UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

Kwa nini watu haraka wanapenda kuingiza mambo ya dini humu. humu kuna watanzania wenye dini zao ambao huishi pamoja kila mtu na dini yake. kwa hiyo wakati tuko humu tanaendeleza maisha ya pamoja kama watanzania kila mmoja akiwa na dini yake. hakuna haja ya kuzozana kwa vile tutaendelea kuwa hivihivi hata hiyo siku ya mwisho ikija itawakuta watu katika dini zao. hakuna wa kuzifuta labda MUngu tu.
 
Mkuu, hata wewe ambaye umegombea nafasi lukuki katika nchi na chama chako CCM, na naamini baadhi ya nafasi hizo katika CCM umeshinda, hulijui hilo kwamba maamuzi ya Jamhuri ya TZ, hususan bungeni na hata katika chama chako ni lazima yaridhiwe na idadi fulani ya watoa maamuzi kutoka ZNB?

- Then howcome kila wakati Serikali ya Visiwani inalalamika kwamba haikuhusika na maamuzi mengi sana ya Muungano, I mean Mchungaji huyu hajitambui!1

le mutuz
 
Na hii je? Pia Biblia yako haina?!!!!!!.... Jesus called them 'vipers' - 'serpents', Matt.23:33. And in John 8:44, Jesus told them that their father was the devil. The devil is also called the serpent, Revelation 12:9; 20:2.



- Eti ni wapi Yesu aliitukana Serikali kwamba ina maamuzi ya kichizi, unapoteza muda mwingi sana bila hoja onyesha ni wapi yesu aliitukana Serikali?

- Yesu alisema ya kaziari muachie kaizari siku alipoulizwa kuhusu Serikali, sasa wewe hii bilblia yako ni ya wapi? Au yako mwenyewe?

le mutuz
 
Hakuan ubaya kama mwanasiasa ataacha siasa na kuingia kwenye mahubiri ya kidini. Lakine kinyume chake ni hatari sana kwa vile nguvu yake ya ushawishi itafungamanishwa na dini. Kwani cheo cha utakatifu kwenye kanisa katoliki hakina vigezo maalum. Kama wewe ni mkweli hebu tuambie kwa kigezo kipi Nyerere apewe utakatifu wa kanisa kama sio upendeleo wake kwa kanisa alipokuwa madarakani?
“Only in the dictionary does retirement come before work.”
Madrassa imenisaidi angalau kujua huu mfumo kristo, kuliko wewe mwenye elimu ya Udokta lakini bado hujitambui.


“Only in the dictionary does retirement come before work.” Si bure kwa baba wa taifa kutunukiwa utakatifu.

tatizo lenu wazee wa kujilipua hamkumbuki fadhila shule za wakristo zimewasomesha zilipotaifishwa leo mna elimu mnasahau mlikotoka ingekuwa pilau msingesahau
 
Makamba anapochambua vifungu vya biblia kwenye majukwaa ya siasa mbona hamkemei?!!!!

- Makamba hajawahi kuchambua anything kwenye Vitabu vya Dini wakati wa Siasa na wala hajaita maamuzi ya dini kuwa ni ya kichizi kama alivyofanya huyu Mchungaji!1

le mutuz
 
Kaka freshthinking angalia video hii ikusaidie kwamba hakuna mfumo kristo kaka.

gonga hapa Mfumo wa kufikrika usiokuwepo -Mfumo kristo - YouTube

Na nyingine hapa Uzushi dhidi ya mfumo mkristo hoja dhaifu ya kichochezi - YouTube

Sikiliza kwa makini kaka uachanane na haya mawazo kaka.

Mambo ya hizo movie za You tube nilishaachana nayo siku nyingi. Unanambia niangalie Yuo Tube wakati mfumo kristo live uko hapa. Babaisha wengine sio mimi. Its Freshthinking sio thinking fresh.
 
Mkuu, utakatifu hatunukiwi mtu awaye yote. Kaperuzi vizuri utakatifu katika ukatoliki ni hatua ya ngapi katika mchakato mzima unaohitaji miujiza aliyotenda mhusika, ushahidi na vithibitisho visivyotia shaka yoyote na vinavyotakiwa kuwekwa wazi kwa mtu yeyote kuvipitia na kujiridhisha ili hatua hiyo ipate kufikiwa na mhusika kutangazwa kuwa ni mwenyeheri na baadaye mtakatifu.
Wahenga walisema hakika "jambo usilolijua ni kama usikunwa kiza".

Wewe unayejua hizo hatua si uzitaje tujuwe kama Nyerere alipitia? “Only in the dictionary does retirement come before work.” Si bure kwa baba wa taifa kutunukiwa utakatifu.
 
Kweli kabisa......ndio maana mimi sitachoka kumpa Mzee Mwanakijiji pongezi zadhati maana tangu mwaka amebadilika na kuamua kuliita jembe kwa jina lake halisi.Z'bar iliko sasa ni matokeo ya siasa na utamaduni wa kuleana na kusifiana wa CCM. HAWATAKI WANAACHA!
 
Hebu jitafakari uone ulivyo mwenye wivu hata kwa yasiyo wahusu.

wakatoliki wanaona mtu wao anawafaa lakini ni watu kama wewe na mohamed said mmezidiwa zaidi na chuki biafsi wewe fuata

kitabu chako. kushupalia ya wenzako ujuwe yako yamekushinda, na kushindwa yako ndo pale upuuzi wa mfumo kristo unapokuja

na kusahau kwamba hicho kitu kwa wenye akili timamu hakipo ni kwa wachache wanaongozwa na guvu za ubaguzi wa dini na

chuki binafsi.

Wenye akili timamu kama wewe ila sisi wenye akili pungufu ndio tunaujua huu mfumo kristo. Tunaomba mjadala na mapadri wenu halafu utangazwe live wati watoe data na wengine watoe utetezi wao. Kusema tu haupo haisaidii wakati viashira vyote tunaviona.
 
tulishakubaliana kuungana pasipo kuangalia idadi ya watu ama ukubwa wa nchi,kwa hiyo hatuna budi kuwa wavumilivu ktk hili na hata wakati huo tunaungana walioengineer muungano huu waliyaona haya.
 
William unasema makanisa uchwara ?
Baba yangu anakimbiza ujumbe wa Membe kwa yule Baba Paroko wa kuleeee mahala ili aweze kumvaa Kardinali Pengo ili ampigie chapuo Membe .Na gari kapewa kumpelekea unataka tumwagike na data hapa ? Leo unasemaje makanisa uchwara ?Mbona Lowasa anayatumia kujiweka sawa si makanisa ? Au baba yako alipoenda kuitwa J4 kwa jina la madaraka haikuwa dini ? Unajua CCM mnachekesha sana .Mmeanzisha wenyewe sasa mnaweweseka tutawafuta hukohuko makanisani na misikitini we know your ways hakuna siri siku hizi .Mwambie baba yake tunajua anacho fanya juu ya Membe na kanisa katoliki .It is matter of time tutafunguka hapa hapa.We are watching you

mkuu nimeipata hiyo! Subiri kwanza wajichanganye
 
- Makamba hajawahi kuchambua anything kwenye Vitabu vya Dini wakati wa Siasa na wala hajaita maamuzi ya dini kuwa ni ya kichizi kama alivyofanya huyu Mchungaji!1

le mutuz


Ur such a BIG LIAR, like how & who u are....!!!
 
- Mchungaji ni hopeless huwzi kusimama mbele ya waumini wanaowasikiliza wanasiasa kila siku na kuwaambia eti maamuzi ya Serikali ni Uchizi, ndio maana nasema hata hilo Kanisa nina wasi wasi nalo sana kama wapo powa!

le mutuz

simple arithmetic, CCM nao ni machizi!
 
Gwajima hajapepesa macho. Huo ndio ujweli, asiyetaka na asitake. Asante Mchungaji kwa kusema ukweli ambao wengi wanauopa kama jinamizi. Sasa tufanye nini? Tupe mwlekeo tafadhali.
 
Back
Top Bottom