Uchomaji wa kadi za CCM

Uchomaji wa kadi za CCM

Kuja miaka 3 ikaishe, wananchi watakuwa wamerudisha imani na CCM

Ngoja muda uamue
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko
Jina lako tu tosha na maandishi yako
 
Please, don't giggle!

Hili ni swali muhimu sana kwa sababu tunakata ikifika 2019 CCM ibaki na watu wawili ambao ni 'Ngosha na Bashite'!

Kama isingekuwa Kinana kuwekwa kizuizini, kwa sasa angekuwa amesharudisha kadi ya CCM!

Kwa sasa tunaye kibindoni Wema Sepetu na Mama yake, bado Steve Nyerere na kundi lake la Bongo Movie!

Hizi siasa za kwenye Instagram zina vituko! Watu wazima na akili zao 'timamu' wanalishana ujinga!
Dah.... Hivi bado kuna watu wanawaza kuhusu Vyama? Aibuuuuu
 
Hali ya njaa ilishatabiriwa na Shirika la Chakula duniani (FAO), tangu Julai 28, 2016 kwamba ukanda wa Kusini mwa Afrika utakabiliwa na njaa kuanzia mwishoni mwa Desemba hadi Machi 2017 na huenda hali ikaendelea mpaka katikati ya mwaka 2018, kama hatua hazitachukuliwa kusaidia wakulima wadogo hasa kwa kuwapatia pembejeo mapema na wapande mapema mvua za Oktoba 2016.
Tanzania ni Kusini au Mashariki?
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko
Zimeishachomwa, itakua imebaki yako tu!
 
Nilijua laxima utakuja kwa kuhemka, huwa hujibu mtu kwa hoja ukiambiwa ukweli, sasa matusi ya nini?..Unajiita mwana sheria, tumefanya uchaguzi mwaka juzi tu, kipi kipya ambcho unataka uzunguke nchini kueleza wakati uchaguzi mlishindwa? We ndo GT uchwara bora hata ungeshauri upelekwe mswaada wa kuzuia kampeni hadi ikibaki miaka miwili...walioshinda waendelee kuzunguka na kutimiza ahadi zao, cyp muda wa blah blah, mbna nchi zilizoendelea huu uozo haupo baada ya uchaguzi...tulia kijana acha matusi,
Mie sio huyo unayefikiria.... mimi sio mwanasiasa ID isikuchanganye natumia lugha kali maana unakera sana kwa hoja za kijinga kabisa !! Eti siasa ni 2020?? Kasema nani na katiba gani na sheria gani ya vyama vya siasa inasema hivo??? Mnasema nchi zilizoendelea mbona hutolei mfano uganda na congo na zambia na burundi na rwanda ambao ni majirani zetu na wanafanya mikutano kila cku iwehe nyie mifano mtoe marekani ambayo sheeia yao ya vyama vya siasa tofauti kabxa na yetu

Nchi gani zilizoendelea??? Marekani hawazuii ila gharama za mikutano utaziweza majimbo 50?? Wale internet coverage ni 100% hivyo hillary akijifungia chumbani watu wataingia website ya chama chake au youtube channel yake na wataona akiongelea sera za chama chake LIVE na hakuna atakayepitwa je hapo kuna haja ya mikutano ya hadhara wakati bado unaweza ukafanyia hata kibarazani nchi nzima ikaona au umesahau kampeni za obama 2008???

Nyie acheni mifano ya marekani angalieni sheria inasemaje..... inaruhusu mikutano na alichofanya magufuli ni kutumia mabavu sasa how dare you unashabikia ushenzi kma huu wakati ccm wanafanua mikutano

Bora tuzuiwe wote cha kushangaza polepole anafanya hamumzuii ila mwalimu mkaishia kumfunga kule simiyu kisa tu alizungukia matawi ya chama!!!! Kma mnazuia bas its ok tukubali ila mzuie vyama vyote sio ccm halali afu chadema haramu

Thats Bullsh**t and i mean it..... tunatumia lugha kali maana mnakera sana u embiciles
 
Kama ni msimu kwanni mnaogopa mikutano ya hadhara??? Mnajua sana chadema wakipewa majukwaa ccm inapukutika zaidi ya 2015 cha kushangaza mnazuia afu mnakuja humu kujitia moyo kuwa ulikuwa msimu
Nyie ndio mmekuja na mafuriko ya ulipo tupo ...Chadema imewahi kuwa huru kufanya mikutano? Unajua Mwangosi alifia wapi? ....mabomu ya Arusha? ....tulikuwa tunalazimisha kila namna kufikisha ujumbe kwa watawala ....sasa kama unasubiri ruhusa ya mikutano ya siasa ....subiri milele ....by the way ....nani ataenda mstari wa mbele na mkewe tena mjamzito kama alivyofanya Dr Slaa na wote kuishia kula kichapo hadi damu kumwagika? Nani anaweza kuongoza? Unakumbuka viwanja vya NMC Mbowe alivyotimka akaishia kukamatwa Dr Slaa kwenye gari la matangazo?
 
Hakuna sh**t kama hivyo popote pale duniani. Hamna cha Congo, Kenya wala Zambia.
We unaongea nni??? Au unatetea kila kitu tu hawa viongozi wa chama cha democrats mbona wanafanya mkutano wa hadhara kumpinga trump???

Haya hapa chini mona ya wapinzani wa kuu uchaguzi uliopita vital kameerhe akipiga siasa huko kasai kma kawa

Haya hapa chini kiongozi wa chama cha FDC Uganda Ret Gen.Mugisha Muntu akimwaga sera za chama huko masindi ssa propaganda za kuwa nchi za wenzetu hakuna siaaa mpaka uchaguzi zimetoka wapi???

