Uchomaji wa kadi za CCM

Uchomaji wa kadi za CCM

Taifa gani hapa duniani linaruhusu huu uhuni? Uchaguzi umekwisha na mmekwisha pigwa chini. Subirini kipindi cha kampeni na hiyo M4C yenu.
Taifa gani??? Hivi akili zako unatumiaje mkuu??? Sheria inasema mikutano haina kikomo maana ndio njia pekee ya kufikia wasio wafuasi na uwape sera zako ili waingie kwenye chama chako hivi unafkiri wakristo au waislam bila mihadhara na mikutano ya injili watawezaje kuhubiri wapagani?????? Je dini zitakuwa kwa size ???

Taifa gani duniani anzia kenya uganda burundi rwanda drc zambia kote huko mikutano inafanyika nlikuwa congo rd juzi nlikuta vital kamerrhe anapiga mkutano, kenya kina odinga wamezunguka toka january pia uganda kina nandala mafabi na besigye wanapiga mikutano kma kawa afu tukija bongo hapa eti ooh kazi ssa nyie mnawazidi kenya kwa kupenda kufanya kazi????

Hivi majitu kma nyie mlisoma wapi shule hata umeniharibia sikukuu yangu piece of sh**t
 
kalikuwa kamsimu tu,
Kama ni msimu kwanni mnaogopa mikutano ya hadhara??? Mnajua sana chadema wakipewa majukwaa ccm inapukutika zaidi ya 2015 cha kushangaza mnazuia afu mnakuja humu kujitia moyo kuwa ulikuwa msimu
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko
Vipi Kimbunga cha Makinikia au meanza kutafuna trillion Nyani???
 
Zamu ya kuchoma card za CHADEMA. Mambo Ni mkubwa sana Kwa Sasa... Nyanza Ndio waliokuwa wachomaji wa card Kwa wingi. Na safari hii wametekwa Kwa sana.
 
Toka rais aegemee zaidi upande wa siasa za chama badala ya majukumu ya urais ndipo nilipokata tamaa na nchi yangu,hi ni kwa sababu kwa uamuzi huo wa rais kila kitu kwa sasa ni siasa tu hakuna cha maana kitakachoendelea. Bungeni maslahi ya kisiasa,shuleni maslahi kisiasa,mahakamani maslahi ya kisiasa,taasisi za serikali maslahi ya kisiasa nk matokeo kwa ujumlaTanzania na umaskini ni chanda na pete
 
Hahahahah

Unawapa za uso

Tatizo hii nchi utoto ni mwingi sana.

Watu wengine ni Uni graduate lakini wamemkabidhi Mange akili zao. Inasikitisha sana kama taifa la kesho.

Angalia kwa sasa hii hoja ya njaa. Kelele nyingi utadhani Tanzania imefikia kiwango cha baa la njaa lililoikumba Ethiopia.

Baada ya muda hizi kelele zinapotea na watakuja na kelele zingine baada ya kupata kipigo kwenye uchaguzi mdogo.
Doh
 
Kama ni msimu kwanni mnaogopa mikutano ya hadhara??? Mnajua sana chadema wakipewa majukwaa ccm inapukutika zaidi ya 2015 cha kushangaza mnazuia afu mnakuja humu kujitia moyo kuwa ulikuwa msimu
Mkutano wa hadhara kwa chadema kuongelea nini? Wangoje kampeni wakishinda waongee mpaka wachoke, muda huu ni wa Maendeleo kwa Sera za chama tawala.
 
Nyingi ya hizo kadi zimechomwa kwenye nyoyo za raia wa nchi ya ahadi,watabainisha hasira zao miaka 3 na miezi minane ijayo.
Hakuna neno la huruma litakaloweza kubadili msimamo,hatatokea kama ambavyo hajatokea kiongozi yeyote wa kiimani atakaesikilizwa,ni HAPANA TU itatumika.
Wabongo kwa chuki za kijinga ndio wenyewe lakini akilini hamna chochote njozi tuu
 
Ukiona watu wazima, tena wanaojinasibu kuwa ni wanaume (sina uhakika sana na hilo), wanajikita kwenye mijadala ya vijembe, yenye viashiria vya wivu, tena wivu juu ya mwanadada... ujue kuwa hao watu kama kweli ni wanaume, basi hilo taifa lao lina shida sana, tena lina kazi kubwa sana... maskini Tanzania!!!
 
