Uchomaji wa kadi za CCM

Uchomaji wa kadi za CCM

Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko
Mange Mwenyewe watu wamemchoka amebaki kuuza makalio yake tu huko instagram.
 
Ni kweli si ajinyonge kna ana hasira aache kutuboa...mara mifano ya Congo mara Kenya...hii ni Tanzania kma vipi ahame aende anakoona kuna unafuu
Hao wamesema hakuna mikutani nchi za wenzetu ndio maana nmetoa mfano wa congo na US sasa kosa likwapi

Msijustify ushenzi wa magufuli kwa hoja za kitoto mnakera sana..... na kweli nna hasira maana nashangaa mijitu mizima kma nyie mnashabikia katiba kukanyagwa

Haya basi nakubaliana na nyie siasa ifutwe je iweje CCM bado inafanya??? Au ilo katazo ni kwa upinzani tu

Embu kuwa serious mkuu
 
Bul...shit mwenyewe unataka uzunguke nchini kutwambia ujinga gni, kma uchaguzi ulikuwa mwaka juzi mlizunguka mkashindwa kuuza hoja zenu, acha aliyepewa jukumu la kuongoza aongoze huna jipya, kajipange upya 2020 tena upigwe...na bdo tu, utatukana sana awamu hii, hakuna mikutano hata unye kwenye jiwe huna jipya...gakuna wa kuruhusu kuzunguka tena...chiziiiiiii
Haya hyo sheria gani inayoruhusu hayo ya kwamba siasa mpaka 2020???? Ntajie kifungu tu cha sheria na kma hakipo unakubali magufuli kazuia mikutano kidikteta!!!

Nasubiri ujibu hili nione IQ ilivyo ndogo maana huna jibu
 
baada ya awamu hii kushika hatam za uongozi, kadi za upande wa pili zimekuwa zikipungua kila uchao, sijui zinachomwa kimyakimya au zinapotezwa `kiaina'
 
Bul...shit mwenyewe unataka uzunguke nchini kutwambia ujinga gni, kma uchaguzi ulikuwa mwaka juzi mlizunguka mkashindwa kuuza hoja zenu, acha aliyepewa jukumu la kuongoza aongoze huna jipya, kajipange upya 2020 tena upigwe...na bdo tu, utatukana sana awamu hii, hakuna mikutano hata unye kwenye jiwe huna jipya...gakuna wa kuruhusu kuzunguka tena...chiziiiiiii
Nizunguke wapi?? Mie sio mwanasiasa hyo 2015 nlikuwa nafanya MSc sasa wapi nmegombea post ya kisiasa au unafkiri zitto junior ni zitto ???

Insanity kufkiria kila anayetoka povu dhidi ya udikteta ni mwanasiasa nyie vp style up
 
Hao wamesema hakuna mikutani nchi za wenzetu ndio maana nmetoa mfano wa congo na US sasa kosa likwapi

Msijustify ushenzi wa magufuli kwa hoja za kitoto mnakera sana..... na kweli nna hasira maana nashangaa mijitu mizima kma nyie mnashabikia katiba kukanyagwa

Haya basi nakubaliana na nyie siasa ifutwe je iweje CCM bado inafanya??? Au ilo katazo ni kwa upinzani tu

Embu kuwa serious mkuu
Poa mkuu tumalize mjadala...
 
Haya hyo sheria gani inayoruhusu hayo ya kwamba siasa mpaka 2020???? Ntajie kifungu tu cha sheria na kma hakipo unakubali magufuli kazuia mikutano kidikteta!!!

Nasubiri ujibu hili nione IQ ilivyo ndogo maana huna jibu
Ilikuwa unijibu kwanza, cyo kuendelea kuniuliza wakati nimekuuliza hujanijibu...nijibu uchaguzi ulikuwa mwaka juzi, ukauza sera zako wananchi wakazipiga chini, kwa hiyo una jipya gni hata miaka miwili haijapita unataka kukimbilia nchi kuzungushia mikono?
 
Nizunguke wapi?? Mie sio mwanasiasa hyo 2015 nlikuwa nafanya MSc sasa wapi nmegombea post ya kisiasa au unafkiri zitto junior ni zitto ???

Insanity kufkiria kila anayetoka povu dhidi ya udikteta ni mwanasiasa nyie vp style up
mi nakusoma na cjasema zitto Kabwe...naongelea wewe mtetezi unayetaka watu wazunguke nchi nzima na kufanya mikutano wakti uchaguzi ulikuwa mwaka juzi tu
 
Nizunguke wapi?? Mie sio mwanasiasa hyo 2015 nlikuwa nafanya MSc sasa wapi nmegombea post ya kisiasa au unafkiri zitto junior ni zitto ???

