Pia yupo kule kushugulikia na suala la kupandikiza maana kwa njia za kawaida AMESHINDWA..!Kada wa chama Paul Makonda amekwenda kulisawazisha huko USA lilikoanzia.
We Sky!Kada wa chama Paul Makonda amekwenda kulisawazisha huko USA lilikoanzia.
Hahahaaa hili la njaa nalo bana...
Hao wanaolialia eti kuna njaa hebu jaribu kuuliza nani kati yao hajala leo na hutompata hata mmoja.
Tena wengine na mijitambi yao unawakuta huku kwenye mitandao wakidai eti kuna njaa.
Toka lini kwenye njaa ukakuta watu wana mijitambi?
Watu wazushi mno aisee.
Na chuki zao kwa Magu ndo zinawafanya wawe maju.ha kabisa.
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko![]()
![]()
Yeye Mungu alete mvua au ukame!!Watu kama nyinyi mlio kwenye nchi ya fursa, mnapojaribu kuona mazingira yenu huko ni kama huku nyumbani mnatia hasira sana.
Wewe umeona hata waraka waliondikiwa mababa, lakini wajitia upofu.
Huoni hata watu wanavyolalamika mitaaani?
Huoni majira yetu yalivyoacha desturi yake? Mabadiliko hayo huyaoni?
Hujui kwamba zaidi ya 75% ya watanzania tunategemea majira haya kwa kilimo?
Huoni ukame unavyolikumba taifa letu mpaka watumishi wanaomba maombi yasikome kwa ajili ya haya.
Watu kama nyinyi mlitakiwa muuonje huu uhalisia ili kuujua vizuri, japo haiwezekani, msidhihaki wengine.
Ni bahati kwako nchi ilishatumia rasilimali nyingi kukufanya uone, lakini umekataa kuona.
Unadhulumu wengine.
Naona Mange kawaweka mahali wenyewe ,mpaka.mmetuma mshenga,Kai mnayo.Card za Chama Cha Majangili bado zinachomwa..Hahahahah
Unawapa za uso
Tatizo hii nchi utoto ni mwingi sana.
Watu wengine ni Uni graduate lakini wamemkabidhi Mange akili zao. Inasikitisha sana kama taifa la kesho.
Angalia kwa sasa hii hoja ya njaa. Kelele nyingi utadhani Tanzania imefikia kiwango cha baa la njaa lililoikumba Ethiopia.
Baada ya muda hizi kelele zinapotea na watakuja na kelele zingine.
Nyama hakuna kwenye mabucha?Watu kama nyinyi mlio kwenye nchi ya fursa, mnapojaribu kuona mazingira yenu huko ni kama huku nyumbani mnatia hasira sana.
Wewe umeona hata waraka waliondikiwa mababa, lakini wajitia upofu.
Huoni hata watu wanavyolalamika mitaaani?
Huoni majira yetu yalivyoacha desturi yake? Mabadiliko hayo huyaoni?
Hujui kwamba zaidi ya 75% ya watanzania tunategemea majira haya kwa kilimo?
Huoni ukame unavyolikumba taifa letu mpaka watumishi wanaomba maombi yasikome kwa ajili ya haya.
Watu kama nyinyi mlitakiwa muuonje huu uhalisia ili kuujua vizuri, japo haiwezekani, msidhihaki wengine.
Ni bahati kwako nchi ilishatumia rasilimali nyingi kukufanya uone, lakini umekataa kuona.
Unadhulumu wengine.
Askofu Ruaichi; Waumini Waombeeni Viongozi Watambue Kuna NjaaNyama hakuna kwenye mabucha?
Magengeni mboga hakuna?
Wewe umeshinda njaa leo?
Tena wengine na mijitambi
Haha mkuu makasuku wengi sana nchi hii, jana nikaamua kutembelea genge la mnazi wa upande ule, nikanunua mahitaji yangu nikamuuliza mdau, " njaa IPO?" Akaniambia ipo mkuu! Hapo anauza mahitaji kipimo zaidi ya mwaka Jana kwa bei nafuu zaidi! Nikaconclude tu kua hizi ni siasa!Nyama hakuna kwenye mabucha?
Magengeni mboga hakuna?
Wewe umeshinda njaa leo?
Kafulila: Hizi ni rasharasha tu, njaa halisi Machi mwaka huuNyama hakuna kwenye mabucha?
Magengeni mboga hakuna?
Wewe umeshinda njaa leo?
Hahaha!!! Sasa hivi zinachomwa za.chadema uwongo umezidi ben yupo wapi,dola mill 15 za wafadhili zipo wapi .
Badala ya kuhangaikia mambo ya msingi kama kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa Katiba inayoendana na mazingira ya siasa za vyama vingi na mabadiliko ya kiuchumi, wanachofanya kwa sasa ni kusubiri Rais Magufuli amesema nini halafu wanaanza kupiga kelele.Hahahaaa hili la njaa nalo bana...
Hao wanaolialia eti kuna njaa hebu jaribu kuuliza nani kati yao hajala leo na hutompata hata mmoja.
Tena wengine na mijitambi yao unawakuta huku kwenye mitandao wakidai eti kuna njaa.
Toka lini kwenye njaa ukakuta watu wana mijitambi?
Watu wazushi mno aisee.
Na chuki zao kwa Magu ndo zinawafanya wawe maju.ha kabisa.
As if kafulila ndio anayetawala hali ya hewa!
Mbona unauliza na kujijibu? Mara hujui zoezi lilikoishia then unahitimisha kalikua kaupepo!!!Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko![]()
![]()
As if kafulila ndio anayetawala hali ya hewa!