Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,871
- 32,650
Sawa.Haya mkuu
Sawa.Haya mkuu
Nimekuelewa mkuu ndo mana nakwambia cyo kwamba napinga kila kitu, kuna uzi niliuleta wa kuhoji haya maandamano na mikutano kibali katoa nani? Ivyo naelewa hoja yko ambyo ni usawa kwa vyama vyte...anyway nimekupata...Ok mkuu ni hivi uchaguzi uliisha ila upinzani una kazi yake na serikali ina kazi yake sasa serikali inatekeleza ilichoahidi huku upinzani unakuwa una monitor utendaji kazi wa serikali hivyo kukosoa kushauri na kuleta mapendekezo ya nini kifanyike hivyo kisheria hawa ndio kazi yaani serikali kuu na serikali kivuli ni kma mtu na kivuli havitenganishwi kabisa kwahyo unaposema tufanye kazi ndio hizo ssa kufanyika sambamba mfano unaandaa bajeti ya serikali kuu nao wapinzani wanaanda bajeti kivuli
Haya tukirudi kwenye vyama lets say CCM na Cuf ni kwamba chama kilishindwa uchaguzi ila uchaguzi ukipita kisheria wanaruhusiwa kutafuta wanachama sio KURA?? uchaguzi wa 2015 unakuta mtu wa chadema kampigia magufuli na mtu wa ccm kampigia lowasa ila baada ya uchaguzi hutafuti kura ila WANACHAMA na hili linatambuliwa na sheeia ya uchaguzi nikupe mfano wa waislam wanavyokuza dini unakuta wanafanya mihadhara na wanatoa mawaidha hapo na mwisho wa siku watu wanasilimu pia wakristo huandaa mikutano ya injili na mwisho wa siku wanahubiri hadharani kwenye jukwaa na wati wakiwaelewa wanaongzowa sala ya toba then wanabatizwa hivyo ndio wanapata watu kwenye dini ssa niulize leo hii ukizuia waislam wasifanye mihadhara kma ya mashinje au wakristo wasifanye mikutano ya injili kma ya mwakasege ukristo na uislam utapataje wafuasi?????
Hoja hapa ni jinsi ya kuwafikia wananchi na kuwaeleza sera zao ndio maana hta magufuli hufanya mikutano ya hadhara ili kupata audience ya kuwafikishua vision yake na mwisho wa siku kawapat wengi tu je kivp naye mbowe asiruhusiwe kupeleka vision yake kwa wananchi uso kwa uso naye apate wanachama wapya???
Ni hivyo tu mkuu
Unauliza maswali unajijibu, wee mwanamke vipi?Matukio ya akili ndogo huko Instagram toka lini yakadumu?
Wewe ndio uliza hilo la Machadema. Mimi nimeuliza chama cha akina Bashite. Don't be a moron and divert from what i said.Ungeuliza kuna watu bado wana kadi za Machadema watetezi wa wazungu?
Ivi wanaohama vyama, vitendea kazi kama Kofia,Tshirt, Mashati, Gwanda n.k Huwa vinachomwa pia mkuu??Zimeisha labda tuchome na kofia sasa
Sijajua mkuuIvi wanaohama vyama, vitendea kazi kama Kofia,Tshirt, Mashati, Gwanda n.k Huwa vinachomwa pia mkuu??
Zidumu fikra za mwenyekitiVipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko![]()
![]()
hajui mbinu za ccm huyu. ukienda wenyewe wanakwambia kabisa uchague tukupe kadi ya mwaka gani.Nani alikwambia watu wanakadi za vyama,? Ukiona wanazirudisha majukwaani ujue wamepewa siku hiyo hiyo zikiwa na kitu kidogo katikati
Huku kwetu njaa hakuna ndio kwanza mahindi yanashuka bei kila kukicha.Watu kama nyinyi mlio kwenye nchi ya fursa, mnapojaribu kuona mazingira yenu huko ni kama huku nyumbani mnatia hasira sana.
Wewe umeona hata waraka waliondikiwa mababa, lakini wajitia upofu.
Huoni hata watu wanavyolalamika mitaaani?
Huoni majira yetu yalivyoacha desturi yake? Mabadiliko hayo huyaoni?
Hujui kwamba zaidi ya 75% ya watanzania tunategemea majira haya kwa kilimo?
Huoni ukame unavyolikumba taifa letu mpaka watumishi wanaomba maombi yasikome kwa ajili ya haya.
Watu kama nyinyi mlitakiwa muuonje huu uhalisia ili kuujua vizuri, japo haiwezekani, msidhihaki wengine.
Ni bahati kwako nchi ilishatumia rasilimali nyingi kukufanya uone, lakini umekataa kuona.
Unadhulumu wengine.
AiseeHahahahah
Unawapa za uso
Tatizo hii nchi utoto ni mwingi sana.
Watu wengine ni Uni graduate lakini wamemkabidhi Mange akili zao. Inasikitisha sana kama taifa la kesho.
Angalia kwa sasa hii hoja ya njaa. Kelele nyingi utadhani Tanzania imefikia kiwango cha baa la njaa lililoikumba Ethiopia.
Baada ya muda hizi kelele zinapotea na watakuja na kelele zingine baada ya kupata kipigo kwenye uchaguzi mdogo.
HamnaYeye Mungu alete mvua au ukame!!
Ukame unahusiana vipi na kadi za Ccm!!
Mtuambie mmechoma kadi ngapi!!?