Uchumba wa muda mrefu umenichosha

Uchumba wa muda mrefu umenichosha

Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
Basi kumbe jibu liko hapa, mnaishi pamoja kama mke na mume ameshajihalalishia tena anajulikana na kuwasomesha ndugu!!
 
Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
Mnattumia nini ili usipate mimba?
Miaka 11 anakojoa nje?
 
Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.

Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.

Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?

Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.

Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Umri wako tafadhali
 
Kama avatar hiyo ni yako, kwa hakika utakuwa unaliwaaaa mpaka utakaposhtuka! Kwa sasa endelea na uchumba tu kugawa na kutumika Kimchumba mchumba tuuu
 
Labda nkuambie kitu kimoja dada nyue wanawake mna biological clock sisi wanaume tuna financial clock maana yake ni nini ipo hivi nyie mkifika umri flan unataman kua na familia especially umesema anakupa kila kitu ila sisi wanaume tunaweza kukupa kila kitu while tunauwezo nacho saa hio ila why unakuta tunaahirisha vitu tunakuja kwenye financial clock if tukijicheki tunaona now hatuwezi kua na familia kwakua familia inakuja na mambo mengi hasa ya pesa na hatuko vizuri kiuchumi niamin kwa mwanaume anaejielewa hatafanya izo mambo sisi mpaka tue poa ndio akili ina click asikuambie mtu huyo mwamba anakupenda tulia kunywa mtori nyama ziko chini
 
Duuh uchumba uliokubuhu..yaani sio sugu.. umekomaa kabsa.. yan kama mtoto tayari yupo darasa ya sita saivi 😂😂🙌🙌🙌
 
Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.

Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.

Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?

Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.

Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
mgande huyo tena lazimisha ndoa sasa
 
Back
Top Bottom