Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,719
- 11,335
Mgombea urais kupitia Ukawa mh.ndugu Edward Lowasa nitajinyonga na kufia mbaaaali kwa furaha kuu kwa sababu:
Nimeshiriki vita ya kuikomboa nchi kutoka kwenye makucha ya ccm na watawala wao toka uhuru.
Amani yangu ni kuona watoto wangu na wako na wajukuu na wazazi wetu waishi maisha ya furaha.
Nahakika Ccm imechokwa na haiwezi tena kuendelea na 25 octoba 2015.sasa Lowasa anasubiri kuapishwa tu.
Kwa kua kilichonifanya nipambane kimepatikana Rais ni lowasa na chama tawala ni Chadema kwa mwamvuli wa Ukawa.
Nimepigana
Nikuwa msatari wa mbele
Nimekuwa mzalendo
Tanzania imekombolewa
Sasa naweza kupumzika,Unapotafuta maisha ya pesa na nyumba si vyako ni vizazi vyako.
Ameeni.
Mkuu usijinyonge ila mkuu itabidi tufurahie kwa pamoja ukijinyonga utatuachia huzuni mkuu.Hatutaki uzikwe na CCM