UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

Kumkata mumkate nyie..akitaka kuhama vijambio vinawawashaa...tafuteni kitu kinaitwa gunzi mjisugue kunako vijambio..shwainii
 
Msimkatishe tamaa Mhe. Lowassa. Subirini nchi itatikisika hivi karibuni.
 
UKAWA kwisha habari yenuu....mmejichimbia kaburi wenyewe
 
Huyu mchunguzi huru atakuwa ni associate professor,wa kuchunguza utupu wa kuku.....sasa subiri October 25 upepo upite...utaleta report hapa
 
Lowasa aende Chadema au nccr au act au popote pale lakn ukweli upo palepale kamwe hawez kuwa rais popote dunian..

Labda atakuja kuwa rais wa kuzimu lakn sio ktk ulimwengu huu.

Kamwe
 
Lowasa aende Chadema au nccr au act au popote pale lakn ukweli upo palepale kamwe hawez kuwa rais popote dunian..

Labda atakuja kuwa rais wa kuzimu lakn sio ktk ulimwengu huu.

Kamwe

we ndo mpga kura? Tangu lini mgiriki akaisemea tz?
 
Hayo ni maoni yako lkn karibu kuiangalia tz wananchi wamechoka na siasa za ccm kila baada ya miaka mitano ahdi nyingi lkn wakipita hakuna utekelezaji watu wanataka mabadiliko wamechoka na siasa za kijanja
 
Lowassa ninajua kuwa hutaki kuamini kuwa ndiyo unaiacha dunia bila ya kuwa raisi tangu uzaliwe, ukweli ni kwamba si wewe tu.

Ni wengi wamekufa na hawajawahi kuwa maraisi na walikuwa na ndoto za kuwa maraisi kama wewe. Kwakuwa umeikosa awamu hii huwezi kugombea uraisi tena duniani iwe Tanzania au popote pale na hii ni kutokana na sababu za kiumri pamoja na afya yako.

Umejitengenezea historia kubwa sana nchini itakayodum vizazi na vizazi, japo si historia ya maana ila utakumbukwa sana, utabaki kuwa simulizi kwenye vijiwe vya kahawa.

Lowassa; muda wako umekwisha, huwezi kuwa raisi tena duniani, huwezi kuja kupita barabarani kwa ving'ora, huwezi tena kufanya maamuzi magumu kwa mambo yanayohusu mustakabali wa nchi.


MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Mkuu naomba nieleweshe kidogo nina umbumbu kidogo, hivi unaposema "hawezi kuwa Rais tena popote duniani" una maani gani? Mbali na Tanzania kuna sehemu nyingine yoyote duniani anaweza kuwa rais wa nchi?
 
Yaani wanaume wanatumiana mpaka noma ? kama Machango wa kona bar , ukipata dau la ukwee unamuacha aliyekuja na buku mbili ? Uwii Slaaa upo ? ukikubaliana na hili nitakushanga !
 
Mkuu naomba nieleweshe kidogo nina umbumbu kidogo, hivi unaposema "hawezi kuwa Rais tena popote duniani" una maani gani? Mbali na Tanzania kuna sehemu nyingine yoyote duniani anaweza kuwa rais wa nchi?

hehehehehehehehehehehheeeeheheheeh
 
Magamba banaa. Kama mnajua ata fail ni kwann mna panic na kuongea ongea ovyo. Sawa ka fail muacheni afanye yake.

Mtu keshajiamulia kuondoka....inakua kama mwanamke ukimuacha kutwa nzima ni kelele tu.

Hii yote ni sabab ya poor critical thinking abilities. Let the old man live his life.
 
Makelele yooote ya nini! Kwani angebaki CCM angekua Rais? Bora amekua mkwei na kafanya maauzi magumu kama kawaida yake akajivua gamba
 
Back
Top Bottom