feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,535
- 17,218
Ongeza ujuzi kitandani na jikoni,epuka mdomo mchafuSijazaa hata mtoto, mpaka tujipange

Una umri gani ww na huyo mwenzako ana umri gani?Tuanzie hapaBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Arsenal tumeingiaje hapo 😏We na arsenal ni ndugu?
Hakuna ndoa hapo
Mi mwenyewe asenali jiran ila ile timu ina uvumilivu kama wa huyu dadaArsenal tumeingiaje hapo 😏
Halafu wewe jiheshimu..!!
Je, ana Nida ?Na wewe si ujiongeze ubebe shangazi kaja lako uhamie kwake.!!
😹😹😹 Kuna mwehu mmoja aliniambia eti Arsenal km vichaa wanaenda umbali mrefu kisha wanarudi na makopo..!!Mi mwenyewe asenali jiran ila ile timu ina uvumilivu kama wa huyu dada
Je, naye huyo mwanaume anadinda? 😹Je, ana Nida ?
Usihangaike sana hata kaburi lishafukuliwa hii ni chai kama chai zingine tafuta maandazi tu hapa.Kimsingi wewe ndo una hasara hapo.
Umri wa mwanamke kuzaa una ukomo, mwenzio hata by 50+anatungisha mimba.
Endelea kushirikiana nae kwenye huo mpango wenu!
Usiwe na hofu.Mbona Baba wa imani nabii Ibrahim aliishi miaka mia tisa (900)na hakupiga kelele?Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
😂 ukorofi huo mleta mada atakujibuJe, naye huyo mwanaume anadinda? 😹
hilo la ukichaa hapana ila la uvumilivu ni kweli😹😹😹 Kuna mwehu mmoja aliniambia eti Arsenal km vichaa wanaenda umbali mrefu kisha wanarudi na makopo..!!
Nilijua tu, lazima kuna kaburi lifukuliweNusratt Ukiwa Muongo Uwe na Kumbukumbu 👉Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua
kwani huwezi mshawishi akaenda kwenu kujitambulisha na kutoa mahari then mkaanza kuishi pamoja? au mpaka ndoa? maana hiyo ndoa ndo inaweza isitokee kwa miaka mingine 11 lakini suala la kuamua kuishi pamoja ni issue ya miezi 6 tuBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Uko nae bumper to bumper,Sasa hivi hajibu tena atembeza dislike kwa wanaomponda. Nusratt jiweke sawa ujibu mashtaka
Ukishahitaji kufanya mbinu ili mtu akuoe hapo ushakosea kitu.Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.