Insanity kufkiria kila anayetoka povu dhidi ya udikteta ni mwanasiasa nyie vp style up
Stetei udikteta na hata ukiangalia cyo kila kitu namtetea Magu. Palipo na No nasema no, angalia nyuzi zangu, mf siwezi kutetea kwamba msichana akishapata mimba aache shule au hela za rambi rambi kagera zijenge shuke za umma, kila mtu na mtizamo wake...kupishana mitazamo cyo kwamba natetea udikteta ila kuna vitu vingne ambvyo cyo vya muhimu....anyway kila mtu abaki na mtizamo wake...yaishe mkuu
 
Zamu ya kuchoma card za CHADEMA. Mambo Ni mkubwa sana Kwa Sasa... Nyanza Ndio waliokuwa wachomaji wa card Kwa wingi. Na safari hii wametekwa Kwa sana.
Mikutano na maandamano si yenu wenyewe, ingawa mwawatesa na wanafunzi.
 
Ungeuliza kuna watu bado wana kadi za Machadema watetezi wa wazungu?
Usipindishe maneno. Waliopitisha sheria na mikataba inayolinda 'hao' unawajua vizuri, ni wa kwenu. Ila mna nyuso za chuma zisoo HAYA. Mmejaaliwa kwa kujitoa fahamu.
 
Mifano si nimeweka huo wa mikutano ya siasa marekani na uganda na congo sasa ulitaka mfano gani wa zaidi kwa hoja yako kuwa siasa nchi zilizoendelea ni mwaka wa uchaguzi pekee

Mkuu mjadala uishe am tired of thi sh**t maana hamna hoja so hatuendi kokote
Twende sawa: Congo na Uganda ni mikutano ifanyikayo ndani ya mwaka wa uchaguzi. Marekani huo sio mkutano wa kisiasa. If you are tired of "this sh**t" go hang yourself on any tree.
 
Ilikuwa unijibu kwanza, cyo kuendelea kuniuliza wakati nimekuuliza hujanijibu...nijibu uchaguzi ulikuwa mwaka juzi, ukauza sera zako wananchi wakazipiga chini, kwa hiyo una jipya gni hata miaka miwili haijapita unataka kukimbilia nchi kuzungushia mikono?
Ok mkuu ni hivi uchaguzi uliisha ila upinzani una kazi yake na serikali ina kazi yake sasa serikali inatekeleza ilichoahidi huku upinzani unakuwa una monitor utendaji kazi wa serikali hivyo kukosoa kushauri na kuleta mapendekezo ya nini kifanyike hivyo kisheria hawa ndio kazi yaani serikali kuu na serikali kivuli ni kma mtu na kivuli havitenganishwi kabisa kwahyo unaposema tufanye kazi ndio hizo ssa kufanyika sambamba mfano unaandaa bajeti ya serikali kuu nao wapinzani wanaanda bajeti kivuli

Haya tukirudi kwenye vyama lets say CCM na Cuf ni kwamba chama kilishindwa uchaguzi ila uchaguzi ukipita kisheria wanaruhusiwa kutafuta wanachama sio KURA?? uchaguzi wa 2015 unakuta mtu wa chadema kampigia magufuli na mtu wa ccm kampigia lowasa ila baada ya uchaguzi hutafuti kura ila WANACHAMA na hili linatambuliwa na sheeia ya uchaguzi nikupe mfano wa waislam wanavyokuza dini unakuta wanafanya mihadhara na wanatoa mawaidha hapo na mwisho wa siku watu wanasilimu pia wakristo huandaa mikutano ya injili na mwisho wa siku wanahubiri hadharani kwenye jukwaa na wati wakiwaelewa wanaongzowa sala ya toba then wanabatizwa hivyo ndio wanapata watu kwenye dini ssa niulize leo hii ukizuia waislam wasifanye mihadhara kma ya mashinje au wakristo wasifanye mikutano ya injili kma ya mwakasege ukristo na uislam utapataje wafuasi?????

Hoja hapa ni jinsi ya kuwafikia wananchi na kuwaeleza sera zao ndio maana hta magufuli hufanya mikutano ya hadhara ili kupata audience ya kuwafikishua vision yake na mwisho wa siku kawapat wengi tu je kivp naye mbowe asiruhusiwe kupeleka vision yake kwa wananchi uso kwa uso naye apate wanachama wapya???

Ni hivyo tu mkuu
 
Twende sawa: Congo na Uganda ni mikutano ifanyikayo ndani ya mwaka wa uchaguzi. Marekani huo sio mkutano wa kisiasa. If you are tired of "this sh**t" go hang yourself on any tree.
Ok mkuu uchaguzi wa marekani na uganda ulikuwa mwaka jana na weww unajua hilo ila mbona wanaruhusiwa kufanya mikutano ya siasa je hoja yako kwamba nchi zilizoendelea hazifanyia mikutano ya kisiasa baada ya mwaka wa uchaguzi huoni haina maana tena

Huo wa marekani ni siasa maana wanahutubia watu kuhusu ubovu wa trump na kuwaomba wawachague uchaguzi ujao je huo sio mkutano wa siasa au definition ya mkutano wa siasa ukoje
 
Hujielewi.
 
Back
Top Bottom