Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,912
KufwaaaaaaMambo gani hatuyawezi??? We wajua kabisa M4C zikirudi mamilion ya wanaccm wanarudishaga kadi sasa kipi hatukiwezi?? Hici nyie miaka 50 mna nini cha kuwaambai watanzania wakati kila kitu ni failure nipe hata sector moja ambayo mmefanikiwa ndani ya miaka 50?? HAMNA ndio maana mnaogopa chadema wasisambaze hoja zao kwa wananchi
Sometimes najuta kuzaliwa hili linchi, yani jitu linavunja sheria afu wanaoitwa great thinkers mnashabikia .......mnakera sana natamani hata ISIL ije bongo iwafutilie mbali