eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,656
- 13,797
Binafsi sijawahi ona kenya ni hatari kwa ukuaji wetu kiuchumi. Pia kutaka kila kitu kulinganisha na kenya ni kukosa exposure. Kuna nchi nyingi za ukanda wa SADC ambazo zinafanya vizuri sana katika sekta muhimu za uchumi. Mfano, nimekuwa nikisema mara kadhaa, tukitaka kujua namna bora ya kusimamia rasilimali zetu hususan madini, twende Botswana, tukitaka kuwa na utalii endelevu twendeni Afrika ya Kusini n.k. n.k. Kenya ni jirani ambaye hana miiko wala soni katika utendaji kazi wake. Yeye anaweza kusema kitu chochote bila kujali mwenzake atakionaje. Mfano mara nyingi wakiwa wakisema Serengeti, Ngorongoro, Olduvai, kilimanjaro iko kenya. Sasa vitu kama hivyo vinaifanya Tanzania kuona hizo ni hujuma ambazo zinafanyika kimakusudi na nchi jirani ya kenya. Na hilo linaendelea kuaminika kwa kuwa serikali ya kenya haitoi tamko lolote kuhusu hilo au hata kukemea wafanyabiashara wanaofanya upotoshaji huo kimakusudi. Pia vitu kuhusu kuwa na systematic move of pulling back/down hiyo ni hisia. Kenya is like a jungle. The strong eats the weak. Even in their country there is a serious class struggle. Some ethnic groups feel that their problems are caused by that group (They point their fingers 👉👉👉). So they are always in friction among themselves, in such a way they have no time, plan or strategy to pull down others. If in any incidence this happens, then it's by coincidence. Haikupangwa na nchi,inawezekana ikawa kikundi fulani, lkn si serikali.