UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

Kwann hamtaki awe rais? Matumbo moto kuogopa kwenda jela kwa wizi wa rasilimali zetu.
 
Lowassa tambua na elewa kuwa kila kitu hupangwa na Mungu, najuwa ilikuwa ndoto yako ya muda mrefu wewe kuwa rais. Lakini HAUKUJISHUSHA NA KUMSIKILIZA MUNGU umeonyesha kupigana na wakati. na hii ndiyo inayo kufanya uonekane si wa kawaida.Madaraka hayatafutwi kwa uwezo wa fedha. Mwache Mungu afanye kazi yake.NINAKUTABIRIA ANGUKO KABISA KTK KISIASA.
 
Mgombe urais kupitia ukawa,wakat akichukua fomu kugombea urais kupitia Chadema kama mgombea pekee,alisema maneno haya ,namnukuu,si maneno yangu.Kuingoa ccm kutoka madarakan si rahis ,hata kidogo,inabid tushirikiane na tuwe na umoja imara.Mwisho wa kunukuu.Kumbe huyu lowasa hata yeye anajua fika si rahis kuitoa ccm,anataka iwe tu kwenye history kuwa alishawahi kugombea urais na yy.
 
NDUGU WANA JF.
Naomba niwashirikishe ukweli huu mchungu kuusikia masikioni.NI KWAMBA, Edward Lowasa, hatakaa athubutu kuingia ikulu ya tanzania kwa sababu kuu zifuatazo.
1. ni malkia wa ufisadi nchini. ukitaka kukomesha ufisadi kwa vitendo mmalize lowasa
2. amechoka sana kiafya. juzi wakati anachukua fomu NEC ameshindwa kusimama. anakabidhiwa fomu huku amekaa.
tanzania haiwezi kuongozwa na unfit person
3.hawezi kupangilia maneno anayoongea. akiongea maneno hayatoki, ni kama mtoto anayejifunza kuongea.

MY TAKE; WATANZANIA SIO MAZUZU KUMKABIDHI PANYA GHALA LA MAHINDI.
IKULU NI MAHALI PATAKATIFU
 
Umenena ukweli lakini umewasilisha mada unprofessional.
 
Mkuu kuwa na adabu kidogo.yule ni kama mzazi wako
 
Ni maoni ya mtu lakini ubaya maoni siyo sahihi, hakuna sheria inayosema mtu anapokabidhiwa fomu asimame? kama ni ufisadi ilikuwaje CCM makshindwa kumpeleka mahakamani kama ilivyokuwa kwa Basil Mramba na Yona ? kama mnaamini katika uchaguzi huwezi kuwaamulia nani awaongoze ni uchaguzi utakaoamua ?
 
Time and tide of change waits for nobody. Wahi upande safina ya ukombozi hujachelewa.
 
Labda kama ni Tanzania ya bi.bi yako lakini hii Tanzania hii lazima awe Rais.....makufuli labda awe Rais wa wana-kemia siyo Rais wa Tanzania hii
 
NDUGU WANA JF.
Naomba niwashirikishe ukweli huu mchungu kuusikia masikioni.NI KWAMBA, Edward Lowasa, hatakaa athubutu kuingia ikulu ya tanzania kwa sababu kuu zifuatazo.
1. ni malkia wa ufisadi nchini. ukitaka kukomesha ufisadi kwa vitendo mmalize lowasa
2. amechoka sana kiafya. juzi wakati anachukua fomu NEC ameshindwa kusimama. anakabidhiwa fomu huku amekaa.
tanzania haiwezi kuongozwa na unfit person
3.hawezi kupangilia maneno anayoongea. akiongea maneno hayatoki, ni kama mtoto anayejifunza kuongea.

MY TAKE; WATANZANIA SIO MAZUZU KUMKABIDHI PANYA GHALA LA MAHINDI.
IKULU NI MAHALI PATAKATIFU

Mpaka kufifikia october wote mtakuwa. Vichaa.
Kule Facebook kuna dc anaitwa Anthony Mtaka kichaa kimeshampanda saa hizi.
 
Last edited by a moderator:
Kama umelogwa vile.. vipi wakati ni waziri mkuu? Pia alikuwa hafai?

NDUGU WANA JF.
Naomba niwashirikishe ukweli huu mchungu kuusikia masikioni.NI KWAMBA, Edward Lowasa, hatakaa athubutu kuingia ikulu ya tanzania kwa sababu kuu zifuatazo.
1. ni malkia wa ufisadi nchini. ukitaka kukomesha ufisadi kwa vitendo mmalize lowasa
2. amechoka sana kiafya. juzi wakati anachukua fomu NEC ameshindwa kusimama. anakabidhiwa fomu huku amekaa.
tanzania haiwezi kuongozwa na unfit person
3.hawezi kupangilia maneno anayoongea. akiongea maneno hayatoki, ni kama mtoto anayejifunza kuongea.

MY TAKE; WATANZANIA SIO MAZUZU KUMKABIDHI PANYA GHALA LA MAHINDI.
IKULU NI MAHALI PATAKATIFU
 
NDUGU WANA JF.
Naomba niwashirikishe ukweli huu mchungu kuusikia masikioni.NI KWAMBA, Edward Lowasa, hatakaa athubutu kuingia ikulu ya tanzania kwa sababu kuu zifuatazo.
1. ni malkia wa ufisadi nchini. ukitaka kukomesha ufisadi kwa vitendo mmalize lowasa
2. amechoka sana kiafya. juzi wakati anachukua fomu NEC ameshindwa kusimama. anakabidhiwa fomu huku amekaa.
tanzania haiwezi kuongozwa na unfit person
3.hawezi kupangilia maneno anayoongea. akiongea maneno hayatoki, ni kama mtoto anayejifunza kuongea.

MY TAKE; WATANZANIA SIO MAZUZU KUMKABIDHI PANYA GHALA LA MAHINDI.
IKULU NI MAHALI PATAKATIFU
kwani wewe ni nani utuchagulie watanzania Rais wakutuongoza? sisi tutamchagua lowassa nyie endeleeni kubaki na majina yenu ya mfukoni..
 
Lowassa ninajua kuwa hutaki kuamini kuwa ndiyo unaiacha dunia bila ya kuwa rais tangu uzaliwe, ukweli ni kwamba si wewe tu.

Ni wengi wamekufa na hawajawahi kuwa marais na walikuwa na ndoto za kuwa maraisi kama wewe. Kwakuwa umeikosa awamu hii huwezi kugombea uraisi tena duniani iwe Tanzania au popote pale na hii ni kutokana na sababu za kiumri pamoja na afya yako.

Umejitengenezea historia kubwa sana nchini itakayodum vizazi na vizazi, japo si historia ya maana ila utakumbukwa sana, utabaki kuwa simulizi kwenye vijiwe vya kahawa.

Lowassa; muda wako umekwisha, huwezi kuwa rais tena duniani, huwezi kuja kupita barabarani kwa ving'ora, huwezi tena kufanya maamuzi magumu kwa mambo yanayohusu mustakabali wa nchi.

MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Kwakumalizia tu mkuu ni kwamba Lowasa ataendelea kupita nje ya ikulu kama wanafunzi wa IFM
 
Tunamtaka huyohuyo, rais sio kuwa mtaalam wa kuongea au kusimama,ni akili, uchapakazi, hekima,busara,ubunifu,ufatialiaji na uwajibikaji
 
Back
Top Bottom