Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Lowassa ninajua kuwa hutaki kuamini kuwa ndiyo unaiacha dunia bila ya kuwa rais tangu uzaliwe, ukweli ni kwamba si wewe tu.
Ni wengi wamekufa na hawajawahi kuwa marais na walikuwa na ndoto za kuwa maraisi kama wewe. Kwakuwa umeikosa awamu hii huwezi kugombea uraisi tena duniani iwe Tanzania au popote pale na hii ni kutokana na sababu za kiumri pamoja na afya yako.
Umejitengenezea historia kubwa sana nchini itakayodum vizazi na vizazi, japo si historia ya maana ila utakumbukwa sana, utabaki kuwa simulizi kwenye vijiwe vya kahawa.
Lowassa; muda wako umekwisha, huwezi kuwa rais tena duniani, huwezi kuja kupita barabarani kwa ving'ora, huwezi tena kufanya maamuzi magumu kwa mambo yanayohusu mustakabali wa nchi.
MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)