Mi nakuhakikishiei, Lowassa hatashinda uchaguzi ujao. Najua ni ngumu kumeza, lakini ndo hali halisi ilivyo. Majibu rasimi mtayapata oct 25. Mark ma word.
Utajibiwa tareh 25, this tym next month
Kwani wewe Mungu?
Ninavojua mimi kuwa rais ni zaidi ya kupita majukwaani. Mfano, CCM wenyewe wanasema ushindi wao kwa majukwaani ni 30% tu. Mimi nakubaliana nao, rais ni taasisi nyeti, ni nafasi ambayo hatakiwi kupewa mtu kwa ushabiki. Ni lazima taasisi nyeti pia wahiridhishe kama kweli huyo mtu akipew nchi itakuwa salama.
Kwa mtu kama lowassa nina wasisi kama akipewa nchi itakuwa salama. Mzee anapoteza mda hasa, japokuwa si mbaya kujaribu bahati yake katika hii nafasi ya urais. Lowassa kamwe hawezi kuwa rais wa nchi yoyote duniani.
hilo ni wazo lako, hatujasikia Mungu naye kasemaje, maana Mungu humsimamisha amtakaye, haangalii wanadamu tunasema nini,
kikwete mwenyewe tunamchukulia hivyo hivyo sembuse wewe,haah haaSubiri mda ufike ndo utajua mimi nan?
God hates corruption, Mungi si wa upande mmoja
Ni suala la Lowassa kuwa raisi, haitatokea hapa Tanzania, labda akagombee urais wa wafugaji, sio mbaya maana pia ni urais.
Ninavojua mimi kuwa rais ni zaidi ya kupita majukwaani. Mfano, CCM wenyewe wanasema ushindi wao kwa majukwaani ni 30% tu. Mimi nakubaliana nao, rais ni taasisi nyeti, ni nafasi ambayo hatakiwi kupewa mtu kwa ushabiki. Ni lazima taasisi nyeti pia wahiridhishe kama kweli huyo mtu akipew nchi itakuwa salama.
Kwa mtu kama lowassa nina wasisi kama akipewa nchi itakuwa salama. Mzee anapoteza mda hasa, japokuwa si mbaya kujaribu bahati yake katika hii nafasi ya urais. Lowassa kamwe hawezi kuwa rais wa nchi yoyote duniani.
Ninavojua mimi kuwa rais ni zaidi ya kupita majukwaani. Mfano, CCM wenyewe wanasema ushindi wao kwa majukwaani ni 30% tu. Mimi nakubaliana nao, rais ni taasisi nyeti, ni nafasi ambayo hatakiwi kupewa mtu kwa ushabiki. Ni lazima taasisi nyeti pia wahiridhishe kama kweli huyo mtu akipew nchi itakuwa salama.
Kwa mtu kama lowassa nina wasisi kama akipewa nchi itakuwa salama. Mzee anapoteza mda hasa, japokuwa si mbaya kujaribu bahati yake katika hii nafasi ya urais. Lowassa kamwe hawezi kuwa rais wa nchi yoyote duniani.
Subir matokeo ndugu, matakielewa vizuri this tym chama cha makomandooo (CCM)
Kama CCM tayari wana ushindi 70 % kabla ya majukwaa, kwa nini wanatumia gharama kubwa hivyo ikiwemo kupiga push up majukwaani, maana 70% ni ushindi mkubwa sana, wangekaa kusubiri Rais kuapishwa. Mbona hata matokeo ya utafiti hayakuanzia 70% na kuendelea au hayakuonyesha kuwa imeshuka kutoka 70 na tayari imekula hata ile 30.Hivi ujua nn nimeandika? Umenielewa namaanisha nini kusema 30% tu ndo hupatikana jukwaani?