Al Mukheef
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 284
- 415
MtajeYeah, ila sitamtaja.
MtajeYeah, ila sitamtaja.
Dah!Mmiliki wa hii ID anatukanana kila siku na secretarybird ni maadui kichizi
Hakuna adui wa Ayatollah secretarybird humu mkuu, usipende uzushi.Mmiliki wa hii ID anatukanana kila siku na secretarybird ni maadui kichizi
Laiti angejua!Dah!
Hapana. Kanuni ya JF inanikataza.Mtaje
Subiri ni log in kwa ile ID nyingine yenye miaka zaidi ya kumi humu nikuporomoshee matusiHakuna adui wa Ayatollah secretarybird humu mkuu, usipende uzushi.
Fanya hivyo tuone.Subiri ni log in kwa ile ID nyingine yenye miaka zaidi ya kumi humu nikuporomoshee matusi
Mbona unawataja kina Adriz na Seran?Hapana. Kanuni ya JF inanikataza.
Soon tuFanya hivyo tuone.
adriz na Busu la Kenge ni majangili sana humu.Mbona unawataja kina Adriz na Seran?
Hata adriz?
Ni yeyeee! 🔥.Hata adriz?
ID zake ni zipi huyoNi yeyeee! 🔥.
Naomba nisitaje maana naheshimiana naye sana.ID zake ni zipi huyo
Al-mukheef ndio mmiliki wa hii ID yanguNaomba nisitaje maana naheshimiaka naye sana.
Hilo halina shaka. Nilijua hilo tangu miaka mingi iliyopita kuwa hizi ID zingekuja kutokea siku moja.Al-mukheef ndio mmiliki wa hii ID yangu
ID za aina gani ulizoziotaHilo hakina shaka. Nilijua hilo tangu miaka mingi iliyopita kuwa hizi ID zingekuja kutokea siku moja.
Sasa maono yangu yametimka
Hizi zako mbili.ID za aina gani ulizoziota
UliotajeHizi zako mbili.