Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Nakuja babe.Nasubiria pm yako š
Bora kanirahisishia
Nakuja babe.Nasubiria pm yako š
Hiiiš¤ÆšššKubadilika watu wanabadilika tatizo story zako haziendani. Ulikuwa unajiuza mara umeishi na huyo jamaa miaka 11. Haimake sense.
Wewe mwaga tu mchele hadharani na ukikaa vibaya nakuja kuwasaga wewe na huyo bwana wako..
Naona hadi kaamua kuaga baada ya kukaliwa kooni.š¤£š¤£Watu wako busy kufukua vilivyozikwa jamanišš
Akitoka kwako apande bus namsubiriašNasubiria pm yako š
Atafanyaje sasa watu wako Serious namna hiišNaona hadi mwenye uzi wake anaaga. 1š¤£š¤£
#97.
Na Mie niko kituo cha mwisho hapa nawangojaššAkitoka kwako apande bus namsubiriaš
š¤£š¤£š¤£ ama kweli njia ya muongo ni fupi lol.Atafanyaje sasa watu wako Serious namna hiiš
Za ndani kabisa pm yako inasoma 20+ ššš tujibu bro tujibu ššššNakuja babe.
Bora kanirahisishia
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ nmecheka kwakweli jfšššAkitoka kwako apande bus namsubiriaš
Nani huyo anachungulia pm zangu. Mi nakutaka wewe tu..unajua hilo kitambo. Wengine miyeyushoZa ndani kabisa pm yako inasoma 20+ ššš tujibu bro tujibu šššš
Hebu tufafanulie hii kauli yako kipenzi šMsage tu mwayaš¤£š
Nipo njiani nakuja huko kwenu..jiandaeni. mwambie na mr wako.Shadeeya , Dr. Mariposa , Leejay49, Demi, Evelyn Salt , Mrs Byesige nawashukuru sana kwa ushauri wenu wanawake wenzangu japo Demi nina kiporo na wewe
Bro hebu acha kumtisha mtu wetu bana š kwani kafanya nini.....Shadeeya , Dr. Mariposa , Leejay49, Demi, Evelyn Salt , Mrs Byesige nawashukuru sana kwa ushauri wenu wanawake wenzangu japo Demi nina kiporo na wewe
Ila mnatuchanganya, kule umesema ulikuwa unajiuza, huku tena.. aargh!Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.