Uchumba wa muda mrefu umenichosha

Uchumba wa muda mrefu umenichosha

Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.

Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.

Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?

Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.

Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Unakuchoshaje
 
Unapata faida gani Demi?
Kwani mtu akiamua kubadili Id kuna dhambi?
Acha roho mbaya wewe mwanamke.
Mbona mimi sisemi mambo yako jinsi unavyowatongoza wanawake wenzako Pm ukitaka ukawasage? Au nimwage mchele hapa jukwaani?
Si tayari ushamwaga kitambo sana hadi sasa...🤔
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom