Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
2020 ni kasheshe Kura zitatoka chattle tu!!!!Nyingi ya hizo kadi zimechomwa kwenye nyoyo za raia wa nchi ya ahadi,watabainisha hasira zao miaka 3 na miezi minane ijayo.
Hakuna neno la huruma litakaloweza kubadili msimamo,hatatokea kama ambavyo hajatokea kiongozi yeyote wa kiimani atakaesikilizwa,ni HAPANA TU itatumika.