UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

Sasa majira na nyakati ya kustareheshwa imefika, vivuko bure, elimu bule kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, umeme bei chini, mafuta bei chini, kodi ya mfanyakazi chini 9%, kodi ya mazao ya wakulima chini, madawa ya mifugo kodi chini, nk
tanzania mpya hiyo inakuja na lowassa!!

Mchague lowassa awe rais wa tanzania tarehe 25 oktoba2015, weka alama ya √ kwenye kibox chake.
 
Ninavojua mimi kuwa rais ni zaidi ya kupita majukwaani. Mfano, CCM wenyewe wanasema ushindi wao kwa majukwaani ni 30% tu. Mimi nakubaliana nao, rais ni taasisi nyeti, ni nafasi ambayo hatakiwi kupewa mtu kwa ushabiki. Ni lazima taasisi nyeti pia wahiridhishe kama kweli huyo mtu akipew nchi itakuwa salama.

Kwa mtu kama lowassa nina wasisi kama akipewa nchi itakuwa salama. Mzee anapoteza mda hasa, japokuwa si mbaya kujaribu bahati yake katika hii nafasi ya urais. Lowassa kamwe hawezi kuwa rais wa nchi yoyote duniani.

Wewe ni zaidi ya watanzania 45milion?
 
Waliocoment kule page namba1 wakiangalia coment zao leo hii sijui wanafeel aje
 
Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
 
Kama CCM tayari wana ushindi 70 % kabla ya majukwaa, kwa nini wanatumia gharama kubwa hivyo ikiwemo kupiga push up majukwaani, maana 70% ni ushindi mkubwa sana, wangekaa kusubiri Rais kuapishwa. Mbona hata matokeo ya utafiti hayakuanzia 70% na kuendelea au hayakuonyesha kuwa imeshuka kutoka 70 na tayari imekula hata ile 30.

Ndo maana tunawaambia Lowassa kuiona Ikulu haipo kwassbabu tunajua hawezi na bado tumeinvest heavily ..nyinyi si mlitaka tulale? karibuni 25 oktoba
 
Hii post ya JUly imerudi kufanya nini huku au ndiyo unafiki? Imekuala kwenu hilo Zimwi CCM kwishney
 
Ndo maana tunawaambia Lowassa kuiona Ikulu haipo kwassbabu tunajua hawezi na bado tumeinvest heavily ..nyinyi si mlitaka tulale? karibuni 25 oktoba
Kwa ni Lowasa ni kipofu hadi asiweze kuiona Ikulu, mbona alishawahi kuwa na Ofisi upande ule wa kuelekea Chuo cha Utumishi wa Umma, una uhakika alikuwa haioni Ikulu.
 
Hata iwe unga lakini ndo ishakuwa hivyo, laleni barabarani, andamaneni, tembeeni uchi, zindikeni ..mwizi hataingia Ikulu kwasababu sisi watanzania wenye akiri nzuri sana tushasema, na uwezo upo, sababu ipo na nia tunayo ya kumpeleka Ikulu mtu msafi.. umeelewa bwana mdogo?

Ungemuona unayemuita bwana mdogo, ungeona aibu milele. Swala ni kuwa tayari, kuna empire zilikuwa na nguvu leo zimebaki historia.

Kutaka au kutotaka ni la muda tu. Uweke na akiba ya maneno
 
Ndo maana tunawaambia Lowassa kuiona Ikulu haipo kwassbabu tunajua hawezi na bado tumeinvest heavily ..nyinyi si mlitaka tulale? karibuni 25 oktoba
Kama tunataka Msafi, kwa nini tusimchague Mtikila au Hashim Rungwe, wana kashfa gani.
 
Lowassa, ukilazimisha kuwa rais wa tanzania hutoweza kuwa mpole tu maisha ya endelee nguvu zako zilikuwa ndani ya CCM bahati mbaya CCM wameamua kumchagua Dr.Magufuli, nenda UKAWA kama unajiona wewe mkubwa kuliko CCM.
Maneno huumba. Unaionaje nguvu yake sasa?
 
Lowassa, ukilazimisha kuwa rais wa tanzania hutoweza kuwa mpole tu maisha ya endelee nguvu zako zilikuwa ndani ya CCM bahati mbaya CCM wameamua kumchagua Dr.Magufuli, nenda UKAWA kama unajiona wewe mkubwa kuliko CCM.
Kumbe ulikua ni ushauri mzuri tu uliompa. Halafu ukamkumbusha na size yake.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA.
samahani mkuu kwa kutumia comment yako kama reference,
Hii sio kwako tuu, na kwa makada wenzio msiokua na upeo wa kuiona kesho na kukubali mabadiliko.

Hakuna wakati mwingine ambapo WATANZANIA tutapata kuona jinsi tutanufaika narasilimali zetu wenyewe,
*Mikataba mibovu ya CCM - Huu ndo wakati wakuibadilisha
*Mfumo mbovu wa CCM - Huu ndo mda wakuona viongozi wetu wakiwajibika na sio kusutana bungeni
*Uongozi mbovu wa CCM - Huu ndo wakati pekee tunaotakiwa kufanya maamuzi makubwa na magumu kwa mustakabali wa TAIFA LETU.

Unaposema "kupambana na CCM ni kama vile Daudi na Goliath"
Kama DAUD alishindana na GOLIATH akamshindaa kwann UKAWA isiishinde CCM???

Safari ya MATUMAINI sasa imekua safari ya UHAKIKA

Bw.Lowasa mimi binafsi nimekuwa nikukubali sana ktk baadhi ya maamuzi yako wakati uko madarakani, najua kwamba ulipenda uwe Raisi kwa kila hali na ulijiandaa sana hilo liko wazi lkn pia ningekushauri ukubali tu kwamba kuna wakati kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezo wetu hatuwezi kupata tunachokitaka na hivyo basi hatuna budi kukubali hali halisi na kuacha kulazimisha jambo ambalo ni dhahiri kwa mwaka huu huwezi kulipata kumbuka kupambana na CCM ni kama vile Daudi na Goliath!

Kwa upande wangu mimi unweza kuwekeza nguvu zako kwenye kubadilisha mfumo wa ndani ya CCM ili uwe fair kwa vizazi vijavyo labda hata anaweza kuwa mwanao huwezi jua, lkn acha kupambana na CCM!
Umefanya kila uwezalo lkn imeshindikana hivyo kubali tu, kila jambo lina sababu CCM wameshika mpini usisahau hilo...

VIVA LOWASSA
VIVA UKAWA
 
hawez kua rais kwa 7bu kaz hiyo sio ya mchezo kwa style ake ya kuhutubia dk5 cku akitakiwa kuhutubia umoja wa afrika n.k siatatuaibisha wa tz?
na alvyohawez kusimama kwa muda mrefu na wala kutembea kwa ukakamavu sas vp kukagua gwarid atakua anakagua akiwa kwenye wheel chair?
 
kwa haraka mtoa mada umeandika hii ukiwa unajisaidia haja kubwa tena mavi magumu ndo unapata muda wa kuandika ili usindikize mzigo utoke.
 
Back
Top Bottom