Nyie ndio mmekuja na mafuriko ya ulipo tupo ...Chadema imewahi kuwa huru kufanya mikutano? Unajua Mwangosi alifia wapi? ....mabomu ya Arusha? ....tulikuwa tunalazimisha kila namna kufikisha ujumbe kwa watawala ....sasa kama unasubiri ruhusa ya mikutano ya siasa ....subiri milele ....by the way ....nani ataenda mstari wa mbele na mkewe tena mjamzito kama alivyofanya Dr Slaa na wote kuishia kula kichapo hadi damu kumwagika? Nani anaweza kuongoza? Unakumbuka viwanja vya NMC Mbowe alivyotimka akaishia kukamatwa Dr Slaa kwenye gari la matangazo?
Mikutano ilikuwa imezuiwa ila at least huku ngazi ya kata tulikuwa tunapiga kama kawa na ilitusaidia sana kubeba viti vingi serikali za mitaa maana M4C sio kitaifa pekeee ila kuanzia ngazi ya msingi kufuatia kampeni ya chadema ni msingi kwahyo wakizuia mwembetogwa iringa unakuta shelui kumefanyika M4C, wakizuia kakonko unakuta ikungi imefanyika mkutano sasa huoni ilisaidia kuikuza chadema????

Sio kusubiri milele ila katiba inasiginwa sasa nlitegemea mkae kimya mnaanza ooh chadema imekufa sijui kampeni ya kuchana kadi n.k sasa mnategemea kadi zichanwe wapi na huku mikutano imezuiwa??? Shida sio dr slaa tuna watu ngangaro wengi tu kuanzia waitara mpaka heche mpaka lisu mpaka mnyika whether mbowe au slaa wasiwepo tupo wengi wenye uwezo wa kuanzisha amsha amsha nchi nzima na hata wwe unalijua hilo

Muhim sheria ya vyama ifuatwe inaruhusu mikutano ila cha kushangaza ccm wanafanya mikutano ila chadema hawaruhusiwi ssa huu ubaguzi unajengewa msingi na nni???

Great thinkers muanze kureason kma great thinkers sio kushabikia ushenzi wa dikteta uchwara
 
Andamana kamanda ukomboe inji hii
Maandamano si mmezuia!!! Afu mtu akiitwa dikteta wanasema tunapinga kila kitu!! Kilichobaki hapa mbowe atupishe wanamageuzi juu awekwe gaidi wa mfano wa the Late alphonce mawazo katibu awe jitu kma heche au waitara hapo ndio watawala mtanyooka ila hizi diplomasia za mbowe na mashinji ndio zinawapa kiburi nyie magamba
 
We unaongea nni??? Au unatetea kila kitu tu hawa viongozi wa chama cha democrats mbona wanafanya mkutano wa hadhara kumpinga trump???

Haya hapa chini mona ya wapinzani wa kuu uchaguzi uliopita vital kameerhe akipiga kampeni huko kasai kma kawa

Haya hapa chini kiongozi wa chama cha FDC Uganda Ret Gen.Mugisha Muntu akimwaga sera za chama huko masindi ssa propaganda za kuwa nchi za wenzetu hakuna siaaa mpaka uchaguzi zimetoka wapi???

Sasa si uende huko Marekani ukafanye hayo maandamano? Hapa ngosha ameshawaambia hakuna kitu kama hicho hadi mwaka wa uchaguzi. Mikutano ya ndani na ya wabunge wenu majimboni ni ruksa. Habari ndiyo hiyo. Hataki acha.
 
Maandamano si mmezuia!!! Afu mtu akiitwa dikteta wanasema tunapinga kila kitu!! Kilichobaki hapa mbowe atupishe wanamageuzi juu awekwe gaidi wa mfano wa the Late alphonce mawazo katibu awe jitu kma heche au waitara hapo ndio watawala mtanyooka ila hizi diplomasia za mbowe na mashinji ndio zinawapa kiburi nyie magamba
Utakufa kihoro, msongo wa mawazo utakuua kwa kulazimisha mambo usiyoyaweza
 
Sasa si uende huko Marekani ukafanye hayo maandamano? Hapa ngosha ameshawaambia hakuna kitu kama hicho hadi mwaka wa uchaguzi. Mikutano ya ndani na ya wabunge wenu majimboni ni ruksa. Habari ndiyo hiyo. Hataki acha.
Hayo mamlaka kayatoa wapi??? Jitu linaleta udikteta mnaanza ooh marekani hawafanyi nakuwekea video unaanza ooh nenda marekanu hata hujui unachosimamia all in the name ya kumtetea huyo mwenyekiti wenu

Shame on u
 
Utakufa kihoro, msongo wa mawazo utakuua kwa kulazimisha mambo usiyoyaweza
Mambo gani hatuyawezi??? We wajua kabisa M4C zikirudi mamilion ya wanaccm wanarudishaga kadi sasa kipi hatukiwezi?? Hici nyie miaka 50 mna nini cha kuwaambai watanzania wakati kila kitu ni failure nipe hata sector moja ambayo mmefanikiwa ndani ya miaka 50?? HAMNA ndio maana mnaogopa chadema wasisambaze hoja zao kwa wananchi

Sometimes najuta kuzaliwa hili linchi, yani jitu linavunja sheria afu wanaoitwa great thinkers mnashabikia .......mnakera sana natamani hata ISIL ije bongo iwafutilie mbali
 
Hayo mamlaka kayatoa wapi??? Jitu linaleta udikteta mnaanza ooh marekani hawafanyi nakuwekea video unaanza ooh nenda marekanu hata hujui unachosimamia all in the name ya kumtetea huyo mwenyekiti wenu

Shame on u
Haya, nenda kajinyonge sasa.
 
Back
Top Bottom