Waza kwa kichwa, usiwaze kwa makalio ambayo kila siku yanamegwa na hao mabwana zako.Hahahaaa hili la njaa nalo bana...
Hao wanaolialia eti kuna njaa hebu jaribu kuuliza nani kati yao hajala leo na hutompata hata mmoja.
Tena wengine na mijitambi yao unawakuta huku kwenye mitandao wakidai eti kuna njaa.
Toka lini kwenye njaa ukakuta watu wana mijitambi?
Watu wazushi mno aisee.
Na chuki zao kwa Magu ndo zinawafanya wawe maju.ha kabisa.
Jenga hoja...Waza kwa kichwa, usiwaze kwa makalio ambayo kila siku yanamegwa na hao mabwana zako.
Uchomaji unaendeleaje wajameni....?😀😀😀😀😀
Makonda hawezi Pata Visa ya Usa!Kada wa chama Paul Makonda amekwenda kulisawazisha huko USA lilikoanzia.
Please, don't giggle!
Please, don't giggle!
Hili ni swali muhimu sana kwa sababu tunakata ikifika 2019 CCM ibaki na watu waeili ambao ni 'Ngosha na Bashite'!
Kama isingekuwa Kinana kuwekwa kizuizini, kwa sasa angekuwa amesharudisha kadi ya CCM!
Kwa sasa tunaye kibindoni Wema Sepetu na Mama yake, bado Steve Nyerere na kundi lake la Bongo Movie!
Hizi siasa za kwenye Instagram zina vituko! Watu wazima na akili zao 'timamu' wanalishana ujinga!
Unadhani visa ya Marekani ni kama kwenda mbinguni?Makonda hawezi Pata Visa ya Usa!
Sasa mikutano mmezuia mnategemea wapi tutazikusanya tuiteketeze ccmHii operesheni imefikia wapi mpaka sasa?
Rudisheni mikutano muone makamanda wakizungukia M4C wanavyoifuta ccm na kadi kuchomwa kma njugu!!!Uchomaji unaendeleaje wajameni....?😀😀😀😀😀
Yaani mnazuia mikutani ya siasa afu mnaanza kujisifia kuretain wanachama?? Si muweke fair ground muone kma zile operesheni za M4C zitawaacha ccm salamaPlease, don't giggle!
Hili ni swali muhimu sana kwa sababu tunakata ikifika 2019 CCM ibaki na watu wawili ambao ni 'Ngosha na Bashite'!
Kama isingekuwa Kinana kuwekwa kizuizini, kwa sasa angekuwa amesharudisha kadi ya CCM!
Kwa sasa tunaye kibindoni Wema Sepetu na Mama yake, bado Steve Nyerere na kundi lake la Bongo Movie!
Hizi siasa za kwenye Instagram zina vituko! Watu wazima na akili zao 'timamu' wanalishana ujinga!
Unadhani visa ya Marekani ni kama kwenda mbinguni?
Hii ni video yake akiwa Marekani mwezi Machi 2017.
Hilo pingamizi umemwekea wewe?That was Then Kwa sasa amewekewa Pingamizi yeye na Wengine kadhaa!
Taifa gani hapa duniani linaruhusu huu uhuni? Uchaguzi umekwisha na mmekwisha pigwa chini. Subirini kipindi cha kampeni na hiyo M4C yenu.Rudisheni mikutano muone makamanda wakizungukia M4C wanavyoifuta ccm na kadi kuchomwa kma njugu!!!...
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko![]()
![]()
Ndiyo tunashuhudia tofauti ya chadema ile na hii ya leo isiyojua hata inachosimamia. Kuna mambo ambayo huwezi kuyatetea bila kujitoa ufahamu. Tukihoji kulikoni tunaambiwa no permanent friends... Usishangae kesho vijana hawa wanaomtakia kila baya Makonda wakageuka kumuimbia kila pambio la sifa kama ilivyo kwa lowasa....
Hizi siasa za kwenye Instagram zina vituko! Watu wazima na akili zao 'timamu' wanalishana ujinga!