Mkutano wa hadhara kwa chadema kuongelea nini? Wangoje kampeni wakishinda waongee mpaka wachoke, muda huu ni wa Maendeleo kwa Sera za chama tawala.
Kwani magufuli anapomualika polepole huwa anaongea nini?? Mbona mpaka kadi na wanachama wapya aliwapokea??? Mbona kwa ccm halali kwa upinzani haramu

Mkuu wwe sijui umerogwa ama kwani sheria si inaruhusu mikutano bila kikomo??? Hivi unapozuia upinzani afu ccm unaruhusu kufanya mikutano una maana gani!!! Kwani ccm sio chama cha siasa

Na wwe naye ni great thinker!!! Shame on u
 
Wakitaka mikutano ya kisiasa, waende Kenya wakamsaidie ndgu yao uhuru, ndo kuna uchaguzi mwezi wa nane.
Mbona ccm wanafanya!!! Au pale polepole anapogawa kadi na kupokea wanachama hafanyi siasa ila kigaila akipokea kadi na kutafuta wanachama wapya kwenye mikutano ya hadhara ndio inakuwa siasa

BS
 
Kwani magufuli anapomualika polepole huwa anaongea nini?? Mbona mpaka kadi na wanachama wapya aliwapokea??? Mbona kwa ccm halali kwa upinzani haramu

Mkuu wwe sijui umerogwa ama kwani sheria si inaruhusu mikutano bila kikomo??? Hivi unapozuia upinzani afu ccm unaruhusu kufanya mikutano una maana gani!!! Kwani ccm sio chama cha siasa

Na wwe naye ni great thinker!!! Shame on u
Nilijua laxima utakuja kwa kuhemka, huwa hujibu mtu kwa hoja ukiambiwa ukweli, sasa matusi ya nini?..Unajiita mwana sheria, tumefanya uchaguzi mwaka juzi tu, kipi kipya ambcho unataka uzunguke nchini kueleza wakati uchaguzi mlishindwa? We ndo GT uchwara bora hata ungeshauri upelekwe mswaada wa kuzuia kampeni hadi ikibaki miaka miwili...walioshinda waendelee kuzunguka na kutimiza ahadi zao, cyp muda wa blah blah, mbna nchi zilizoendelea huu uozo haupo baada ya uchaguzi...tulia kijana acha matusi,
 
Kwani magufuli anapomualika polepole huwa anaongea nini?? Mbona mpaka kadi na wanachama wapya aliwapokea??? Mbona kwa ccm halali kwa upinzani haramu

Mkuu wwe sijui umerogwa ama kwani sheria si inaruhusu mikutano bila kikomo??? Hivi unapozuia upinzani afu ccm unaruhusu kufanya mikutano una maana gani!!! Kwani ccm sio chama cha siasa

Na wwe naye ni great thinker!!! Shame on u
Chadema ndio nini?
 
Taifa gani??? Hivi akili zako unatumiaje mkuu??? Sheria inasema mikutano haina kikomo maana ndio njia pekee ya kufikia wasio wafuasi na uwape sera zako ili waingie kwenye chama chako hivi unafkiri wakristo au waislam bila mihadhara na mikutano ya injili watawezaje kuhubiri wapagani?????? Je dini zitakuwa kwa size ???

Taifa gani duniani anzia kenya uganda burundi rwanda drc zambia kote huko mikutano inafanyika nlikuwa congo rd juzi nlikuta vital kamerrhe anapiga mkutano, kenya kina odinga wamezunguka toka january pia uganda kina nandala mafabi na besigye wanapiga mikutano kma kawa afu tukija bongo hapa eti ooh kazi ssa nyie mnawazidi kenya kwa kupenda kufanya kazi????

Hivi majitu kma nyie mlisoma wapi shule hata umeniharibia sikukuu yangu piece of sh**t
Hakuna sh**t kama hivyo popote pale duniani. Hamna cha Congo, Kenya wala Zambia.
 
Mbona ccm wanafanya!!! Au pale polepole anapogawa kadi na kupokea wanachama hafanyi siasa ila kigaila akipokea kadi na kutafuta wanachama wapya kwenye mikutano ya hadhara ndio inakuwa siasa

BS
Andamana kamanda ukomboe inji hii
 
Back
Top Bottom