UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

Mh Lowasa walikuwapo watu wenye nguvu na utajiri mkubwa sana lakini walipo itaka nafasi ya juu ya mataifa yao hawakufanikiwa. Hata wewe ni mmoja wao najuwa nikiburi cha pesa mali na vijisent umegawa kwa watu fulani vinakupa nguvu yakwamba waweza kuwa eti ndie mteule.. Unapoteza nguvu nakupunguza siku za uhai wako kwa jambo ambalo kamwe haliwezi timia watu wame ku fix na ume fixka. Kama una nyumba ya gorofa na ipo karbu na bahari panda juu uangalie mwisho wa bahari ktk macho yako unauwona mwisho japo ktk kiuhalisia bahari inaendelea nikusaidie kufikiri mipango yako mwisho wake ni mwisho wa macho yako kuona na ndio maana unaidadi chache ya unao waita maadui lakini kumbe hata vyombo vya usalama hakuna alie tayari kukupigia saluti, hakuna wakukupigia mizinga wala hakuna wakukupigia saluti. Your work is like work of dead person then we might think ye dead because you don't see. Amen
 
Duuh jamaa unamwandama lowasa cjui kakulia nini??
 
wew ndio hujasoma alama za nyakati...kusoma hujui hata picha huoni?
 
Lowassa ninajua kuwa hutaki kuamini kuwa ndiyo unaiacha dunia bila ya kuwa raisi tangu uzaliwe, ukweli ni kwamba si wewe tu.

Ni wengi wamekufa na hawajawahi kuwa maraisi na walikuwa na ndoto za kuwa maraisi kama wewe. Kwakuwa umeikosa awamu hii huwezi kugombea uraisi tena duniani iwe Tanzania au popote pale na hii ni kutokana na sababu za kiumri pamoja na afya yako.

Umejitengenezea historia kubwa sana nchini itakayodum vizazi na vizazi, japo si historia ya maana ila utakumbukwa sana, utabaki kuwa simulizi kwenye vijiwe vya kahawa.

Lowassa; muda wako umekwisha, huwezi kuwa raisi tena duniani, huwezi kuja kupita barabarani kwa ving'ora, huwezi tena kufanya maamuzi magumu kwa mambo yanayohusu mustakabali wa nchi.


MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

munajiandaa kumuua au? sasa mukitaka mufutike kwenye historia ya dunia jaribun
 
Baada ya uchaguzi atawajua vizuri wachaga wakoje
 

Attachments

  • 1438426494048.jpg
    1438426494048.jpg
    35 KB · Views: 214
Usemalo ni kweli kabisA ILA TUSUBIRI OCTOBER 2015
 
jamani mwacheni mzee Lowasa aweke historia hata kupitishwa tu na chama kugombea uraisi ni historia
 
Lowasa hawezi kuwa rais wa nchi hii labda kama kuna nchi nyingine
 
Lowasa hafai kuwa rais wa nchi hii

Lowassa urais atausikia tu ving'ora ni kwa Magufuli tu..... natamani tupige kura kesho ili tuachane na mambo ya uchaguzi tuanza kufanya mambo mengine!!
 
Nimekuwa nikifuwatilia kwa karibu ni nini hasa kinamtesa huyu waziri na sasa nimepata majibu. Kwanza anasumbuliwa na wivu pili tamaa kali zakuwa rais. Tuseme kweli mtu alie na upendo na hana wivu anafurahia kaz za mwenzake anamsaidia nakuwa mwadilifu, kama mh Magufuli ukimwangalia mienendo yake ni mtu aliwaheshim viongoz wake wala hakuwa na wivu na Mungu amemuona. Twende kwenye mada wivu unamtesa sana huyu baba kwanini Mh Kikwete alikuwa Rais na sio yeye? Wivu huu umempa shida ambayo ataenda nayo kaburini, alimfitini mwenzake kiasi sasa sio siri tena ni ukweli ulio wazi mtu mfitini anatabia kma za Lowasa kujiengua ktk mambo huku akipeleka lawama kwa yule anamfitini, hata kama ni kweli au uwongo Mungu angemlipa kwa sababu rais ni mamlaka ya mwisho ktk nchi kumfitini rais nikuwanajisi watanzania wote na ndio maana hasemi ukweli ila anakifitini kiti kwakusema mamlaka za juu ili watanzania wamchukie kikwete kwa ubinafsi wake na wivu ulio pitiliza. Wivu unamtesa Lowasa wivu unayataman maisha ya Lowasa. Ugojwa wa pili Tamaa unajuwa kwa nini na sema hivyo tamaa ya kitu au vitu ikizidi sana hutengeneza picha ktk ubongo ambazo hukukumbushia matamanio yako jambo ambalo ukikosa unaweza jikuta ukipatwa na matatizo ya kiakili, mfano mtu kama Lowasa anasumbuliwa sana na ndoto za urais na kama ungetaka kuamini mke wake anaweza kuthibitisha hapa, ndio maana tamaa ya urais kwa huyu bwana anaweza hata kuingia msituni ama akauwa take from me hana nia njema na ndio maana even family yake inamsihi baba yao akae kimya ila kunasheria moja mbaya sana kwa shetani yani huwa atoi kitu bure na nijambo lisilo fichika hata familia yake nilazima ipatate wakati mgumu kwa sababu walifurahia utukufu na mali ambavyo vilikuwa sio halali na wanaona kile baba yao anataka kufanya kitawatoa ktk utukufu hata ule mdogo walio nao tamaa ya huyu baba haina macho wala masikio na kilichobaki ni kumuombea kwa Mungu. Maisha yetu huongozwa na nyota na mwisho wasiku nyota huwa na mwisho.
 
Mchakato wa lowassa kuwa rais ulianza 1995 na ni lazima awe tu
 
Associate Professor!!!....Hata wachawi wanaojiita Doctors (Native Doctors) wakijiendleza sana katika uchawi wao, hufikia ngazi ya Associate Professor. Kwa hiyo, huyo anayejiita mchunguzi huru, yawezekana katokea upande huo.Associate Professor ambaye ni mwanazuoni hujitambulisha kwa tathmini yake katika masuala mbalimbali.
 
Associate Professor!!!....Hata wachawi wanaojiita Doctors (Native Doctors) wakijiendeleza sana katika uchawi wao, hufikia ngazi ya Associate Professor. Kwa hiyo, huyo anayejiita mchunguzi huru, yawezekana katokea upande huo.

Associate Professor ambaye ni mwanazuoni hujitambulisha kwa tathmini yake katika masuala mbalimbali.
 
Muna mzonga naona muna yenu. Muacheni, mbona povu lawatoka ma ccm? It is just politics. Mpigie debe unae mpenda apite. Kwa uchaguzi halali, magufuli hapiti. Ila kwa wizi na fitna anaweza pita. Ndoo maana yale maeekebisho ya katibiba ccm hamuja afiki. Yakuohoji matokeo mahakamani, sasa yatawatokea puwani endapo atashinda Lowassa. Mwaka huu munalo, mulimuonea Dr Slaa mwaka 2010, mwaka huu, mutanyoshwa
 
Back
Top Bottom