Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,512
- 94,649
Waambie hao mendez. Sasa hivi nina mabebzMmechelewa 😂😂😂 sahivi kapata kazi nyingine

Tuonee hurumaMmechelewa 😂😂😂 sahivi kapata kazi nyingine
Kwakweli watu tunazikana sana,. Fanya basi iwe kweli mama la mamaMi mwenyewe ndo fantasy yangu hebu tufanye mpango basi babyake..maisha ndo haya haya ujue🥰🥰
😂 Ila WeweUnahudumiwa kila kitu wewe nimgonjwa?
Ana stroke 😂Unahudumiwa kila kitu wewe nimgonjwa?
Usijali❤️❤️Kwakweli watu tunazikana sana,. Fanya basi iwe kweli mama la mama
Natafuta mke awe na jina la Nusratt Mohamed tu 🎁Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
kwa hiyo ulikuwa unajiuza kwa miaka 6 hali ya kuwa uko kwenye uchumba wa miaka 11? inaelekea jamaa hakuoi na sababu iko wazi kabisa..Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Unataka awe single mother mbona humtakii mema mwenzakoAkuboreshee maisha tu kama ni ndoa utaipata hata kwangu... Kwanini usimtegeshee mtoto?😊
😅😅watu wana muda wa kuchezeaAhaha😂😂😂🤣,
Tufanyaje sasa mtu kaamua kutuchangamsha
Kwangu aje weekend kumbe tunae wa kutupunguzia dhambi, maana cheating ya kuwekwa na dume ni tofauti kabisa na kuwekwa na jikeAkitoka kwako apande bus namsubiria😎
Bak hapo hapo ndoa ngumu utakuja kushangaa ndoa yenu ikadumu mwezi tuBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Hahitaji mtoto mpaka tujipange.
Tunaishi maisha mazuri tu.