Uchoyo sio jadi yangu

Uchoyo sio jadi yangu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,790
Karibuni daku huu ndioda wake ukila saa kumi au kumi na moja ni sawa kuwa ujafunga maana siku mpya ina kuwa ishaanza

1772481086862.jpeg
 
Wanajeshi wenzio wako kivu wewe unakula daku..!! 😹

Hivi wee mjeda kweli au janjajanja nyingi km kawaida yako??
cocastic uduguu hivi huyu mke mwenzio ni mjeda kweli? 😹😹
Ila uduguu, 😂😂😂😂😂
Mke mwenza ni mjeda, nitarushwa kichura chura siku hizi, 😂😂😂😂

Yeye awe mjeda, mie nitakua TISS mbona.
Lol 😂😂😂😂😂
 
Ila uduguu, 😂😂😂😂😂
Mke mwenza ni mjeda, nitarushwa kichura chura siku hizi, 😂😂😂😂

Yeye awe mjeda, mie nitakua TISS mbona.
Lol 😂😂😂😂😂
😹😹😹 Halafu mimi nazalisha nuclear mje mniungishe mkianza kutupiana mabomu..!!
 
Uelewe kwani yanakuhusu?? Tatizo hujui kujificha mwayaaa.
Tafuta Bwana uolewe nawee, Lol.
😂😂😂😂😂😂
😹😹😹😹 Weee kwamba naye ambelegeje bojo..!!
 
Wanajeshi wenzio wako kivu wewe unakula daku..!! 😹

Hivi wee mjeda kweli au janjajanja nyingi km kawaida yako??
cocastic uduguu hivi huyu mke mwenzio ni mjeda kweli? 😹😹

Ila uduguu, 😂😂😂😂😂
Mke mwenza ni mjeda, nitarushwa kichura chura siku hizi, 😂😂😂😂

Yeye awe mjeda, mie nitakua TISS mbona.
Lol 😂😂😂😂😂
🤔🤔 sijaelewa
Uelewe kwani yanakuhusu?? Tatizo hujui kujificha mwayaaa.
Tafuta Bwana uolewe nawee, Lol.
😂😂😂😂😂😂

Aaah kmmk wallah nimecheka!!
 
Back
Top Bottom