulitaka tuongozwe na ukoo wa panya?..alafu mkuu hoja zako ni dhaifu sana na hazina mashiko ata kidogo kwa watanzania. kwa sababu:-
1.nyumba ya ufisadi ni ccm na mawakala wake
2.ccm imechoka, imekosa mbinu ya kupapanua shida za watanzania(maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi..!!)
3.imeshindwa kushaurika
4.kiburi na kulewa madaraka kujiona wao ndio wamuzi wa mwisho wa maisha ya watanzania
5.50yrs ya utawala wake, maendeleo yaliyopo hayaendani rasilimali tulizonazo na muda wa kukaa madarakani
6.kupaa kwa gharama za maisha
7.ccm wameshindwa, na wameshindwa ata kutengeneza kiwanda cha mayebo yebo, sindano.
8.imeua viwanda vilivyokuwepo na kushindwa kuanzisha viwanda vipya
9.ccm imeshindwa kutatua matatizo ya ajira kwa vijana
10.ccm imeshindwa, imeshindwa kabisa na itaendelea kushindwa ata kwenye uchaguzi october kwa sababu ndio jadi yao kushindwa.
 
Bado moja umesahau... Siku ya kuchukua fomu kale kamzunguko kadogo tu, Buguruni-posta-kinondoni babu kaugua ghafla. Ilibidi mbowe ajitoe mhanga aseme yeye ndo mgonjwa maana pasingeelewekaa Au wanachadema/ukawa hamlijui hili?

Awe mgonjwa, awe ICU huyo huyo ndiye Rais na kura yangu na familia yangu yote ni kwa Edo.
 
Wewe umetumwa sasa kitu kilichoshushwa full ushahidi wa richmond
 
Mapovu yatawatoka sana!!
Huu ni mwaka wa mabadiliko!!
Lowasa wasikutishe ulipo tupo!!!
 
Awe mgonjwa, awe ICU huyo huyo ndiye Rais na kura yangu na familia yangu yote ni kwa Edo.
Kamwe Tanzania haijawahi na haitawahi kuwa na amri jeshi mgonjwa. Mpigieni tu huyo marehemu mtarajiwa lakini ukweli ni palepale.... CCM ndo tutaipa wasaa wa kushika dola tena ifikapo october 25
 
Lowassa ninajua kuwa hutaki kuamini kuwa ndiyo unaiacha dunia bila ya kuwa rais tangu uzaliwe, ukweli ni kwamba si wewe tu.

Ni wengi wamekufa na hawajawahi kuwa marais na walikuwa na ndoto za kuwa maraisi kama wewe. Kwakuwa umeikosa awamu hii huwezi kugombea uraisi tena duniani iwe Tanzania au popote pale na hii ni kutokana na sababu za kiumri pamoja na afya yako.

Umejitengenezea historia kubwa sana nchini itakayodum vizazi na vizazi, japo si historia ya maana ila utakumbukwa sana, utabaki kuwa simulizi kwenye vijiwe vya kahawa.

Lowassa; muda wako umekwisha, huwezi kuwa rais tena duniani, huwezi kuja kupita barabarani kwa ving'ora, huwezi tena kufanya maamuzi magumu kwa mambo yanayohusu mustakabali wa nchi.


MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Yaani mkuu mm nimekukubali sana baada ya kuona mbali mzee kapotza kabisa uelekeo kilichobaki kwake ni history tu ya kuhama ccm kwenda cdm but urasi asahau kabisa kulingana na chama alichokwenda na umri pia huo ndo ukweli mkuu
 
kama kweli Mh. Lowasa amesoma hii atakuja kukumbuka maana mwanadamu huwezi kulazimisha kitu kama MUNGU hajapanga. Lakini kama MUNGU amepanga hakuna tatizo. Tusuburi.
 
Ndiye Rais
 

Attachments

  • 1439381706177.jpg
    1439381706177.jpg
    62.8 KB · Views: 214
Kamwe Tanzania haijawahi na haitawahi kuwa na amri jeshi mgonjwa. Mpigieni tu huyo marehemu mtarajiwa lakini ukweli ni palepale.... CCM ndo tutaipa wasaa wa kushika dola tena ifikapo october 25

Tukutane October 25...baada ya misa ya kwanza.
 
Back
Top Bottom